Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tofauti na matarajio ya wengi , Leo ni birthday ya mwanamuziki mkubwa nchini , Diamond Platnum's , hivyo watu walitegemea birthday wishes za kumiminika kutoka kwa mastaa wenzie, Ila hali imekau...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Redirect
Please mods msiunganishe uzi huu Nimeshangaa sana kijana kaweka video yake youtube then baadae kaifuta, kwa bahati nzuri niliishusha na nimeiweka hapa muitazame SHUSHA VIDEO HAPA>> DOWNLOAD...
0 Reactions
Replies
Views
Doh Shikamoo KIKI Kwahiyo keshapatikana Tz Sweet Heart au? Hizi mambo za kunyang'anyana majina mbona mambo ya kiduanzi sana utoto mwiiingi mbona majina yako mengi. Haya basi kama langu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Kwa wale wanaosomea marketing au sheria watakua wanaelewa zaidi mambo ya BRAND PERSONIFICATION , na intellectual property rights ( patents , copyrights, trademark n so on). Wasanii wengi wanakua...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
  • Redirect
Waliozoea kusikiliza nyimbo za mapenzi kwa King kiba mtapata tabu sana Nyimbo ya Hela ipo YouTube kwenye account ya alikiba go and listen the beautiful song King music mpya inakuja...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nyimbo zilizobeba ujumbe mkubwa na uhalisia wa maisha yetu kwa kifupi si tuu zilikuwa nyimbo bora . Napelekwa mbali kifikra baada ya kusikiliza nyimbo za mwanamuziki huyu ambaye si tuu anajua...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu zangu kama ilivyokawaida ile redio station pendwa super brand namba moja nchini clouds FM na clouds media, wameanza msimu mpya wa tamasha lao la fiesta. Katika hali ya tofauti kabisa na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Mbaya zaidi kaongeza na "PROUD OF YOU" Kama Bosi mwenyewe anamkubali D 100% Vijakazi wanatoa wapi jeuri ya kumdindia kijana wetu?
3 Reactions
16 Replies
7K Views
  • Redirect
Aman iwe nanyi Leo ilikuwa ni siku ambayo nyota Wa muzik diamond amezaliwa Mbali na kusherekea siku ya kuzaliwa jamaa kaenda kukod jumba kubwa na kupiga nalo picha kisha kuwambia watu kuwa ni...
0 Reactions
Replies
Views
Huyo katikati, kwa mujibu wa Michuzi, ndiye John Mashaka..
0 Reactions
110 Replies
28K Views
nimejaribu kufatilia Sanaa wanayofanya wanamziki wa bongo nimekuja gundua bado wapo karne ya 20, fikiria mpaka leo mwanamziki anashindwa kuweka lyrics za nyimbo zake mtandaoni, sisi washabiki wao...
1 Reactions
3 Replies
699 Views
Ninachompendea lulu , licha ya kuwa alikua mdangaji kama wadada wengi wa mjini , na pengine ameshalala na mastaa wakubwa na viongozi mbali mbali wa serikalini ambao Wengine hatuwajui, lakini huyu...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
Nasikiliza wimbo wa Mandojo na Domokaya, unaitwa Dingi, huu wimbo unaonekana kama ni true story ila sijabahatika kusoma au kusikia sehemu yoyote wakithibitisha kuhusu hili. Jamaa wanazungumzia...
14 Reactions
42 Replies
12K Views
Msanii ak 47 wa uganda,amefarik ghafla baada ya kuteleza kwenye bafu alipokuwa bar.Mungu ampumzishe salama Details as to the cause of death are still...
1 Reactions
21 Replies
11K Views
Monalisa ni mmoja wa wahusika wenye vipaji na ninampenda Celeb24x7.com
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Naona hivi sasa Ustaa umeanza kunukia kwa video vixen maarufu nchini , Official Lynn . Awali habari za kuwa vixen huyo anatoka na diamond zilianza kuvuma miaka ya nyuma kidogo , mpaka ikadaiwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Rapa Kanye West amebadilisha jina lake kuwa Ye. Akitangaza mabadiliko hayo kwenye Twitter siku ya Jumamosi, aliandika: "Nimekuwa nikijulikana kama Kanye West. Mimi ni YE." West, 41, amekuwa...
0 Reactions
2 Replies
860 Views
Kwema humu.. kwa Tanzania unamkubali dj yupi anaecheza nyimbo za Hip Hop..? na kituo gani cha Radio kinachocheza Nyimbo za Hip Hop mimi naanza na 1. Dj Jeff Jerry-Kiss fm (Jafari mzonge) huyu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Fiesta imeanzia moro jana, nimebahatika kupata picha chache kutokana na picha safari hii kuwa hadimu. Lakini naambiwa Fid Q ndio alikuwa nyota wa mchezo.
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Niliposikiliza voice note ya hamisa mobeto akiongea na mganga au shekhe kama anavyodai, nimegundua tabia halisi ya hamisa mobetto 1. Hana roho mbaya - Akiongea kwa sauti ya upole na ya...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom