JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Tuongelee muziki wa rock wadau.

  Report Post
  Page 1 of 2 12 LastLast
  Results 1 to 20 of 35
  1. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Wadau ambao ni rock fans tuongelee muziki huu: nyimbo mpya, bendi kali, nyimbo kalikali and how it aaffects your life mi binafsi nikisikiliza huwa na find hope for the future, what about you?
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  2. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   nawasikiliza the scorpions siku hizi, jamaa walianza muziki 1965 album ya mwisho wametoa 2010 ukisikilza za kuanzia 1980 you will say yeah!
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  3. Apollo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania.
   Posts : 3,883
   Rep Power : 17298361
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1975

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Im on it! Jah bless. How are you my bredren?

  4. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   mi niko poa, vipi masong gani mapya yametoka huko niyapakue
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  5. Kiranga's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Posts : 27,949
   Rep Power : 77628740
   Likes Received
   14701
   Likes Given
   2693

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   I was just watching some old Hendrix concerts/ documentaries, what kind of Rock do you listen to? I dig the old greats, The Eagles, The Killers, The Doors, Queen etc.

   More recent bands I tend to go indie/ alt, Death Cab For Cutie/ Phoenix/ The Raconteurs type.

   Also into Brit indie rock like Arctic Monkeys.
   “Sanity is not truth. Sanity is conformity to what is socially expected. Truth is sometimes in conformity, sometimes not.”: Pirsig, Zen and the Art..

  6. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Quote By Kiranga View Post
   I was just watching some old Hendrix concerts/ documentaries, what kind of Rock do you listen to? I dig the old greats, The Eagles, The Killers, The Doors, Queen etc.

   More recent bands I tend to go indie/ alt, Death Cab For Cutie/ Phoenix/ The Raconteurs type.

   Also into Brit indie rock like Arctic Monkeys.
   mi napendelea rock za kuanzia 2000- , oldies huwa natafuta collection kama queen na jefferson starship.
   punk huwa napendelea zaidi hasa rise against na the ataris my best band kwa sasa hivi ni jimmy eat world
   vipi huwa unasikiliza metal? nawasikiliza nightwish nowdays.
   niliwasikiliza death cab nikajikuta nadownload album nne.
   saa hizi ntawtafuta hao killers na eagles niwaenjoy
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  7. Mnyama Hatari's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th April 2012
   Posts : 335
   Rep Power : 557
   Likes Received
   80
   Likes Given
   16

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Mimi ni mtu wa Guns n' Roses, Metallica, ACDC, Depeche Mode, Billy Joel, Bon Jovi, etc.
   Kwa usalama wako kaa mbali na Mnyama Hatari

  8. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Mimi ni mtu wa Guns n' Roses, Metallica, ACDC, Depeche Mode, Billy Joel, Bon Jovi, etc.
   full metal mzee!
   who made who- AC/DC
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  9. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 23,629
   Rep Power : 51528093
   Likes Received
   12920
   Likes Given
   10024

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Mziki wa kizungu huo, tena wazungu wala unga wenye mapepo machafu
   KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

  10. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Quote By Bujibuji View Post
   Mziki wa kizungu huo, tena wazungu wala unga wenye mapepo machafu
   akiangalia wanamuziki wote hao wanaoimba weird things (mapepo) ni wachache tu, wale wa gothic metal nao ni baadhi tu nyimbo nyingine zina ujumbe kuliko hata za dini au dushelele wasikilize simple plan- nyimbo kama crazy au nickleback nyimbo kama if every one care. zipo hata rock za dini wasikilize casting crowns au newsboys. usichanganye tabia ya mtu na kazi yake
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  11. Apollo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania.
   Posts : 3,883
   Rep Power : 17298361
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1975

   Default

   Quote By Kiranga View Post
   I was just watching some old Hendrix concerts/ documentaries, what kind of Rock do you listen to? I dig the old greats, The Eagles, The Killers, The Doors, Queen etc.

   More recent bands I tend to go indie/ alt, Death Cab For Cutie/ Phoenix/ The Raconteurs type.

   Also into Brit indie rock like Arctic Monkeys.
   wow, Jimmy Hendrix ni mkali sana. Hey, Death cub for cuties wametoa album yao mwaka jana mwishoni. Nawakubali sana hawa jamaa.

  12. Apollo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania.
   Posts : 3,883
   Rep Power : 17298361
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1975

   Default

   Quote By Mnyama Hatari View Post
   Mimi ni mtu wa Guns n' Roses, Metallica, ACDC, Depeche Mode, Billy Joel, Bon Jovi, etc.
   good. Rock on. AC/DC ni noma mkuu. Good. Metallica wamerudi tena.

  13. Apollo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania.
   Posts : 3,883
   Rep Power : 17298361
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1975

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   Mziki wa kizungu huo, tena wazungu wala unga wenye mapepo machafu
   naomba nikuulize swali, Jimmy Hendrix ni mzungu? (father of guitars), black metal ni wazungu? Chucky Berry ni mzungu? Sasa hao ndio wanaoongoza kwa kuanzisha rock. Rock and roll imetoka kwa watu weusi mkuu (ila mimi siamini kama kuna tofauti kati ya weupe na weusi, nimeshangaa kuona mtu unapenda kitu na unaweka mawazo ya Racism). Bendi za weusi zipo nyingi na maarufu, Sevendust kuna Rajon msanii mwenye sauti nzuri katika rock metal kuliko wote), kuna HED-PE, Killswitch engage, Living Colour, Lamb of God e.t.c. Mkuu acha racism.

   Tabia ya mtu sio tabia ya mziki. Mbona kuna gospel rock (CCM), Mfano Sanctus Real, Hawk Nelson, MercyMe, 3rd Days, Back to Sunday, n.k?

   Kuna classic rocks, kina coldplay, one republic, n.k. Wote wanaimba na wastaarabu tu?

  14. Apollo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th May 2011
   Location : Dar Es Salaam, Tanzania.
   Posts : 3,883
   Rep Power : 17298361
   Likes Received
   1233
   Likes Given
   1975

   Default

   Quote By Red Giant View Post
   akiangalia wanamuziki wote hao wanaoimba weird things (mapepo) ni wachache tu, wale wa gothic metal nao ni baadhi tu nyimbo nyingine zina ujumbe kuliko hata za dini au dushelele wasikilize simple plan- nyimbo kama crazy au nickleback nyimbo kama if every one care. zipo hata rock za dini wasikilize casting crowns au newsboys. usichanganye tabia ya mtu na kazi yake
   casting crowns napenda sana gospel zao. Big up kwa kumpa somo huyo.

  15. Kobello's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 20th February 2011
   Posts : 4,870
   Rep Power : 366425
   Likes Received
   2417
   Likes Given
   392

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   I like "California" rock .... kinda alternative mainly Sublime, Sugar ray, Nickelback, Red Hot Chillipeppers, Linkin Park, Coldplay.

   The closest thing to metal that I can listen will be Rage (which is far from that hedbangin metal), Trapt and a lil bit of Motley Crue!
   I'm not into punk and I grew up listening to Afro-rock a lil bit, like Osibisa and my man Fela.

   But I'm a huge fan of Red Hot Chilli peppers (especially before Dave Navarro moved to that wacky Jane's Addiction).
   Keeping quiet is a war crime.

  16. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   The Eagles, Cold Play, Linkin park alafu kuna nyingi sana napenda randomly.... Hua I don't know nani waimbaji.... mara nyingi hata names ya nyimbo I don't know...
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  17. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Quote By Apollo View Post
   good. Rock on. AC/DC ni noma mkuu. Good. Metallica wamerudi tena.

   Apollo I see Red Giant has landed you home.... lol.
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  18. Red Giant's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2012
   Posts : 3,878
   Rep Power : 177319692
   Likes Received
   1509
   Likes Given
   3763

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Quote By Apollo View Post
   naomba nikuulize swali, Jimmy Hendrix ni mzungu? (father of guitars), black metal ni wazungu? Chucky Berry ni mzungu? Sasa hao ndio wanaoongoza kwa kuanzisha rock. Rock and roll imetoka kwa watu weusi mkuu (ila mimi siamini kama kuna tofauti kati ya weupe na weusi, nimeshangaa kuona mtu unapenda kitu na unaweka mawazo ya Racism). Bendi za weusi zipo nyingi na maarufu, Sevendust kuna Rajon msanii mwenye sauti nzuri katika rock metal kuliko wote), kuna HED-PE, Killswitch engage, Living Colour, Lamb of God e.t.c. Mkuu acha racism.

   .
   Tabia ya mtu sio tabia ya mziki. Mbona kuna gospel rock (CCM), Mfano Sanctus Real, Hawk Nelson, MercyMe, 3rd Days, Back to Sunday, n.k?

   Kuna classic rocks, kina coldplay, one republic, n.k. Wote wanaimba na wastaarabu tu?
   Mkuu umenikumbusha lamb of God kuna video moja dingi alitaka amuandalie mwanae birthday party akaangalia majina ya bendi akaona jina lamb of God linasound vizuri akawaalika! watoto nusura wawe viziwi.
   vipi unaifahamu MP3ville.com? jamaa wana torrent files za album mpyampya
   USIPOUANIKA UTAUTWANGA MBICHI

  19. Good Guy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Location : No place like 127.0.0.1
   Posts : 4,427
   Rep Power : 27054899
   Likes Received
   1086
   Likes Given
   792

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   nickel back-how you remind me
   nickel back-burn t to the ground(hii pia ni theme song ya RAW on WWE) i highly recomend these songs 2 all rock fans!! Ukiikosa 2ambizane ntaweka link bt zote nadhan zinapatikana hata beemp3.com

  20. Good Guy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th October 2010
   Location : No place like 127.0.0.1
   Posts : 4,427
   Rep Power : 27054899
   Likes Received
   1086
   Likes Given
   792

   Default Re: Tuongelee muziki wa rock wadau.

   Nyingine if ur in the mood to punch some1 in the face or 2 put ur game face on ni 'This fire burns by killswitch engage" pia ilikua theme song ya zaman ya Cm Punk

  Page 1 of 2 12 LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...