Habari hizi nimezipata kutoka dawati la mbele la chama
Habari hizi nimezipata kutoka dawati la mbele la chama
Tutakuwa tumepata rais hovyo kuliko sasa!
Zamani nilikuwa siamini mtu na akili zake timamu, akiona kuna mtu kajinyamazia, basi anamzushia zengwe ili tuu kumchokoa!.
Mtatiro ni boya tuu pale CUF ili kuzugia kupunguza yale makali kuhusu CUF ni chama cha aina gani!.
CUF inao mgombea wa kudumu kwa nafasi zote za urais bara na visiwani!, kwanini mnamchokoza huyo ngao yenu Mtatiro kwa kumzushia na kumsingizia?!.
Jana wametamka ni Chama cha kidini, na wanawaomba wanachama wa Dini ya kiislamu waliopo CDM, CCM na kwinginepo waende CUF sasa leo waongozwe na Rais Mtatiro kwani ni Muislam?
Sending by: BlackBerry 8100 Smartphone using JamiiForum
hizi chokochoko za dini mnazozianzisha zitawacost hapo baadaye!
Nirudieni mimi nasamehe, geukeni sasa niwaponye asema bwana wa majeshi!
Umri, umri umri. Mtoa mada hajui hata Umri wa Mtatiro wala matakwa ya katiba ya sasa (Hatuna hakika kama katiba mpya itaruhusu U40 kugombea.
"Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"
Mtatiro hata kuwa VILLAGE EXECUTIVE OFFICER hafai. nyie mnazungumzia urais? Au atakuwa raisi wa Bububu na Mchambawima?
Uovu wa siku moja, unaondoa wema wa MWAKA MZIMA
Follow Us Here