Napenda kujitokeza tena kushare fikra angavu tena,,,
fikiri juu ya chaguzi ndogo zinazochukua picha mpya kila kukicha ambazo ni gharama kuendesha, hivi
ni lini tutafanya maendeleo? Fedha nyingi tutumiazo na bado tunaongeza gharama kwa kumtoa mbunge
mwingine kwa zongo na kutegemea kufanya mabadiliko katika sehemu ambayo mlishashindwa
mwanzoni. Bado sensa inakuja kitu ambacho ni common kwa maendeleo.
Hivi sisi ni lini tutatatua matatizo ya jamii ambayo ni msingi?

Reply With Quote



Follow Us Here