Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor
Nimezaliwa ktk kata hii ya moshono yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya Arumeru mpaka 2livyohamishiwa jiji. DIWANI aliyepo sasa Mr Paul Mattyssen wa CCM aliyepewa kura za kuaminiwa kama JK MWAKA 2005 haonekani na amekuwa majuto kwa wapiga kura.
Ameahidi kutatua kero za maji hasa kuchimba visima ila iyo kwetu ishakuwa kitendawili.Tokea mwaka 2010 nlishauriwa na wazee na vijana wenzangu na pia aliyekuwa mgombea wetu wa ubunge ni_ contest mwaka huo nikawapa sababu kuwa bado mdogo, ngoja chama kinilee.SASA NIMEKOMAA NA NATANGAZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA 'REFRNDUM'MWAKA 2015.
Nimeanza kukijenga chama kwa kukieneza mtaani na kuendesha midahalo vijiweni ambapo mpaka juzi kwa kushirikisha CHADEMA KATA YA MOSHONO TUMEKABIDHI KADI 7 KWA MABALOZI WA CCM MTAA WA SEKEI MORAM!
Last edited by Emeka Anyaoku; 28th April 2012 at 11:44.
Re: Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor
By Emeka Anyaoku
Nimezaliwa ktk kata hii yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya arumeru mpaka 2livyohamishiwa jiji.DIWANI aliyepo sasa Mr Paul Mattyssen wa ccm aliyepewa kura za kuaminiwa kama JK MWAKA 2015 haonekani na amekuwa majuto kwa wapiga kura.Ameahidi kutatua kero za maji hasa kuchimba visima ila iyo kwetu ishakuwa kitendawili.Tokea mwaka 2010 nlishauriwa na wazee na vijana wenzangu na pia aliyekuwa mgombea wetu wa ubunge ni_ contest mwaka huo nikawapa sababu kuwa bado mdogo, ngoja chama kinilee.SASA NIMEKOMAA NA NATANGAZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA 'REFRNDUM'MWAKA 2015.Nimeanza kujenga chama kwa kukieneza mtaani na kuendesha midahalo vijiweni ambapo mpaka juzi kwa kushirikisha CHADEMA KATA YA MOSHONO TUMEKABIDHI KADI 7 KWA MABALOZI WA CCM MTAA WA SEKEI MORAM!
tunakuombea kheri.
"watakaotubeza na kututukana wasameheni wanahitaji ukombozi wa fikra" Mh.G.Lema
Re: Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor
By Emeka Anyaoku
Nimezaliwa ktk kata hii ya moshono yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya Arumeru mpaka 2livyohamishiwa jiji. DIWANI aliyepo sasa Mr Paul Mattyssen wa CCM aliyepewa kura za kuaminiwa kama JK MWAKA 2005 haonekani na amekuwa majuto kwa wapiga kura.
Ameahidi kutatua kero za maji hasa kuchimba visima ila iyo kwetu ishakuwa kitendawili.Tokea mwaka 2010 nlishauriwa na wazee na vijana wenzangu na pia aliyekuwa mgombea wetu wa ubunge ni_ contest mwaka huo nikawapa sababu kuwa bado mdogo, ngoja chama kinilee.SASA NIMEKOMAA NA NATANGAZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA 'REFRNDUM'MWAKA 2015.
Nimeanza kukijenga chama kwa kukieneza mtaani na kuendesha midahalo vijiweni ambapo mpaka juzi kwa kushirikisha CHADEMA KATA YA MOSHONO TUMEKABIDHI KADI 7 KWA MABALOZI WA CCM MTAA WA SEKEI MORAM!
Kamanda anza mchakato mapema, 2015 siyo mbali
Hongera kwa kukishirikisha chama makini CHADEMA.
Ikiwezekana uwe verified kama sisi tunaotumia ID ambazo ni majina yetu
"Peace is not simply about the absence of violence. It is defined by the presence of fundamental liberties and the prevalence of economic opportunities."
Re: Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor
By Emeka Anyaoku
Nimezaliwa ktk kata hii ya moshono yenye rasilimali nyingi hasa mauzo ya moram na kokoto na katu hajapata kutokea diwani aliyejijengea sympathy kwa wapiga kura toka 2kiwa halmashauri ya Arumeru mpaka 2livyohamishiwa jiji. DIWANI aliyepo sasa Mr Paul Mattyssen wa CCM aliyepewa kura za kuaminiwa kama JK MWAKA 2005 haonekani na amekuwa majuto kwa wapiga kura.
Ameahidi kutatua kero za maji hasa kuchimba visima ila iyo kwetu ishakuwa kitendawili.Tokea mwaka 2010 nlishauriwa na wazee na vijana wenzangu na pia aliyekuwa mgombea wetu wa ubunge ni_ contest mwaka huo nikawapa sababu kuwa bado mdogo, ngoja chama kinilee.SASA NIMEKOMAA NA NATANGAZA KUINGIA KTK KINYANG'ANYIRO CHA 'REFRNDUM'MWAKA 2015.
Nimeanza kukijenga chama kwa kukieneza mtaani na kuendesha midahalo vijiweni ambapo mpaka juzi kwa kushirikisha CHADEMA KATA YA MOSHONO TUMEKABIDHI KADI 7 KWA MABALOZI WA CCM MTAA WA SEKEI MORAM!
Jijenge kwa wananchi wenzako Emeka. Hapa tutakushabikia tu. Jipange vizuri especially kwenye habari ya Kusimama vizuri na Mungu wako. Siasa ni mlango mzuri wa adui kushambulia watu. Be wise jombaa.
Jijenge kwa wananchi wenzako Emeka. Hapa tutakushabikia tu. Jipange vizuri especially kwenye habari ya Kusimama vizuri na Mungu wako. Siasa ni mlango mzuri wa adui kushambulia watu. Be wise jombaa.
Re: Natangaza nia Udiwani kata ya Moshono then Arusha city mayor
Nilitoa ahadi na nimeanza kuitekeleza, nitahamia Arusha CDM wakichukua nchi na preferrence zangu ni kuishi Moshono au Njiro so you may as well becoming my diwani.
Funguka zaidi maana naweza hamia kabla ya 2014 jinsi M4C inavyokwenda

Wacha kumhukumu mtu kabla ya wakati wake kuisha. Hakuna hata kata moja Arusha imefanya kitu kwa kipindi cha mwaka moja na nusu tangu wabunge na madiwani kuchaguliwa. Mimi namfahamu diwani Paul wa Moshono,ni mtu hababaiki wala haongeagi uwongo na wala sio mwanasiasa. Huyo ni mtendaji zaidi na alishaanza kushughulikia kero ya maji hapo Sekei na kero ya maji Moshono yote. Mimi ninafanya kazi AWUSA na ninamwona huyu Diwani wa Moshono, haipiti wiki hajafika AWUSA anavyo hangaikia swala la kero ya maji Moshono. Tena alihshatupa eneo kwenye mlima fulani (mali yake) ili pawekwe tank kubwa la maji wakati tutakapoanza shughuli za kuboresha mundombinu wa maji Kata ya Moshono. Watanzania tujifunze kuwa na subira.
Hamna cha Paul wala cha nani !! Wote maneno mengi !! Kaka ukishindwa !! Mm nakuja na nguvu ya uma !! Moshono ni kata nnapoishi !! Ni kati ya kata nzuri mno Arusha !! Ila tukibaki na viongozi wa kipumbumbavu tunaiharibu !!
Follow Us Here