JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

  Report Post
  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
  Results 21 to 40 of 48
  1. Lucchese DeCavalcante's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th January 2009
   Location : Here in Bongoland
   Posts : 5,496
   Rep Power : 2078
   Likes Received
   607
   Likes Given
   447

   Default Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Ilikuwa ni rahaa mpaka basi pateni mapichaaaaa

   Don't be a WOMAN that needs a man but the WOMAN a man needs
  2. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 13,481
   Rep Power : 429499687
   Likes Received
   7214
   Likes Given
   40013

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By AshaDii View Post
   Na ndio maana Mchambuzi.... IMO mwanaume wa kweli anajua limit ya kiasi cha pombe ambacho kinamfaaa..... Hio picha ni aibu kwa kweli, hua nawaponda saana watu wanaoponda watu maarufu kwa mistakes za mastaa, But this is beyond na naungana na hio group.

   Do you mind nikikuuliza kitu?
   uliza swali lako usihofu.
   "UJINGA NI NUSU YA KIFO"

  3. Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 31,864
   Rep Power : 271424177
   Likes Received
   5828
   Likes Given
   3414

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Domo Zege View Post
   Kibonde ARV zimemkubali
   Ulimpima??

  4. Katavi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st August 2009
   Location : Lyamba Lya Mfipa
   Posts : 31,864
   Rep Power : 271424177
   Likes Received
   5828
   Likes Given
   3414

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By AshaDii View Post
   Hii picha hii..... Dah!
   Pozi la ki-cameroon kabisa hilo..

  5. KakaJambazi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th June 2009
   Posts : 11,047
   Rep Power : 119107427
   Likes Received
   3679
   Likes Given
   3133

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Globalpublisher kuibuka na kichwa cha habari gardner ahisiwa ...........

  6. Leonard Robert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd April 2011
   Posts : 6,855
   Rep Power : 1916
   Likes Received
   1328
   Likes Given
   222

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   kibonde kapona kale ka-kikoozi kakavu?

  7. libent's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2011
   Posts : 383
   Rep Power : 589
   Likes Received
   71
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Mchaka Mchaka View Post
   Dah! hilo pozi la Gadner mbona liko ki-cameroon zaidi!
   Inawezekana anacamerooniwa huyo bongo imeishachafuka mkuu. Nashut down

  8. #27
   Lizzy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th May 2009
   Location : UngaLTD!
   Posts : 22,151
   Rep Power : 106245155
   Likes Received
   8944
   Likes Given
   2169

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Sasa huyo dada wa kwanza alikosa kabisa bra inayoweza kusanya maziwa yote sehemu moja? Au akishaonyesha clivage basi anadhani huko kwingine hakuonekani!!!?

  9. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 27,468
   Rep Power : 411037122
   Likes Received
   16662
   Likes Given
   12575

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By AshaDii View Post
   hahahaha.... Mopaozi are you saying Habbash hio picha ughaibuni itatuletea mapato kwa taifa? lol (God Forbid!)
   Tatizo letu Waswahili hatujui kwamba Wazungu huwa hawaropoki, wakiongea kitu basi ujue wamefanya research ya kutosha, ni kwamba David Cameroun reliable source zake zilimpa taarifa za uhakika kwamba kuna magay wa kutosha kwenye hizi nchi zetu ila hawana uhuru, ndio msingi wa kauli ya Cameroun.
   Kama kusoma hujui basi hata picha huoni? tunawafahamu vijana wengi tu mjini wanaoshikishwa ukuta kwa tamaa za kumiliki vigari mbuzi GX 100.

  10. Capt Tamar's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2011
   Posts : 4,247
   Rep Power : 13984
   Likes Received
   1494
   Likes Given
   531

   Default

   Quote By AshaDii View Post
   Hii picha hii..... Dah!
   Nimehisi harufu ya shoga hapo

  11. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Daudi mchambuzi View Post
   uliza swali lako usihofu.

   Am taking it for granted you have watched "The God Father"... I am curious... Have you read/watched "The Last Don"
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  12. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Matola View Post
   Tatizo letu Waswahili hatujui kwamba Wazungu huwa hawaropoki, wakiongea kitu basi ujue wamefanya research ya kutosha, ni kwamba David Cameroun reliable source zake zilimpa taarifa za uhakika kwamba kuna magay wa kutosha kwenye hizi nchi zetu ila hawana uhuru, ndio msingi wa kauli ya Cameroun.
   Kama kusoma hujui basi hata picha huoni? tunawafahamu vijana wengi tu mjini wanaoshikishwa ukuta kwa tamaa za kumiliki vigari mbuzi GX 100.

   Matala issue sio kwamba watu hawapo... Issue ni kwamba asmuchas kilo kizuri ama kibaya kinafafanuliwa na jamii husika.... At the moment "Ushoga" Tanzania kwa ujumla inachukuliwa na uchafu, tabia mbaya na ya kukemewa kabisa. Hivo basi kukataa/pinga matakwa ya Cameroon sio kwamba hatuna hao watu.. Lah! Bali tu ni kama kuepusha kuongeza idadi ya hao watu katika jamii... Hatujui what the future holds for us na swala la Ushoga litakua chronic kiasi gani, ila tu ni muhimu kwa sasa isihalalishwe.... Mwishowe tutakosa wanaume ambao kweli ni WANAUME katika jamii... What a threatening scenario.... Dah!
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  13. Daudi Mchambuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th November 2010
   Location : Arusha
   Posts : 13,481
   Rep Power : 429499687
   Likes Received
   7214
   Likes Given
   40013

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By AshaDii View Post
   Am taking it for granted you have watched "The God Father"... I am curious... Have you read/watched "The Last Don"
   Aisee zote god father na last don nilianza kwa kitabu then movie, ila books ndo pouwa kuliko movie. Mario Puzo is the best aisee.
   "UJINGA NI NUSU YA KIFO"

  14. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 23,472
   Rep Power : 343094759
   Likes Received
   15065
   Likes Given
   21022

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Domo Zege View Post
   Pamechoka sana,hata huduma ziko hovyo tofauti walivyoanza.Viti vimeanza kufumuka service duni hasa vyakula.Nilimuambia muhudumu vitu vya kubadlisha na huduma kuwa duni,kadri siku zinavyozidi wateja wanapungua sana.
   Mkuu uliwezaje il hali u domo zege lol
   "Samaki haliwi kwa kijiko"

  15. Vin Diesel's Avatar
   JF Gold Member Array
   Join Date : 1st March 2011
   Posts : 7,879
   Rep Power : 109341413
   Likes Received
   4112
   Likes Given
   2455

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Mie naona kama jamaa wa pembeni alikuwa anataka kumhug ila gadner akawa kama haoni na ndio maana ikatokea hivyo....ukitafakari vyema utagundua kuwa picha ambazo huwa zinapigwa na mhusika/wahusika wapo kwenye motion huwa zaweza leta maana fulani....tofauti na zile ambazo watu wameweka pozi la picha....

  16. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 23,472
   Rep Power : 343094759
   Likes Received
   15065
   Likes Given
   21022

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Lizzy View Post
   Sasa huyo dada wa kwanza alikosa kabisa bra inayoweza kusanya maziwa yote sehemu moja? Au akishaonyesha clivage basi anadhani huko kwingine hakuonekani!!!?
   Lizzy....nadhani hakukosa..alifanya makusudi...anadhani bado na yeye 'wamo'
   "Samaki haliwi kwa kijiko"

  17. Malyamungu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 5th July 2009
   Posts : 364
   Rep Power : 706
   Likes Received
   11
   Likes Given
   10

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By El Toro View Post
   Ilikuwa ni rahaa mpaka basi pateni mapichaaaaa

   This is sooo good watu wanavuta raha and pia nimekumbuka home nakata tkt wiki ijayo mangi. Asante kwa ujuzaji

  18. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Daudi mchambuzi View Post
   Aisee zote god father na last don nilianza kwa kitabu then movie, ila books ndo pouwa kuliko movie. Mario Puzo is the best aisee.

   Good! Natafuta wadau wa God Father... Nataka nifungue Thread in the Future.. a discussion on him na his works.... Lakini kupunguza kiu ya Opinions ulizo nazo juu ya jamaa na kazi zake. Ni mhusika gani wampenda in The Last Don?
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  19. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Kaizer View Post
   Lizzy....nadhani hakukosa..alifanya makusudi...anadhani bado na yeye 'wamo'

   Love are you saying yule dada sio wamo?
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  20. Kaizer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th September 2008
   Posts : 23,472
   Rep Power : 343094759
   Likes Received
   15065
   Likes Given
   21022

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By AshaDii View Post
   Love are you saying yule dada sio wamo?
   Yes Love I said It.....you know my standards ooh
   "Samaki haliwi kwa kijiko"

  21. AshaDii's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 16th April 2011
   Location : Changeable
   Posts : 16,196
   Rep Power : 33249116
   Likes Received
   17614
   Likes Given
   18766

   Default Re: Mambo ya muduara nigh Nyumbani Lounge JANA

   Quote By Kaizer View Post
   Yes Love I said It.....you know my standards ooh

   hahaha.... I think it is time you stop being naughty and find another attribute... Naughtiness is making you mean hun'
   “Never get angry. Never make a threat. Reason with people.”
   - Mario Puzo (The God Father)

  Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

  Similar Topics

  1. Competitor wa Lady JD next to Nyumbani lounge-Wambua's restaurant
   By newmzalendo in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 19
   Last Post: 8th June 2011, 22:14
  2. Nyumbani Lounge kwa JayDee huduma kwa mteja hairidhishi
   By Sanda Matuta in forum Jukwaa La Biashara na Uchumi
   Replies: 36
   Last Post: 4th June 2011, 23:59
  3. Mambo ya muduara
   By Lucchese DeCavalcante in forum Jamii Photos
   Replies: 57
   Last Post: 5th January 2011, 18:18

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...