Movie za hollywood na za bollywood zipi zenye hisia za ukweli na kila unapotazama zina kufunza jambo lenye manufaa katika maisha yako...
Movie za hollywood na za bollywood zipi zenye hisia za ukweli na kila unapotazama zina kufunza jambo lenye manufaa katika maisha yako...
kwa hisia tu, bollywood wako juu ila mambo mengine yote wamepigwa gap la maana na hollywood
kwa filamu za mapenzi.. bollywood wapo juu nawakubali mpaka leo
“Not only am I better looking….I’m just plain better.”Arsenal My heart Juventus My soul
Tollywood wanatisha zaidi.
Hivi kila superstar wa bollywood nilazima ajue kuimba? maana Sijawahi kuona movie ya kihindi isiyo na nyimbo, pili umewahi kujiuliza kwanini 90% ya nyimbo zao ni za mapenzi!!
Hollywood ni wakali kwa almost mambo mengi kama sio yote yanayohusu Movie!
Kinachonifanya niwape tano hollywood zaidi ni uwezo wao kutengeneza kisa cha mazingira ya sehemu yoyote duniani na kukidhi utamaduni wa watu husika.
Mnaozungumzia mapenzi, tujikumbushe "mississipi massala" ya Denzel Washngton, ok hii kitambo tujikumbushe "slumdog millionaire".
Hollywood wanaweza kutoa muvie ya kisa cha sehemu yoyote, mfano "The last king of scotland" (uganda), "Hotel Rwanda", "Tears of the Sun" (nigeria), "The kingdom" (iraq) "Black hawk down" (Somalia), "The Man on fire" (mexico)!
Na zingine kibao tu wanajamvi tukumbushane.
Kwa hili nimekuwa nawakubali sana Hollywood, afu pia jingine ni kwamba kwenye movie zao nyingi ile dhana ya kuigiza inaondoka utafikiri kweli hapa namaanisha hasa kwenye stunt, matukio kama majeraha, na matukio makubwa mfano movie ya "2012" unaweza ukadhani dunia nzima ilikuwa inahusika, pia tujikumbushe Titanic, pia uwezo wao wa kutengeneza matukio ya ndani sana ya nchi yao hasa serikalini mfano "24hrs series", au "prison break" (zipo nyingi sana za hivyo, tukumbushane zaidi).
Hapo hatujazungumzia za mambo ya kisayansi na tchnology, sikuhizi kuna animation.... movie kama AVATAR, hii ilikuwa kali sana na story japo kwa kuzitaja ni chache sana.
Bollywood ni wapo vizuri sana, na ni wakongwe sana ila kukumbatia sana "UHINDI" kuliwaondoa kwa kiasi flani kwenye soko la mataifa yasiyoongea kihindi.
Ila bado ni wajanja coz waliliona na wamefanya mapinduzi makubwa sana kwenye game yao, Movie zao za kuanzia miaka ya 2000 wamebadilika sana afu nyingi wana-act ulaya na America.
Jana nilikuwa naangalia "MY NAME IS KHAN" ameigiza Shuh Rukh Khan, kweli nikakuali mabadiliko ya msingi wamefanya na ni bonge la movie, hamna mambo ya kuimbaimba(vikota), humo wameichezea marekani hadi wamemuweka "Obama"...... poa tutaijadili next time kama maada itarusu.
Mwisho wa siku HOLLYWOOD ni WAKALI sana sana kuliko industry zote duniani.
Music affect the lives!!
Hollywood wakali sana hebuangalia picha kama, Expendables, Darfur, Unthinkable, 2012, Titanic, Apocalypto. Bollywood wanalia sana kwa hisia
Utwambombo
Hata Bongowood nao ni wakali!
Hollywood na Bollywood ni kama Mbingu na Ardhi babu...........Bollywood wameachwa mbali sana aisee,kwangu mimi naona Bollywood wanazidiwa hata na akina Leon Schuster wa South Africa
"Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane" Regia Mtema.
Yeh Dosti song - Sholay Very sad
20,000 rupees to capture Gabbar.. it cost amitabs life
Last edited by X-PASTER; 28th April 2011 at 02:34.
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
(¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)
Mehbooba Mehbooba song - Sholay
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
(¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)
Elvis Presley - Trouble
“I am the punishment of God... If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you.”
'O Allah! Keep me alive as long as life is better for me, and let me die if death is better for me.
(¯`·._.•X-Paster™•._.·´¯)
Follow Us Here