Zifuatazo ni baadhi ya movie zangu kali nilizokuwa nazipenda sana wakati wa utotoni!
Commando - Arnold Schwarzenegger
Double impact - Van Damme
Drunken master - Jackie Chain
Hadi leo huwa haziniisha hamu kuziangalia, na huwa zinanikumbusha mbali sana!!!
Tupia hapo chini movie gani ilikuwa kali kwako wakati wa utotoni wako/ ujana wako, kwa wengine ni kama vile enzi zileee za video show wakati tv hazijakuwa zimetapakaa hivi!! Ukiweka na picha itakuwa poa zaidi(japo sio sheria)...

Reply With Quote


ki2 predator cha arnold mnakumbuka hii

Follow Us Here