Ipi Inalipa!
Ipi Inalipa!
Vua GAMBA Vaa GWANDA
zote zina lipa inategemea umejipanga vipi!!!
Chunguza hapa,
Diamond v/s Hemed (PHD)
Jacq Wolper v/s Lady JD
Ray v/s Prof J.
Angalia vipato vya mtu kama Ay, Ally Kiba, nk ulinganishe na kina JB, Tinno, Uwoya, Johari n.k.
Swali juu ya swali,
Muziki, Uigizaji na Mpira kipi kinalipa katika international level??
Bado sijapata jibu wajameni!
Vua GAMBA Vaa GWANDA
Kama unatafuta cha kutokea maishani mwako basi piga vyote,
Utakapoelemea ndio hukohuko!!
Kweli maisha magumu nimejiuliza hivi kwa nin umeamua kupost swali hili.NIKAGUNDUA JIBU MAISHA MAGUMU NDIO YANAYOCHANGIA teh teh teh unemployment bwaaana teh teh teh umekaa rumu kwako umechanganyikiwa uanze kufukuzia kipi teh tehe teh inshu sio kuamua kipi kinalipa umejiuliza una kipaji gani?Natania bwana usiniMIND tehe teh teh leo sijui nina raha gani.. Coz nafuraha sana.
Follow Us Here