DownloadzWe will put the downloads links here for simplifying your search for some softwares which are free. If you think something is missing please contact Administrators.
Tanzania 1,
Nimefanikiwa kupunguza ukubwa wa kitabu na kukiweka hapa, nadhani sasa unaweza kuchota na kuendelea na kazi ya kutengeneza tovuti. "Tasavali" ukishakamilisha tovuti yako tujulishe!
Jina la kitabu ni lile lile "Creating Cool Websites With html, Xhtml and CSS"
Nikutakie mafanikio.
Idimi
Wazee kuna kitabu kimoja nakitafuta sana, ni cha zamani nilisoma nikiwa darasa la tatu. Kinaitwa USHINDI WA MAHABA. Unaweza ukawa unajua kiliandikwa na mwandishi gani? Ni love story ambayo haijapata kuandikwa tena kama ile. Nisaidieni nikipate tafadhali.
Wazee kuna kitabu kimoja nakitafuta sana, ni cha zamani nilisoma nikiwa darasa la tatu. Kinaitwa USHINDI WA MAHABA. Unaweza ukawa unajua kiliandikwa na mwandishi gani? Ni love story ambayo haijapata kuandikwa tena kama ile. Nisaidieni nikipate tafadhali.
I read it too.I think ni MSHINDI WA MAHABA.Ukifanukiwa kupata detils please do let me know.
Niaje mwana...!!!!
Thank for ur book but mbona sikioni Mkuu..,utanisaidiajeee....!!!!
Pole sana mtu wangu, kila nikijaribu kukiweka naona mtandao unagoma, sasa hali hii inaniletea matatizo kila mara wakati mie nataka kitabu hiki kipatikane mtandaoni kwa kila mwenye kukihitaji.
Hata hivyo sijakata tamaa, nitaendelea kujaribu kukiweka.
Send a private mail (PM) with your email in it, I will send you as soon as possible.
Muadhamu invisible naomba ututupie hicho kitabu tudadavue au nitumie kwenye pm
__________________ Our job is not to make up anybody's mind, but to open minds and to make the agony of the decision-making so intense you can escape only by thinking. ~Author Unknown