Namtaka Pasco, aka Pasco wa JF aje hapa!
My take:
Unafiki na kuwaramba miguu watawala si dawa!
Namtaka Pasco, aka Pasco wa JF aje hapa!
My take:
Unafiki na kuwaramba miguu watawala si dawa!
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
Pasco ni mfuata upepo na hana msimamo.....
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
"The only thing that walks back from the tomb with the mourners and refuses to be buried is the character of a man.
What a man is, survives him... it can never be buried"
(GENEKAI-Jamiiforums, 4th November 2010 07:32PM).
[email protected]
....Shimo La Panya Halifunikwi Kwa Mkate.....
Hivi mlifanikiwa kumpata Pasco wa JF? Ama alishajinyonga?
Sweetlady na wewe hizi furaha usije ukamdanganya mdogo wetu kuwa uko single, manake yeye hajaoa hata chuo kimoja na wewe saa hizi una phd!
I can be changed by what happens to me. But I refuse to be reduced by it-Maya Angelou
PJ,
Ningependa nikukumbushe tena (najua umeshaambiwa na wengine, ama unatambua hili) kwamba Pasco ni Pro Lowahasa wa JF.
Kwakuwa Sioyi kaoa kwa Lowahasa, by default Pasco anakuwa ni follower wa Sioyi!! Kwahiyo alichokifanya ni haki yake ya kuutetea ukoo wa Lowahasa!!
Kinachonisikitisha kwa "Pasco wa JF" ni kitu kimoja tu, kila siku kukana kwamba yeye si mfuasi wa chama chochote cha siasa wakati matendo yake yanazungumza bila hiyana kwamba kama si mwanachama hai basi ni shabiki sugu wa magamba. Kama angethubutu kudeclare kwamba yeye ni mwanachama ama mshabiki sugu wa magamba tusingemshangaa wala kumlaumu.
Lakini kwakuwa anajaribu kucheza na akili za watu hapa JF na kudhani kwamba watu hawajui kusoma betwen the lines, ama anadhani watu hawajui kusoma body language, basi atambue kwamba kwa kuendelea na tabia hiyo, hakutakuwa na kosa lolote tukimuita MNAFIKI.
Honesty is a very expensive GIFT. Do not expect it from cheap people.
Follow Us Here