New posts

Wakuu, Kuna hizi blender za Kenwood ambazo maduka mengi tu mtaani wanaziuza Tena kwa bei rafiki kwelikweli, je hizi blender ni Kenwood kama Kenwood tunayoifahamu au mchina keshafanya yake? Na je...
2 Reactions
45 Replies
1K Views
TeamJf, Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA! Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU...
8 Reactions
61 Replies
3K Views
Leo imetimia miaka 3 Tangu Rais Samia aape kuwa Rais wa Tanzania. Kwa miaka hii 3, Nchi imepata mafanikio makubwa kwenye nyanja zote za Uchumi na kijamii Kwa mda mfupi kushinda wakati mwingine...
4 Reactions
39 Replies
211 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
118 Reactions
502K Replies
27M Views
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
12 Reactions
95 Replies
1K Views
Vyote vilikuwa ni vifo vya ghafla sana. Mafisango alifariki kwa ajali ya gari, Kanumba kwa kubamizwa ukutani na Magufuli kwa mshituko wa moyo. Hawa wote walikuwa ni majabali kwenye fani zao...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Siongei chochote, ila nauliza tu, baada ya kubandua, hizo namba zinapofutika, ndio Camera za polisi zinaweza kusoma?
1 Reactions
29 Replies
433 Views
Magaidi ya ADF yenye mlengo wa dini ya kislamu yakiongozwa na Mtanzania Ahamed Muhamood Hasssan, yameingia Uganda, jeshi limetoa tahadhari. Jameni hampumziki kwenye huu mwezi wenu..... KAMPALA...
2 Reactions
8 Replies
361 Views
Kuna mambo makubwa matatu, Kwanza, matajiri wengi wa Africa wamejipatia utajiri kutokana biashara za uchuuzi tu bila kuhusika katika kufanya mabadiliko ya makubwa ya teknolojia. Hii ni tofauti...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
23 Reactions
67 Replies
2K Views
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
186K Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
108K Views
Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
6 Reactions
61 Replies
1K Views
Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi...
1 Reactions
11 Replies
245 Views
Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu. Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku...
5 Reactions
107 Replies
806 Views
Kabla ya kukubali kuoa ama kuolewa na mtu inapaswa muwe na maongezi marefu kuhusu engo zote za maisha 1. Jadilini kuhusu bilis za maisha atakuwa anazilipa nani na kama mtalipa wote ni kwa...
24 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku. Wana visirani na viburi sijawahi ona. Picha linaanza akikata...
110 Reactions
317 Replies
20K Views
Katika maisha kila mtu anapenda starehe za hapa na pale mfano kutalii n.k Kuna starehe zinazoweza kukupa furaha ya kudumu lakini kuna nyinginezo zinaweza kukupa sonona ya milele ambapo makovu...
41 Reactions
461 Replies
24K Views
Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE) inajitahidi kurejesha kiasi kikubwa cha pesa kilichochotwa na wateja baada ya "shida ya mifumo". Baadhi ya Wateja waligundua mapema Jumamosi kwamba wangeweza...
2 Reactions
6 Replies
72 Views

FORUM STATS

Threads
1,837,694
Posts
49,111,488
Members
662,982
Latest member
juma all
Back
Top Bottom