mashindano ndo yameanza live ss hv Dstv channel no 198 angalieni wadau

TRUE
zambia movie star,,,,....
Mzimbabwe ni Sharo fulani hivi...anaitwa Rocky
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
dah,mwaka huu almost wote ni mcharuko wakuu,cjui hata itakuwaje...
Nchimbi si alisema Serikali haiiungi mkono kwa ajili inaenda kinyume na maadili ya kitanzania baada ya vituko vya Bhoke?. Au TZ inawakilishwa bila ridhaa ya Serikali?.
naona kete ya Zimbabwe itakuwa utata, ngoja tuone.
Superstars wa BBA 2012 ni DKB (Ghana), Lady May (Namibia) na Prezzo (Kenya)
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
Mnaocheki tupeni updates basi tz nani kaingia
Kwa ujumla the house looks good....
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
jockate jamani ataenda kufanya nin?
TZ badooooo
Kwanin watanzania hamumjui mwakilishi wenu BBA?
Time for couples! From Angola.....
Angolan couple ndo inaingia
"WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE....LOOKING BEYOND THE 31 OKTOBA 2010 LANDMARK"
Retired Maj Gen DC (1947)...[email protected]
mwakilishi wa Tanzania ni .....!
loading... Please wait.....!!!!
Is the show really productive?
What do the audience gain from this silliness?
jamaa muuza sura balaa.wanavutia kwakweli...their nut lovers....
Follow Us Here