Habari zenu wakuu!
Hivi huyu mtangazaji wa kipindi cha njia panda kinachorushwa kila jumapili Clouds Fm, Doctor Isaac Maro ni Doctor kweli?
Na kama ni daktari kweli, anawezaje kumudu kazi zote...
LOS ANGELES - The Los Angeles home of Sean "Diddy" Combs was raided by Homeland Security Investigations Monday in connection with a federal sex trafficking case, authorities said. FOX 11 was first...
Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi.
Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa.
Sound hii unayoiskia leo ya...
Ni miaka nane sasa imefika toka kuazishwa kwa tuzo hizi za heshima kwa kutambua mchango wa Malikia wa nguvu katika Jamii.
Hongereni wote waliopata jana, walistahili.
Kwa kuwa Clouds Media ni...
Dudubaya amezidi kumshukia Ruge mutahaba na kusema kuwa alikuwa akiwanyonya wasanii aliokuwa anasema anawainua
Dudubaya ameendelea kusena kuwa Ruge ndio alisababisha Studio ya Bongo Records...
Awali ya yote nitangulize angalizo kwa vijana ambao maturity stage imewakuta miaka hii ya mitandao ya kijamii. Itabidi msome kimyakimya huku mkiwa mmeshika peni na karatasi kuchukua notes.
Huu...
Habari wanajamii forum wote. Hii ni kwa wake wapenzi wa edm music. Kwa wafuatiliaji wa muziki huo nadhani mtakuwa mnakubaliana na Mimi kuwa Martin Garrix ndiye dj anayekimbiza zaidi kwa Sasa...
Taasinia ya Sanaa ya michezo ya kuigiza hapa Tanzania inapitia changamoto nyingi sana zipo tunazoziona sisi mashabiki na pia zipo wanazokumbna nazo wasanii husika. Binafsi hiz ni baadhi ya...
Leo Machi 30, ni Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa kwa Paul Matthysse a.k.a P-Funk Majani, Mtayarishaji Mkubwa na Bora wa Muziki Tanzania.
Alianza kujihusisha na Muziki mwanzoni mwa miaka ya 90...
Wanamwita manju wa muziki. Huyu ni mtangazaji mkongwe na nguli wa maswala ya muziki na wanamziki, kupitia TBC.
Ukimsikiliza Masoud, utaelewa umuhimu wa specialization katika utangazaji, uandaaji...
Mwigizaji na mtayarishaji wa Movies kutokea nchini Marekani, Mzee Robert De Niro amepata mtoto wake mwengine akiwa na miaka 80.
Robert De Niro akiwa na umri wa miaka 80 na mtoto wake wa miezi 10...
Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana...
Mlimbwende kunako kiwanda cha Utangazaji, Mjasiriamali na mwanamitandao maarufu Bongo, Niffer Jovin, maarufu kama "Niffer" amefunguka namna alivyohaha kujitafuta hadi kufikia mafanikio makubwa...
Mrisho Mpoto
Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi.
Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake...
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa...
Take a break, na tujikumbushe enzi zile za RTD, ambapo kulikuwa hakuna FMs rado kama sasa. Hakika kulikuwa na watangazaji, vipindi bomba na hata nyimbo za kutambulisha vipindi zilikuwa makini...
Wakuu Salaam,
Nisiwapotezee muda, miaka ya nyuma kulikuwa na shindano la wadada lililodhaminiwa na Twanga Pepeta na Manywele Entertainment.
Sikumbuki lilifanyika mara ngapi lakini mwaka 2006...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.