Katika kipindi cha PB leo asubuhi Hando kaahidi kumpatia comlementary 10 mbunge wa mbeya mjini pamoja na wapambe wake ili waje kuona tamasha kubwa ambalo hawajawahi ona. Great Thinkers mnasemaje kuhusu hili

Wanamtusi kiaina,wako juu zaidi yake,atemane nao 2.
may be wameona jinsi alivyo maarufu so wana hisi kama akihudhuria watu wengi wata fika kwenye hilo tamasha lao
ONLY THE FOOLISH DOG BARK AT THE FLYING BIRDS.
Wanajikomba hawa
Hawana lolote!
Follow Us Here