Nakiri kuwa Chege mtoto wa mama side ni msanii mzuri na muziki anaupatia. Kuna wimbo wake nimeufuatilia hadi mwisho nimeshindwa kubaini alikuwa anamaanisha nini. Anasema hivi:
Hili dude bwana weee la kimataifa, ukilipata unapeta, stimu huja juu, shida zote zakuondoka, hata huko nako wanalisifu, jamaika wanalisifu, Bob Marley analisu. Napata shinda hilo dude la kimataifa ni kitu gani maana hajatamka bayana, sisi wa bara twapata shida jamani

Reply With Quote

Follow Us Here