Tume ya taifa ya uchaguzi inatarajiwa kutoa taarifa zaidi ili kufanikisha chaguzi ndogo za madiwani wapatao 30 nchini kote CHADEMA KAZI KWENU!
Tume ya taifa ya uchaguzi inatarajiwa kutoa taarifa zaidi ili kufanikisha chaguzi ndogo za madiwani wapatao 30 nchini kote CHADEMA KAZI KWENU!
Ni kazi kwa CCM maana ndo watapoteza majimbo yao
[QUOTE=KIDUNDULIMA;4439866]Ni kazi kwa CCM maana ndo watapoteza majimbo yao[ chadema kazi kwenu nikimaanisha wachukue kata zote zilizoachwa wazi!
Ni mpambano mwingine wa ccm na cdm. Lets see.
Nakuomba utusaidie kuweka hapa kata zenye uchaguzi!
Ccm b kazi kwenu
[QUOTE=GateCrasher;4449287]Jamani semeni na CUF basi, Lipumba inamuumiza hii, kila challenje Chadema ndo inatajwa[ siku huwez kuongea mambo ya siasa bila CHADEMA kuguswa hii ni kwa sababu ni chama pekee chenye dhamira ya kweli.
Ccm itavurugwaaaa...
Wembe ni ule ule.
"MUNGU IBARIKI TANGANYIKA, MUNGU IBARIKI ZANZIBARI, RIP TANZANIA"
Follow Us Here