JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

  Report Post
  Results 1 to 7 of 7
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 36,163
   Rep Power : 429504310
   Likes Received
   21895
   Likes Given
   67767

   Default Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU"
   MSANII wa filamu aliyeibukia kwenye Shindano la Maisha Plus, Jack Dustan ‘Jack wa Maisha Plus’ hivi karibuni aliwashangaza watu baada ya kuvaa kigauni ambacho mara kadhaa alipopozi aliacha wazi sehemu zake nyeti.
   Jack akiwa kaacha nje nyeti zake (sehemu iliyozibwa).
   Tukio hilo lilinaswa na mwandishi wetu ndani ya Ukumbi wa Sun Ciro, Ubungo jijini Dar kulikokuwa na uzinduzi wa Shindano la Kigori wa Tanzania ambapo Jack alikuwa ameongozana na rafiki yake, jina lake halikufahamika.   Akiwa ukumbini hapo, mwanadashosti huyo aliyeonekana kula kilevi cha bei mbaya, alikuwa akiwatoa udenda wanaume kutokana na kigauni chake hicho kifupi hadi wengine kufikia hatua ya kumchana kuwa, alijichoresha kwa kutovaa ‘kufuli’.   “Huyu naye! Ndo nini sasa kutovaa kufuli kwenye kadamnasi? Wasanii wetu bwana,” alisikika kijana mmoja huku Jack akionesha kutojali.


   MSANII ATINGA UKUMBINI NA KIVAZI CHA NUSU UCHI HUKU NDANI AKIWA "MTUPU" - MPEKUZI HURU
   Only Do What Your Heart Tells You

   Allah
   Has Not Revealed A Disease without Treatment....(''LET FOOD BE THY MEDICINE AND MEDICINE BE THY FOOD'')

  2. minda's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 2nd October 2009
   Location : uswazi
   Posts : 1,069
   Rep Power : 828
   Likes Received
   42
   Likes Given
   41

   Cool Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   anatafuta huyo!
   MziziMkavu likes this.
   unaipenda tanzania? sema ukweli!

  3. tofali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th March 2013
   Location : DSM
   Posts : 2,311
   Rep Power : 125593
   Likes Received
   1025
   Likes Given
   455

   Default Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   Gozi lenyewe lina makovu...umaarufu kazi
   MziziMkavu likes this.

  4. King'asti's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th November 2009
   Location : Masaini
   Posts : 25,997
   Rep Power : 429502235
   Likes Received
   20797
   Likes Given
   10479

   Default Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   Kwa hiyo wangeona kufuli limetokea ingekuwa sawa? Muacheni apunge upepo bwana ama mlisikia harufu ya ubwabwa mkapata njaa?
   MziziMkavu likes this.
   I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou


  5. mdeki's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th March 2011
   Posts : 3,066
   Rep Power : 1116
   Likes Received
   391
   Likes Given
   33

   Default Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   Duh hizo mbunye zinanipitiaga kushoto!!

   "To know the enemy is half the victory"


  6. zomba's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th November 2007
   Posts : 17,179
   Rep Power : 11288
   Likes Received
   3532
   Likes Given
   2565

   Default Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   Biashara ni matangazo!
   System At Work

   "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

  7. Kennedy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th December 2011
   Location : Everywhere
   Posts : 7,774
   Rep Power : 701929
   Likes Received
   1717
   Likes Given
   3211

   Default Re: Msanii atinga ukumbini na kivazi cha nusu uchi huku ndani akiwa "mtupu"

   "Itangazwayo ndiyo Itokayo"


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...