Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    Report Post
    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast
    Results 61 to 80 of 116
    1. #1
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,184
      Rep Power : 815
      Likes Received
      256
      Likes Given
      0

      Default Lusinde afukuzwe CCM mara moja

      Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa


    2. #61
      mapinno's Avatar
      Member Array
      Join Date : 18th October 2007
      Posts : 24
      Rep Power : 600
      Likes Received
      4
      Likes Given
      7

      Default Re: Hongera Sana LUSINDE........

      Ni aibu kwa watu wa chamwino kwa matusi uliyoyatoa hadharani

    3. #62
      TUNAKWENDAWAPI's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 6th February 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Wapi Livingstone Lusinde!!!!!

      Taratibu watajifunza! haya ni masomo machahce tu kwa kuanzia, Hali itakua mbaya zaidi 2015, wasubiri waone!

    4. #63
      Mtanzania wa Uru's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 366
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Lusinde ashitakiwe kwa matusi

      Naomba sheria ishike mkondo wake. Je matusi aliyosema wazi kweli huyu mtu ana watoto kweli? Anaongea huku anaona watoto wanamsikiliza aibu wana CCM. Mpeni tuzo bora ya kumwaga matusi na chama aondoke amewaibisha huyo Lusinde hana hata chembe ya busara.

    5. #64
      Ruhazwe JR's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st January 2011
      Posts : 3,177
      Rep Power : 2893
      Likes Received
      777
      Likes Given
      723

      Default Re: Hebu pata picha siku mzee wa matusi (Lusinde) anaingia bungeni...

      huyu ashitakiwe,na asife awe hai mpaka siku tunamyanganya jimbo lake ndio atajua nani kidume cha mbegu

    6. #65
      BJEVI's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Posts : 820
      Rep Power : 591
      Likes Received
      167
      Likes Given
      145

      Default Re: Lusinde ashitakiwe kwa matusi

      ifanyike mara moja ...huyu jamaa ni kichaaa ,,,,lakini ukichaa wake utajikamilisha vema pindi atakapo kuwa anajitetea mbele ya mahakama...ni aibuuuuuuuuuuuuu kwa mtu uliyepigiwa kura kuongea ugoro kama huo .WAGOGO wa mtera mpooooooooooooooooo mlikusudia kumchagua huyu jamaa?????????????????????? ni aibu mno....


    7. #66
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 4,085
      Rep Power : 1237
      Likes Received
      988
      Likes Given
      247

      Default Re: Hebu pata picha siku mzee wa matusi (Lusinde) anaingia bungeni...

      Atatembea mguu na mkono wake(atatupa mkono wa kulia kwa mguu wa kulia na wa kushoto kwa mguu wa kushoto)

    8. #67
      Jiwe Linaloishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2008
      Location : Mlimani
      Posts : 3,172
      Rep Power : 17255
      Likes Received
      1662
      Likes Given
      1188

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      ilikuwa ni uchaguzi wa HAKI NA RUSHWA haki imeshinda tunaomba wanachi waendelee na moyo huo huo KULA CCM KURA CHADEMA
      SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI

    9. #68
      kimandolo's Avatar
      Member Array
      Join Date : 19th April 2011
      Posts : 30
      Rep Power : 420
      Likes Received
      2
      Likes Given
      1

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      nimemwona lusinde karikoo mtaa wa agrey, aliikimbia kambi arumeru sasa wanajipanga kupeleka ripot kwa boc wao mukama, mh. sita na mama kilango nao wapo hoi kwa kupoteza kata walizoenda kuiba kura

    10. #69
      tz_mpya's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 3
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      0

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Aaaamen mtumishi

    11. #70
      MAJANI YA KUNDE's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th August 2008
      Posts : 193
      Rep Power : 590
      Likes Received
      33
      Likes Given
      5

      Default Re: Lusinde ashitakiwe kwa matusi

      Quote By Mtanzania wa Uru View Post
      Naomba sheria ishike mkondo wake. Je matusi aliyosema wazi kweli huyu mtu ana watoto kweli? Anaongea huku anaona watoto wanamsikiliza aibu wana CCM. Mpeni tuzo bora ya kumwaga matusi na chama aondoke amewaibisha huyo Lusinde hana hata chembe ya busara.
      Lusinde ni product ya CCM ya leo hii ndio dira ya Chama kuwaengua Wastaafu ili kuweka vichaa na Taahira kama Lusinde kwani mwenyewe alikiri kuwa ni kichaa wa kuzaliwa.

    12. #71
      interprevist's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 34
      Rep Power : 370
      Likes Received
      13
      Likes Given
      1

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Eee Mungu na uwajalie WANACHADEMA mshikamano, mbinu bora, na maono mema yatakayoweza kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya magabachori. Amen

    13. #72
      Mtanzania wa Uru's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 10
      Rep Power : 366
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Hiyo siyo sauti ya Mungu bali ya Lusiferi Lusinde. Tumwache tu kwani ukishindana na kichaa nawe utaitwa kichaa au siyo. Alikiri mwenyewe ni kichaa wa kuzaliwa hivi huko Bungeni anafanya nini wakati yeye ni kichaa? Watanzania mnahitaji ushahidi gani tena kwa hili? Kama hayo ndiyo maneno ya ccm basi imekwisha. Kikwetee oheeee na hongera kwa vijana wako wanaokuabisha kila kukicha, inasikitisha wana CCM

    14. #73
      Crucial Man's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 1,353
      Rep Power : 698
      Likes Received
      272
      Likes Given
      16

      Default

      Quote By gmosha48 View Post
      Mkuu, lusinde ndo jembe la magambaz, hawawezi kulitosa. Atabaki nani sasa?
      kama ndie jembe lao,then wameishiwa wa kuwaita majembe.

    15. #74
      Njaare's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th September 2010
      Posts : 585
      Rep Power : 668
      Likes Received
      96
      Likes Given
      176

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Quote By interprevist View Post
      Eee na uwajalie CHADEMA mshikamano, mbinu bora, na maono mema yatakayoweza kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye mikono ya magabachori. Amen
      Amen Mtumishi!

    16. #75
      msengo2012's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 23
      Rep Power : 368
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Ukweli wamejifunza somo,ni wanafiki hawa.

    17. #76
      Kuchayaa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th December 2011
      Posts : 81
      Rep Power : 394
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      no human power will ever defeat God power!

    18. #77
      Lukansola's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th September 2010
      Location : 6°48′S 39°17′E
      Posts : 3,337
      Rep Power : 1075
      Likes Received
      756
      Likes Given
      1005

      Default Re: Lusinde afukuzwe ccm mara moja

      Quote By Mchaka Mchakani View Post
      bado wanasubiri kura za vijijini!

      Watasubiri sana, siku hizi vijijini hakuna wajinga, TV ziko kila mahali na habari zinafika kote mitandao ndio usiseme.
      Kaaaaaazi kwerkwer
      NO SECOND CHANCE TO MAKE THE FIRST IMPRESSION

    19. #78
      Non stop's Avatar
      Member Array
      Join Date : 29th November 2011
      Posts : 68
      Rep Power : 395
      Likes Received
      10
      Likes Given
      13

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Rest in Peace Magamba Arumeru East,.viva forever CDM kwapamoja tutaijenga na kuikomboa nchi yetu kutoka mikono dhalimu ya wanyang'anyi magamba.
      All the best Kamanda Joshua Nassari kama kawa next wk mjengoni.

    20. #79
      Safety last's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 2,733
      Rep Power : 963
      Likes Received
      541
      Likes Given
      6

      Default Re: Katika timu ya kampeni, Lusinde na Wasira walikuwa ni chaguo la Mungu!!!!!!

      Welldone chadema

    21. #80
      Mchana's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Posts : 126
      Rep Power : 624
      Likes Received
      5
      Likes Given
      51

      Default Re: Lusinde ashitakiwe kwa matusi

      naomba wanasheria wana JF mtupe mwongozo sisi ambao si wataalamu wa sheria namna ya kumshtaki huyu jamaa. Tupeni vifungu husika, na namna ya mashtaka ya kumfungulia ikiwezekana kama Chadema hawataki kumshtaki, wapiga kura tujitolee kufungua mashtaka.
      CHUAKACHARA likes this.

    Page 4 of 6 FirstFirst ... 23456 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...