Wazee wadai kamtumia sms na email kumwambia yanga ni maskini na wanashindwa kuwalipa wachezaji na makocha wao. Kawekwa kitimito ajijetea hausiki katika hilo
Wazee wadai kamtumia sms na email kumwambia yanga ni maskini na wanashindwa kuwalipa wachezaji na makocha wao. Kawekwa kitimito ajijetea hausiki katika hilo
mmh...jamani! Kwani Shafii ndo mshauri mkuu huko yanga kias cha kuweza ku-influence maximo asije kuwa kocha wa yanga... watu waachage majungu loh!
Tatizo watz tunabwabwaja tu yaani hata mtu hajaingia kontact watu washaanza kuandika andika
Kwani ni wapi hakuna tetesi wewe, hata uko wanakocheza real football tetesi zipo ikawe ndo yanga useme wanabwabwaja,, ishu ni umbea wa shafii
Siwezi jua umri wako ila unaongea kama mtoto mdogo, unajua maana ya tetesi ama unajiandikia tu,Suala la Maximo halikuwa tetesi ila liliripotiwa na viongozi wa yanga na huwezi kusema hizo ni tetesi tena.Halafu acha Unafiki unapomuita huyo mwandishi mmbea una uhakika gani kwamba ni kweli.Wewe ndio mmbea unazungumza usivyovijua.
katika watangazaji wenye mambo ya kishoga clouds wanaongoza kama shaffih na kibonde walifaa wakafanye kazi kwa shigongo maana wana wivu wa kike sna.Wawaige watangazji wenzao wanaofanya kazi vizuri kama kina Millard ayo,Anord Kayanda,Dina Marios,Musa husen,hawa wanapendwa na wengi!
ulishaona wapi klabu ya soka ikawa na kamati ya wazee na ya vijana kama chama cha siasa....hapo hakuna kitu ni upuuzi mtu...
kiwango chako cha kufikiri kidogo sana! Kwa taarifa yako hata timu za ulaya zina jumuiya mbalimbali kotokana na mahitaji ya jamii husika mfano,Liverpool inachama cha mashabiki walemavu kinachotambulika na timu husika.Achilia mbali wazee, vijana nk kafungue mitanda ya timu za ulaya utakutana na haya mambo
Follow Us Here