| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 2470
|
||||||||||||
|
#2
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Niliku-PM kabla ya ku-check hapa. Be Blessed! |
|
#3
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Mkuu IDIMI,
Nimefanikiwa kuki-download kitabu "Creating Cool Websites With html, Xhtml and CSS". Thanks a lot. Be Blessed! |
|
#4
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
|
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
IDIMI asante kaka nimekipata, JF hoyee!!!
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Mbona sikioni?
|
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndugu Chief,
Kile kitabu nadhani kiliondolewa wakati mtandao ukirekebishwa, kwa hiyo unaweza kuwasiliana na Invisible kwa 'invisible@jamboforums.com'. Mie sikumbuki nimekiweka sehemu gani katika maktaba yangu. Hata hivyo nitumie email yako katika PM yangu, nikikipata nitakutumia. Pia waweza kunitumia email yako kwa 'idimi@jamboforums.com'. Kazi njema Idimi |
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
mkuu mbona hakuna link ya kudownload, yaani sikioni atii
hebu nielekeze vizuri |
|
#9
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Ndugu Joji,
naona mods walikihamisha kitabu hicho kutoka katika thread hii, ila kilikuwepo kwa muda mrefu tu, kama walivyokichota wenzetu hapo juu. Naomba nitumie email yako katika PM yangu nikutumie kitabu hicho kama attachment. Na mwingine yeyote anayehitaji kitabu hicho anitumie email yake katika 'idimi@jamiiforums.com' |
|
#10
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
U can do all this, and more, with Apple iWeb (Apple - iWeb Redirect)
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 01:51 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||