JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

  Report Post
  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
  Results 21 to 40 of 62
  1. Ms Judith's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th December 2010
   Posts : 2,570
   Rep Power : 1105
   Likes Received
   883
   Likes Given
   604

   Default CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo !

   wapendwa,

   hakuna ubishi kuwa huu wimbo ni wa zamani sana na sijui mwaka gani ulitungwa na kuchezwa ila kwa kweli naupenda sana maudhui yake!!

   wakubwa wanasema umejaa mafumbo matupu, anayejua unafumba nini, naomba atujuze.

   WIMBO: Chura
   ALBUM:
   sina hakika
   KUNDI:
   JKT Taarab

   Chura nakuulizia unipe jibu makini,
   kwa kila inyapo mvua wakimbilia bwawani
   Huna nguo za kufua na wala huna sabuni,
   nijibu yapate tua maji utayafanyani

   Chorus
   Chura punguza vituko na wako uhayawani,
   umezua sokomoko watu hawaeleni
   Ukivunjika mgongo, dawa atakupa nani?


   2.
   Mwenzenu nilikisia ni mlinzi kisimani,
   mtu utamzuia maji akiyatamani
   Akaja dada Rukia na ndooye mkononi,
   chura ukajing`atua ukajitosa pembeni

   Chura punguza vituko ………………………

   3.
   Chura bora kuamua wende kulima shambani,
   mazao kujipatia wende kuuza sokoni
   Nguo kujinunulia isitiri maungoni,
   au ukitaka ndoa nenda kaoe nyumbani.

   Chura punguza vituko ………………………

   tuendelee kuburudika kwa raha zetu na tukifurahia na kumshukuru Mungu kuingia mwaka mpya 2012!!

   naomba mwenye audio clip, tafadhari atuwekee,

   mbarikiwe sana wapendwa,

   Glory to God!!
   Mtu awaye yote asiyempenda BWANA, na awe amelaaniwa. MARAN ATHA!!!
   (1 Wakorintho 16:22)


  2. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Re: Audio clip: Madereva wa Mashua - Hii hapa!

   Quote By Buswelu View Post
   Mkuu thanks sana....we shusha link hapa ...mie nshasusha zote nasikiliza taratibu....na grants pembeni...
   Mkuu usijali mimi nawaahidi kuwa ntawatumia links zaidi lakini si unajua tena nazi-convert, then nazi-upload ili niweze kushare na nyie wadau - hivyo muwe na subira kidogo ila asilimia kubwa ya nyimbo ntawapandishia na kuwapa links hapa

   Stay Tuned!

  3. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Macho Yanacheka Moyo Unalia - Hii hapa!

   Wakuu,


   Macho Yanacheka Moyo Unalia - Audio Clip Taarab


   Audio Clip ya Macho Yanacheka Moyo Unalia - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/songs/T-Macho_Yanacheka_Moyo_Unalia.mp 3   Enjoy!


   Nyingine zinakuja

  4. Mr. Bigman's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th May 2011
   Posts : 833
   Rep Power : 807
   Likes Received
   157
   Likes Given
   76

   Default

   Quote By Bujibuji View Post
   hizi ndio taarab zenye akili, nyepenyepe hawawezi kuzicheza
   Waambie Mkuu! Hadija Kopa na mwenzake Mzee Yusufu wametuchakachulia hadi Taarab. Nani kasema eti kwenye Taarab kuna eti Mipasho? Au eti Modern Taarab?. Long live traditional Taarab

  5. Paul S.S's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th August 2009
   Location : Bongo
   Posts : 5,635
   Rep Power : 9948
   Likes Received
   2031
   Likes Given
   1595

   Default Re: Audio clip: Madereva wa Mashua - Hii hapa!

   Quote By Dotworld View Post
   Mkuu usijali mimi nawaahidi kuwa ntawatumia links zaidi lakini si unajua tena nazi-convert, then nazi-upload ili niweze kushare na nyie wadau - hivyo muwe na subira kidogo ila asilimia kubwa ya nyimbo ntawapandishia na kuwapa links hapa

   Stay Tuned!
   Mkuu kama unayo ile taarabu Ya Laiti original version ya Bi Kidude itakuwa powa zaidi
   Much respect
   Tunataka mabadiliko bora, na si bora mabadiliko

  6. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Kifo cha Mahaba - Hii hapa!

   Wakuu,


   Kifo cha Mahaba - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Kifo cha Mahaba - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...CHA_MAHABA.mp3   Enjoy!


   Nyingine zinakuja


  7. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Re: Audio clip: Madereva wa Mashua - Hii hapa!

   Mkuu kama unayo ile taarabu Ya Laiti original version ya Bi Kidude itakuwa powa zaidi
   Much respect
   Mkuu paulss,

   Najitahidi kuzi-convert na kila nikimaliza moja na-upload na ntawapa links hapa hapa - ila nyingi nzuri za zamani utazipata hapa hapa

  8. Buswelu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2007
   Location : Lake Victora Gold Field.
   Posts : 1,959
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   223
   Likes Given
   157

   Default Re: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo!!!

   Quote By Mr. Bigman View Post
   Waambie Mkuu! Hadija Kopa na mwenzake Mzee Yusufu wametuchakachulia hadi Taarab. Nani kasema eti kwenye Taarab kuna eti Mipasho? Au eti Modern Taarab?. Long live traditional Taarab
   Taarabu wana rap hizi masiku...wanacheza na kiduku....wanachakachua ata asili yaani kila kitu vurugu tu hii nchi...
   Live Life so Well That even Death Loves to see you Alive.

  9. DULLAH B.'s Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st April 2011
   Posts : 663
   Rep Power : 85901405
   Likes Received
   130
   Likes Given
   239

   Default Re: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo!!!

   Wimbo mtamu sana huo na umenikumbusha mbali enzi za RTD tu tanzania nzima!

  10. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Nimezama kwa Mapenzi - Hii hapa!

   Wakuu,


   Nimezama kwa Mapenzi - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Nimezama kwa Mapenzi - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...wa_mapenzi.mp3   Enjoy!


   Nyingine zinakuja

  11. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Sabalkheir Mpenzi - Hii hapa!

   Sabalkheir Mpenzi - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Sabalkheir Mpenzi - Hii hapa!
   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...sma_Khamis.mp3

   Enjoy!


   Nyingine zinakuja

  12. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Mahaba Ya Dhati - Hii hapa!

   Mahaba Ya Dhati - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Mahaba Ya Dhati - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...sma_Khamis.mp3
   Enjoy!   Nyingine zinakuja!

  13. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Nyuki - Issa Matona - Hii hapa!

   Nyuki - Issa Matona - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Nyuki - Issa Matona - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...ssa_Matona.mp3   Enjoy!


   Nyingine zinakuja!
   Last edited by Dotworld; 27th February 2012 at 16:55.

  14. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Msumeno - Issa Matona - Hii hapa!


   Audio Clip ya Msumeno - Issa Matona - Hii hapa!
   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...ssa_Matona.mp3
   Enjoy!

   Nyingine zinakuja!


  15. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Kimasomaso - Issa Matona - Hii hapa!

   Kimasomaso - Issa Matona - Audio Clip Taarab


   Audio Clip ya Kimasomaso - Issa Matona - Hii hapa!


   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/songs/T-Kimasomaso-Issa_Matona.mp3   Enjoy!


   Nyingine zinakuja!
  16. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Mapenzi kama Donda - Shakilah - Hii hapa!

   Mapenzi kama Donda - Shakilah - Audio Clip Taarab


   Audio Clip ya Mapenzi kama Donda - Shakilah - Hii hapa!


   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot..._-Shakilah.mp3   Enjoy!

   Nyingine zinakuja!  17. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya MAPENZI YANANITATIZA - Patricia Hillary - Hii hapa!

   MAPENZI YANANITATIZA - Patricia Hillary - JKT TAARAB - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya MAPENZI YANANITATIZA - Patricia Hillary - Hii hapa!   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dotworld/songs/T-MAPENZI_YANANITATIZA-Patricia_Hillary-JKT_TAARAB.mp3   Note: Hii ni one of my favourite song!


   Enjoy!

   Nyingine zinakuja!  18. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Re: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo!!!

   Quote By 3D. View Post
   Huu ni mmoja wa nyimbo za Taarab nizipendazo. Nyingine ni Njiwa peleka salamu, Macho yanacheka moyo unalia, Kifo cha Mahaba, Sabalkheri mpenzi, Nahodha wa mashua, Nyuki, Mahaba ya dhati, Nimezama etc.
   Mkuu 3D

   Audio clips za nyimbo zote ulizozitaja hapo juu tayari zipo hapa jamvini - unaweza ukazipitia na ku-download

  19. Buswelu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th August 2007
   Location : Lake Victora Gold Field.
   Posts : 1,959
   Rep Power : 1127
   Likes Received
   223
   Likes Given
   157

   Default Re: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo!!!

   Click image for larger version. 

Name:	Got them.JPG 
Views:	9499 
Size:	37.0 KB 
ID:	48298
   Got them all....gonna make a CD...
   Live Life so Well That even Death Loves to see you Alive.

  20. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Re: CHURA: JKT Taarab walitisha sana enzi hizo!!!

   Quote By Buswelu View Post
   Click image for larger version. 

Name:	Got them.JPG 
Views:	9499 
Size:	37.0 KB 
ID:	48298
   Got them all....gonna make a CD...

   Hongera Mkuu, na kwa kweli hata mwenyewe kwa jinsi unavyoona ni list ya best Taarab songs - na bado naendelea kuzi-post - therefore mpaka tunamaliza zitakuwa several

  21. Dotworld's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th August 2011
   Location : Arcturus - Boötes
   Posts : 3,867
   Rep Power : 176789781
   Likes Received
   3327
   Likes Given
   3520

   Default Audio Clip ya Mapenzi Yamepungua - Shakilah - Hii hapa!

   Mapenzi Yamepungua - Shakilah - Audio Clip Taarab   Audio Clip ya Mapenzi Yamepungua - Shakilah - Hii hapa!
   http://dl.dropbox.com/u/52629254/dot...a-Shakilah.mp3   Enjoy!

   Nyingine zinakuja!

  Page 2 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

  Similar Topics

  1. Vifaa vya zamani. Tulivitumia sana enzi hizo
   By Mu-Israeli in forum Jamii Photos
   Replies: 15
   Last Post: 15th September 2014, 15:46
  2. Je hawa ni maselebu gani? Walivuma sana enzi hizo....
   By Lucchese DeCavalcante in forum Celebrities Forum
   Replies: 22
   Last Post: 17th January 2014, 12:05
  3. Mapitio ya Shairi la CHURA la JKT Taarab
   By Ms Judith in forum Jukwaa la Lugha
   Replies: 9
   Last Post: 24th November 2012, 17:08
  4. enzi hizo JKT....
   By Bishanga in forum JF Chit-Chat
   Replies: 43
   Last Post: 28th March 2012, 19:21

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...