Katika mkutano wa leo mbowe ametoboa siri ya mafanikio ya CHADEMA kuwa ni umoja walionao katika uongozi wao huku wabunge wao wakiwa tayari kutumika katika ujenzi wa chama hicho. Amewaomba wameru wasishangae kumuona Nasari akiwa Lindi au Mtwara katika shughuli za ujenzi wa Taifa kwani mbunge wa Chadema ni mbunge wa Taifa. Hayo aliyasema kukiwa na mvua kubwa iliyoendelea katika mkutano wa shukrani kwa Wameru kukichagua Chadema katika viwanja vya Leganga USA leo jioni.

Reply With Quote


Ushindi wa chadema Arumeru mashariki na viti vya udiwani imetuma ujumbe mzito kwa ccm na serikali yake, kwamba nguvu ya uma ukiamua mafisadi hawana ujanja, Kwani tuliskia vitisho vya mawaziri wanaolipwa kwa kodi zetu wakiwatisha wana Arumeru.


Mbowe ashukuru Wana-Arumeru.jpg)

Follow Us Here