Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
Wanajamvi tetesi zilizopo kwa hewa ni kwamba mshindi mtarajiwa wa BSS kwa sasa atatoka zanzibar.wadau mnanaje hili. How these speculations will affect the selected members!
Yule binti alieimba wimbo wa Alicia Keys wa Fallin Na akajipigia gitaa??
Kura yangu kwa yule dada mzanzibar,ana vocal,na anapiga gitaa ni balaa
Yule mdada ametimia aisee na kama ndio propa siasa za Zantel na udhamini ni sawia kabisa kuwa wameshamuandaa yule binti kumnyanyua,ila ana uwezo mkubwa na ameenda shule ya music na vifaa vyake
aaah...hamna kitu hata Arusha kuna vyombo vya hatari,na wala sidhan kama atakuwa mshindi. Ila anaweza akaingia top 5..
Yule dada sister dread yupo safi sana anajua mziki yes ni mwanamziki anaweza play gitaa! Safi sana!
arusha ilizingua ckuona hip hop hata kidogo
tetesi daima huwa hivo, if u dont act ana always a mentally human being can not act on speculations but he should give attention on such speculations. Angalia uzamini wa zantel af cku nyingi zanzibar ilitengwa na BSS angalia swala la muungano af angalia malalamiko juu ya BSS KWAMBA ET NI YA BARA na kuna wakati kabla hata zantel haijajiingiza kwenye uzamini wa bss wazanzibar walikuwa na mawazo ya kususia pia mwanalie the improparly so calle bss judge salama ni credit kwa wazenji sasa. UPO HAPO. KAMA NA HII DHAIFU BAS WW NDO DHAIFU WA KUFIKIRI. MASIKIO NA MACHO TUNAYO TUSUBIRI MDA UTAKAPOFIKA.
KAMA NI HUYO WALA HAWATAKUA WANAMPENDELEA!its all about her being a musician wa ukweli ambaye anawafunika sio tu washiriki wa BSS mwaka huu hata mastar wengi kama sio karibu wote wa muziki bongo na kwingine!kama mi ningekuwa jugde nampa tu pale pale kwenye uteuzi,the girl has talentS jamani!
IT TAKES A MAN TO CONSTRUCT A HOUSE BUT IT NEEDS A WOMAN TO MAKE A HOME!
IT TAKES A MAN TO CONSTRUCT A HOUSE BUT IT NEEDS A WOMAN TO MAKE A HOME!
mimi sijui; ila ninatambua kwamba mshindi wa BSS mwaka 2012 ni mwanamke(msichana).
twendele lakni jueni kwamba hii thread itarudishwa mshindi atakapo tangazwa
Eli MC anasema Walter anashangiliwa bila kupigiwa kura, Janja yao.
kama walter anatoka zenji basi nakubalilana na wewe!
Follow Us Here