Nani atazama hii kitu saivi?Leo wanaonesha auditions za Lindi na Arusha..it is so very much fun and funny too..
Nani atazama hii kitu saivi?Leo wanaonesha auditions za Lindi na Arusha..it is so very much fun and funny too..
Na hivi kwann salama ni mwepesi kunotice na kucomment kuhusu u cute wa mtu?
jamaa anasema salama hata hajatunga Single moja.
Mm bado namsifu Salama kwani sio kila Jaji alishajaribu kuiba au kuua. Na ndio maana Mmasai kakolea
bado kuna Rais kachagua Mawaziri wakati ni wezi na wamenitahiri wakati hawanipi Ngono
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
KOKUTONA yule dada mwenye mtoto albino kaimba vizuri sana kiukweli..hata sijanotice mwishoni kama kasail through ama la..nijuze.
Next week ni Mwanza na Mbeya,ngoja tuone itakuwaje.
Dah me yule dada nimeumia sana alivyoachwa nkavuta hisia wakati anaimba yule baby alivyokuwa anamuangalia mama yake usoni. Dah yani
wakuu nipeni ratiba ya hiyo kitu...
Salama bingwa wa kusaga. Akiamua kuwaponda vijana anaua kweli kweli. Lakini anachangamsha kipindi. Tatizo lake hataki kwenda shule tu.
weee nani kakwambia salama hataki kwenda shule???
Follow Us Here