Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.
Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari
Mytake:
Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Hii thread inafanana sana na story ya Nipashe ya leo inayosema,"Sitta, Kilango wakwama Kirumba, Kiwira"... Hahahaaa!! Tuone na kesho itakua Mwigulu, Nape Mkapa wakamwa Arumeru".... Wakati Nipashe, Mwananchi Jumamosi waliandika "Lowassa atumia karata ua ardhi, maji Arumeru; Sikuja kumtukana mtu wala kutoa kashfa".... "Lowassa:Mimi mtu wa vitendo, porojo sitaki".. Yote yakiwa na picha kubwa za kuvutia. Sasa waseme, alivyokwama.
Kwa kifupi, hizi siasa za makundi hazitaisha, na zitawamaliza kabisa hadi hapo Mwenyekiti wa CCM atakapoamua kuchukua upande na si kukaa katikati kama sasa. Haiwezekani CCM ikaendelea kufanya vizuri kwa mchezo huu unaoendelea sasa, ni mchezo ambao hauna maslahi kwa chama chenyewe na ni hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Kilichotokea Arumeru ni dalili ya kutokea mabaya zaidi 2015 ikiwa CCM haitapambana na rushwa. Wananchi kwa sasa wameshaonyesha wazi kuchukia rushwa maana inawatesa. Siku hizi hata mwanafunzi akifeli mtihani kwa uzembe wake, anaamini kuna "ufisadi" uliomsababisha kufeli. Japo inaweza kuwa kweli ufisadi umemfanya akose hata chakula na kushindwa kusoma ama hata kukosa pa kulala, ama kukosa hata ada kwa wakati, lakini inatosha kutambua kwamba sasa CCM haiwezi kukwepa ajenda ya ufisadi na Sitta na wenzake, wasitumie ajenda hiyo kwa maslahi yao, wapambane kikweli na wasikubali kutumika kama Sendeka na Nape waliokwenda Arumeru. Hata Mwigulu, alionekana kuwa kama kasukumwa tu, lkn moyoni hakuwa anatamani Siyoi ashinde. Mengi tutayasikia.
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Je ana maana kwamba wanaoiangusha ccm ni ccm wenyewe ???
By kachanchabuseta
nimeshangazwa sana kusikia mh. S. Sitta
akisema sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.
Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa habari
mytake:
Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Sitta angeshakuwa CDM siku nyingi sema maslahi anapenda sana maslahi ndio maana anakataa kuhamia upinzani ili azeeke kwa heshima kuliko kuwa ccccmmmm kaazi kweli kweli. Kwanini kwenye vikao vya kumpitisha SIWOWI MSUMARI hawakusema? Mkuu wa kayaaa aliona ni vema sasa asafishe chama gani?
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
By Kachanchabuseta
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.
Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari
Mytake:
Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
sita amekua na misimamo sana na yuko consistent sasa sijui huo unafiki nyie mnauona wapi
mbona sioni umeme, maji wala barabara, 30% PAYE na Kodi nyingine katika bidhaa, zinaenda wapi?
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Mh.Sitta anatakiwa akubali bila kushinikizwa kuwa chama chake hakina sera, wala asijaribu kumtaja mgombea kuwa ndiye sababu ya kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi wa Arumeru
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
mheshimiwa 6 anataka uraisi huyu, ndo maana ni paka na panya na lowasa, ni afadhali ya paka na panya tena. pia 6 ni mnafiki hatufai, slaa ndo jembe letu la uraisi 2015
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
By kachanchabuseta
nimeshangazwa sana kusikia mh. S. Sitta
akisema sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.
Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa habari
mytake:
Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
sita amekua na misimamo sana na yuko consistent sasa sijui huo unafiki nyie mnauona wapi
kaka hiyo consistency ni ipi? Ya kuishi kwenye choo kichafu na kulalama harufu mbaya ya kinyesi bila kutoka nje na huku akiendelea kunenepa?! Naona kaubongo kako kanajaa kiberiti! teh te te!
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
Mheshimiwa Sitta,
Mbona unatamka kama vile umeshakuwa Mwenyekiti? Rais mstaafu Mkapa mwenyewe, Katibu Mkuu na Mhe. Lowassa walikuja hapa kwa kampeni, wakamwacha yule Livingstone Lusinde akimwaga MATUSI yaliyowaudhi WAMERU waungwana na wastaarabu; na kuthibitisha CCM ni wahuni waliofilisika kimantik na kisera.
Katika kampeni za Ubunge wa Arumeru Mashariki chama chako kimejitwalia umaarufu wa CHAMA CHA MATUSI (CCM).
Shame to a Political Party to which I once belonged!!!!!!!!!!!!!!!!!
re: Samwel Sitta: Siyoi Sumari hakuwa Chaguo la wanaCCM
By Kachanchabuseta
Nimeshangazwa sana kusikia Mh. S. SItta
akisema Sioi hakuwa chagua la wanaccm maana kapandikizwa
kwa mizengwe.
Akiongea kwa masikitiko kwa ccm kuzidi kudhoofika na kutokukubalika
kwa wananchi amamuomba mwenyekiti wa chama kusafisha chama ili nyota
ya chama ianze kung'ara. Hii ni kwa mjibu wa sitta baada ya kuongea na waandishi wa HAbari
Mytake:
Naona chama kinazidi kuparaganyika na sitta anazeeka vibaya
maana unafiki wake ndo unamponza
Umeandika vizuri mwanzo lakini mwisho umetoa kauli inayoonekana kama ya kilevi,anazeeka vibaya kivipi?kwa kumshauri kitu cha ukweli mwenyekiti wake au?Ulitegemea afanye nini katika umri wake huo kama mzee katika jamii???
ukweli ni kwamba ccm walishindwa toka siku ile walipompitisha huyu mkwe wa lowassa,chama arumeru kiligawanyika,na waarumeru waliona kama ni matusi kwao kuwaonyesha kama wao wote hawana akili zaidi ya familia moja tu sumari ambayo ndio ilistahili ubunge kwa kurithishana,ndio mana mzee sitta kasema hivyo na hata wengine tuliweka thread mapema hapa kuwaalert ccm kwamba wanaelekea kushindwa uchaguzi huo
Follow Us Here