Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King...
M's Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa)
Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache.
Kwani...
Mashabiki wa Ally Kiba wajumuike hapa kumpa ushauri what is next baada ya mashabiki kuonesha mapenzi yao ya dhati kwa Kiba kwenye Fiesta na kuandika historia mpya Tanzania.
Mimi kama Matola...
Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group, Ruge Mutahaba amefariki dunia usiku huu Februari, 26 akipatiwa matibabu nchini Afrika Kusini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...
Huu uzi uwe maalum kwa watu wote wenye mapenzi mema na wanaomtakia mafanikio kimuziki na kimaisha kijana Naseeb Abdul "Chibu Dangote".
Wenye kutaka kumshauri na kumtia moyo kijana aendelee kupaa...
Copy and Pest from lemutuz
PART 1
Safari yangu ya USA ulikua ni uamuzi wangu mgumu wa kuacha Ubaharia nikiwa Melini "MV. Luxemburg"ICMB Belgian Shipping Line tukiwa South China Sea tunatokea...
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio...
Take a break, na tujikumbushe enzi zile za RTD, ambapo kulikuwa hakuna FMs rado kama sasa. Hakika kulikuwa na watangazaji, vipindi bomba na hata nyimbo za kutambulisha vipindi zilikuwa makini...
Tukiwa tunaendelea kuomboleza kifo cha mpendwa wetu,msanii kanumba,tutafakari maisha yake.Kanumba hakuwa tofauti sana na wasanii wetu walio wengi kimaadili.ni kweli alituburudisha,lakini...
Wanazengo ngoja na Mimi Leo ni jaribu kuwapa umbea wa code sijui ntaweza mbea Mimi🤣🤣 , haya twende Sasa
Yule boss mfupi mwenye kumiliki redio flani hivi inayokuja kwa kasi, inasemekana yupo...
Hali si shwari kwa diaspora wetu mwanadada machachari wa kubully watu kupitia blog na mitandao ya kijamii Mange Kimambi.
Kwa wafuatiliaji wa mambo tetesi ni nyingi tokea mwaka jana kuwa Mange...
Steven Kanumba
Popular Tanzanian and occasional Nollywood actor, Steven Kanumba, has been reported dead.
The cause of his death has not been officially confirmed, but reports have it that he...
Anajulikana kwa jina la Seky, alikuwa muajiriwa tanzanite one.
Kafariki leo inasemekana alikalia stuli ya kioo ikapasuka na kumjeruhi mgongoni.
==========
Marehemu Lusekelo Samson Mwandenga...
Kwani Uwoya na huyu dogo mvaa vikaptula wana shida gani?
Japo wameondoka wote tarehe moja, ndege moja hawakuwahi kuposti picha pamoja, japo wote wako sehemu moja.
Kila mtu anaposti kivyake yani...
Wadau nilipita Mama Ngoma Health Centre Mwenge na kukuta watu wakilia kuuliza naambiwa Video Queen Masogange amefariki muda mfupi uliopita.
=========
UPDATES:
=========
Video queen maarufu...
Anyeonghaseyooooooooooooooooooooooooooooo!
Watu mnapenda snaaa kuropoka vitu hamna hata DATA navyo kama sio wasomi vile! Wengine Mange mmemjua ukubwani mwenu ila mnavopenda kujifanya mnamjua sasa...
HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA...
No. 1: Hasheem Thabeet: (The Untouchable)
Fame favours the young. If you doubt that, just take a look at this man. He's only 24 years old and yet so rich.
Hasheem Manka Thabeet, kijana...
Hatimaye ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wa muziki Tanzania pamoja na ukanda wote wa Afrika Mashariki imewadia.
Tuzo hizi kwa mwaka huu zimepata msisimko mkubwa na hamasa ya mashabiki...
Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni...
Ni mchezo mchafu ambao sasa umeanza kuoneshwa wazi baada ya kuwa unazungumzwa na baadhi ya mastaa wa muziki wa bongo flavour na hata baadhi ya waigizaji wa filamu za hapa kwetu Tz,,,,,ipo mifano...
Kuna Video zinasambaa zinazodaiwa ni za Askofu mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima
Hakuna binadamu aliyekamilika. Watu wengi wanafikiria kuwa mtu akiwa mtumishi wa Mungu au akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.