Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

    Report Post
    Page 3 of 3 FirstFirst 123
    Results 41 to 44 of 44
    1. #1
      Chiume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 48
      Rep Power : 368
      Likes Received
      15
      Likes Given
      2

      Default CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

      Nimehudhuria kampeni zote za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki mpaka siku ya kupiga kura na kutangazwa matokeo. Hongera kwa makamanda wa CDM hasa John Mrema na Vincent Nyerere kwa kutuongoza vyema kushinda ARM.

      Pamoja na pongezi lakini nimesikitihswa na mkanda mmoja wa video unaoonyesha jinsi viongozi wa CDM walivykuwa nao kumbe wakiporomosha matusi ya ajabu kwa viongozi wa CCM.

      Mfano kwenye video hizo kuna mahali wanasema......CCM INATUMIA NYARA ZA SERIKALI KUFANYIA KAMPENI, KWANI ETI WASIRA ANAFANANA NA NYANI AU SOKWE HIVYO NI NYARA YA SERIKALI. Wanaendelea kusema ETI RAIS AMBAYE WALIKWENDA IKULU KUMTAMBUA BAADA YA KUMKATAA KWA MUDA MREFU.. ANAPAKA PODA TU NA HIYO NDO KAZI YAKE....

      SASA KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MATUSI HAYA NA YALE YA LUSINDE NA WENZAKE? LAZIMA CDM NA VIONGOZI WAKE TUJITOFAUTISHE ILI TUAMINIKE BANAAA!!!
      msomi kweli and rsalumu like this.

    2. Miaka 50

    3. #41
      Tutor B's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th June 2011
      Location : Bukoba Municipal
      Posts : 1,967
      Rep Power : 1187
      Likes Received
      595
      Likes Given
      43

      Default Re: CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

      Quote By Sikonge
      Kwenye hiyo Video, Halima Mdee anasema kitu kama hiki ".....huyu mzee ni Mbaya KAMA SOKWE."

      Ila hili la Wassira ni Nyara ya Serikali, hahahaaaa........ Sijaisikia kabisa na ndiyo kwanza naisoma.

      Hili ya Kikwete Kupaka Poda, khaaaa..... hii Chiume umejitungia Mgogo wangu, AGWEEE!!!!!

      Hahaaaaaa, Waarabu waje wachukue Nyara nyingine iliyopo CCM, Ringo Edmund hufai kabisa Mkuu, hahahaaa

      Wee Chiume umepinda Mkuu, Hahahaaa Nyara za Serikali, DUHH!!!!!!!
      Mwenye machoo haambiwi tazama! Angalia picha vizuri alafu useme tusi ni lipi, kufananisha kitu na kitu kingine ni jambo la kawaida.
      "Ukipendwa - penda, ipo siku utapenda - usipendwe"

    4. #42
      OLEMELAMI's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 18th April 2012
      Location : Moshi
      Posts : 6
      Rep Power : 358
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

      Namkubali sana kamanda mdee kwa umihiri wake wa kusimamia ukweli kamanda tupo pamoja

    5. #43
      busara ya mzee's Avatar
      Member Array
      Join Date : 25th April 2012
      Posts : 71
      Rep Power : 370
      Likes Received
      5
      Likes Given
      25

      Default Re: CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

      Tujiulize alafu sisi wenyewe tutoe majibu...Nauliza je? mhe wasira anafanana na nyani? haya....

    6. #44
      silver25's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th July 2010
      Location : DSM
      Posts : 700
      Rep Power : 587
      Likes Received
      23
      Likes Given
      18

      Default Re: CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

      Quote By Chiume
      Nimehudhuria kampeni zote za uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki mpaka siku ya kupiga kura na kutangazwa matokeo. Hongera kwa makamanda wa CDM hasa John Mrema na Vincent Nyerere kwa kutuongoza vyema kushinda ARM.

      Pamoja na pongezi lakini nimesikitihswa na mkanda mmoja wa video unaoonyesha jinsi viongozi wa CDM walivykuwa nao kumbe wakiporomosha matusi ya ajabu kwa viongozi wa CCM.

      Mfano kwenye video hizo kuna mahali wanasema......CCM INATUMIA NYARA ZA SERIKALI KUFANYIA KAMPENI, KWANI ETI WASIRA ANAFANANA NA NYANI AU SOKWE HIVYO NI NYARA YA SERIKALI. Wanaendelea kusema ETI RAIS AMBAYE WALIKWENDA IKULU KUMTAMBUA BAADA YA KUMKATAA KWA MUDA MREFU.. ANAPAKA PODA TU NA HIYO NDO KAZI YAKE....

      SASA KUNA TOFAUTI GANI KATI YA MATUSI HAYA NA YALE YA LUSINDE NA WENZAKE? LAZIMA CDM NA VIONGOZI WAKE TUJITOFAUTISHE ILI TUAMINIKE BANAAA!!!

      Haina mashiko.. kama kweli wewe unaakili Timamu Hebu Weka ushahidi wako ukishindwa ni kinyume chake

    7. FemaTV & Radio
    Page 3 of 3 FirstFirst 123

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...