Show/Hide This

  Topic: Wema sepetu aharibika

  Report Post
  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234
  Results 61 to 73 of 73
  1. MziziMkavu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd February 2009
   Location : European Union
   Posts : 34,769
   Rep Power : 429504003
   Likes Received
   20908
   Likes Given
   64280

   Default Wema sepetu aharibika   Ilikuwa ‘lokesheni’ katika moja ya nyumba maarufu za ‘shuuting’ huko Mbezi-Beach, jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo Wema alibambwa na Kamera ya Ijumaa akiwa na donda katika goti la mguu wake wa kulia.

   Baada ya kuona jereha hilo, king’ora cha ubongo wa Paparazi Wetu kilianza kugonga kutaka kujua kulikoni.

   Mbali na kidonda, upekuzi wa ‘bodi’ la mnyange huyo anayeongoza kwa kufanya vichwa vya habari za mastaa ‘town’, ulionesha baadhi ya maeneo ya mwili wake yakiwa ‘full’ mistari miekundu na hivyo kupoteza mvuto uleee!

   Ilibidi kuanza kuhoji kilichosababisha mrembo huyo kuharibika ngozi yake nyororo, ambapo katika nusanusa ya hapa na pale, mmoja wa mastaa wenzake ambaye hakutaka jina lake lichorwe gazetini, alilinong’oneza Ijumaa kwamba, mabadiliko ya ngozi ni jambo la kawaida linaloweza kuwatokea baadhi ya wanawake lakini hustawi zaidi baada ya matumizi ‘tuumachi’ ya vipodozi.
   “Mabadiliko ya ngozi hasa kuwa na michirizi na wakati mwingine mistari, siyo ishu kubwa kwa baadhi ya wanawake, lakini inaweza kuwa ishu endapo vipodozi hivyo vitakuwa too much,” alisema staa huyo aliyekiri kuwa, hata yeye alishangaa alipomwona Wema akiwa na michirizi kibao mwilini.

   Ilibidi Ijumaa liongee na mtaalamu wake wa masuala ya afya ya ngozi ambaye alibainisha kwamba, kupasuka kwa ngozi na kuwa na mistari miekundu (scrabs) kwa wanawake kunaweza kusababishwa na mambo makuu mawili.

   Mtaalamu huyo aliyataja mambo hayo kuwa ni unene na matumizi ya vipodozi kama vile ‘carolight’ yenye kemikali za ‘hydroquine’ zinazosababisha madhara makubwa kwa ngozi ya binadamu.

   Alisema kwa mwanamke ambaye si mnene lakini akatoka michirizi hiyo, mara nyingi ni matumizi ya vipodozi vyenye kemikali.

   Gazeti hili lilifanya jitihada za kumsaka Wema kupitia kilongalonga chake ili aeleze kidonda hicho kilisababishwa na nini, hakuweza kupatikana.

   http://www.globalpublisherstz.com/20...aharibika.html


  2. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 15,982
   Rep Power : 85937860
   Likes Received
   4286
   Likes Given
   7552

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By Magehema View Post
   ............, discuss people! lol too much!
   jamani magehema sasa kama sio watu tum discuss nani -ukipenda usupa staa habari ndo hiyo hata ulaya ni same same tu
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?

  3. Kimey's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th March 2009
   Location : Counter ya Juu!
   Posts : 4,120
   Rep Power : 1438
   Likes Received
   808
   Likes Given
   721

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By Magehema View Post
   ............, discuss people! lol too much!
   Celebrities Forum
   Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa: Rais, Mawaziri, Wabunge, Wafanyabiashara wakubwa n.k (Public Figures in general)
   I may be walking slowly, But I never walk backwards! and Whenever I walk backwards, Its for a long jump!!

  4. FairPlayer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th February 2006
   Location : UK
   Posts : 4,515
   Rep Power : 1674
   Likes Received
   581
   Likes Given
   232

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Low minds.....
   A positive thinker!

  5. uporoto01's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd May 2008
   Location : Nairobi
   Posts : 4,745
   Rep Power : 1606
   Likes Received
   1305
   Likes Given
   4206

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Nilipoona kichwa cha habari nikadhani mtoto mzuri kaanza kutumia mtandao wa Fidel80/Masanilo,jamani mbona hicho ni kidonda cha kawaida.Nimekutana na Wema kikazi mara kadhaa na ni mtu mstaarabu sana hayo mengine ni utoto tu ukizangatia alikuwa 17yrs aliposhinda Miss Tanzania.
   Wengi tuna wazo la Tanzania tunayoitaka/hitaji,tutafikaje huko ?

  6. FirstLady1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th July 2009
   Location : Mama Mwenye Nyumba
   Posts : 15,982
   Rep Power : 85937860
   Likes Received
   4286
   Likes Given
   7552

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By Lagatege View Post
   Nilipoona kichwa cha habari nikadhani mtoto mzuri kaanza kutumia mtandao wa Fidel80/Masanilo,jamani mbona hicho ni kidonda cha kawaida.Nimekutana na Wema kikazi mara kadhaa na ni mtu mstaarabu sana hayo mengine ni utoto tu ukizangatia alikuwa 17yrs aliposhinda Miss Tanzania.
   17years old eeh
   No one is in charge of your happiness except you...
   God time is the best..
   Tupo wangapi?


  7. uporoto01's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd May 2008
   Location : Nairobi
   Posts : 4,745
   Rep Power : 1606
   Likes Received
   1305
   Likes Given
   4206

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By Firstlady1 View Post
   17years old eeh
   Alitimiza 18yrs alipokuwa kwenye mashindano ya miss world.
   Wengi tuna wazo la Tanzania tunayoitaka/hitaji,tutafikaje huko ?

  8. Calnde's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th October 2008
   Location : Still looking where to settle
   Posts : 1,379
   Rep Power : 913
   Likes Received
   258
   Likes Given
   149

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By Fidel80 View Post
   Madhara ya mizigo toka China ndo hii sasa.
   Ila mrembo katumika mno nahisi itakuwa imechangia vipodozi kugonga mwamba

   daaah! tup makini kweli kwa ku comment. . . .
   pole zake
   In the end will remember,not the words of our enemies but the silence of our friends.

  9. Magezi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th October 2008
   Posts : 2,684
   Rep Power : 1175
   Likes Received
   56
   Likes Given
   63

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   kwani michael jackson alikuwaje mpaka mauti ikamkuta? sasa nashangaa waTZ mnashangaa huyu dada, yeye kaamua kuwa mwenda wazimu mwache!!

  10. Pdidy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 19,869
   Rep Power : 316823508
   Likes Received
   3142
   Likes Given
   3247

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   jamani huyo dada ana miaka 30 ama 31 mbona miaka mnayoandika tofuti na sura yake uko kwenye ngozi sifiki

  11. Pdidy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 19,869
   Rep Power : 316823508
   Likes Received
   3142
   Likes Given
   3247

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   jamani watu wanapaka makalio kuyaongezea uzito uyu anaenda kupaka mapaja heeeeeeeeeeee hakuwa na mshauri...sasa inawezekana dawa ya makalio kapaka sehemu tofauti matokeo yake hayoooo hakujua wachina wakisema dawa ya mikono ya mikono ya hips ya hips ya ma@##$%$^%^ ya maka$#^*&*&

   hapo soln ni kupata dawa aliyokusudia kutumia ndio itaponesha hiyo sehemu nje ya hapo


   llooooooooooooooooo

  12. El Toro's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,253
   Rep Power : 1994
   Likes Received
   548
   Likes Given
   420

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   True natural beauty Wema Sepetu....

   Click image for larger version. 

Name:	wema.jpg 
Views:	9 
Size:	90.4 KB 
ID:	17375
   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs  13. #72
   Rubi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th October 2009
   Posts : 1,602
   Rep Power : 906
   Likes Received
   245
   Likes Given
   197

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Quote By FirstLady1 View Post
   ddduuuuuuuuuuu ndo hivyo jamani sitaki tena mkorogo mie ;)
   Mh! bibie na wewe ulikuwa wambo kwenye mkorogo? Ogopa mkorogo kama ukoma.
   Mlee mtoto katika njia impasayo naye hataiacha hata atakapokuwa mzee.

  14. Wacha1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st December 2009
   Posts : 9,451
   Rep Power : 429498894
   Likes Received
   3257
   Likes Given
   3609

   Default Re: Wema sepetu aharibika

   Aharibike mara ngapi?
   TANESCO hawashindwi kununua mitambo yao Kama kweli Dowans siyo ya JK ataifishe mitambo hiyo kwa sheria ya uhujumu awafilisi RA, EL vile vile awachukulie hatua waliokwapua fedha BOT


  Page 4 of 4 FirstFirst ... 234

  Similar Topics

  1. WEMA SEPETU achoka na maisha
   By Bujibuji in forum Celebrities Forum
   Replies: 41
   Last Post: 24th August 2012, 17:06
  2. Wema Sepetu - video juu ya stage! Aha!!
   By Mwanamayu in forum Jamii Photos
   Replies: 12
   Last Post: 8th July 2011, 14:48
  3. Wema SEPETU
   By Kiranja Mkuu in forum Celebrities Forum
   Replies: 134
   Last Post: 11th June 2011, 10:57

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...