Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

    Report Post
    1. #1
      Nanyaro Ephata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Location : Arusha
      Posts : 610
      Rep Power : 545
      Likes Received
      412
      Likes Given
      1

      Default Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Baada ya ccm kuzidiwa kila kijiji,leo Naibu Waziri wa Ardhi Ole Medeye,akiwa na gari ya Serikali,alifika Kata ya Mbuguni,akiwa kwenye kikao cha ndani cha kutoa rushwa,ndipo wananchi waliokusanyika kumsikiliza naibu waziri,walishangaa kupewa rushwa ya shilingi 20,000,kila mmoja,badala ya kupokea wakaanza kumshambulia Ole Medeye,na kumweleza kuwa walifikiri anakuja na majibu ya matatizo yao ya ardhi na si kuwapa hela,Medeye alifanikiwa kutoroka na kukimbilia shuleni ambako umma ulizidi kumkimbiza,ndipo akaomba msaada wa polisi na aliondoka chini ya ulinzi mkali wa polisi.

    2. Miaka 50

    3. #21
      marejesho's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : MULA
      Posts : 3,365
      Rep Power : 13048
      Likes Received
      1557
      Likes Given
      1137

      Default

      Quote By Said Bagaile
      Mbona kuna ndugu yangu yuko Arusha amesema jamaa kapigwa sana na hadhani kama atapona!
      Hii itakuwa fundisho kwa wengine!!

    4. #22
      bemg's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th April 2010
      Posts : 1,614
      Rep Power : 783
      Likes Received
      218
      Likes Given
      350

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Bora alikimbia kuepuka shari zaidi .CCM wangefanya mauji makubwa na kamatakamata ya polisi ingefika hadi Arusha mjini kusaka Top leader wa chadema ili wabambikizwe kesi.CCM bila rushwa ni haiwezi kushinda
      Ni jambo zuri na la kupendeza sana ndugu kuishi pamoja kwa umoja

    5. #23
      Rweye's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2011
      Posts : 2,674
      Rep Power : 949
      Likes Received
      414
      Likes Given
      0

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Pigeni sana wezi hao

    6. #24
      Chakunyuma's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Location : Masasi
      Posts : 751
      Rep Power : 561
      Likes Received
      134
      Likes Given
      283

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      CCM ni janga la kitaifa, kwa rushwa wao, ufisadi wao basi taabu tupu. Watz tuamke tuukatae huu mfumo unaolea maovu mwisho isije tukaangamia wote hata kama hatujashiriki kuu-create na kuuendeleza.
      "global human society based on poverty for many and prosperity for a few, characterised by islands of wealth, surrounded by a sea of poverty, is unsustainable" T.Mbeki

    7. #25
      jogi's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 4,046
      Rep Power : 0
      Likes Received
      982
      Likes Given
      247

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Kwanini hawamkamati na kumdunda mwigulu mtoa rushwa mkuu? nasema hivyo kwa kiwa anaripotiwa mara nyingi kutoa mlungula!!!!


    8. #26
      Konya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 817
      Rep Power : 567
      Likes Received
      79
      Likes Given
      1

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      na hivi visenti ndo vilivyo na vitakavyotuponza bora alivyopigwa

    9. #27
      Godwinnko's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2012
      Location : Moshi
      Posts : 485
      Rep Power : 670
      Likes Received
      111
      Likes Given
      64

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      jamani wana arumeru wenzangu nawakumbusha ile formula yetu:
      kula ccm kura chadema...

    10. #28
      Nanyaro Ephata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Location : Arusha
      Posts : 610
      Rep Power : 545
      Likes Received
      412
      Likes Given
      1

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Kimsingi huyu Medeye ana bahati sana,mkakati ni kwamba akikamatwa apate kichapo kama cha mwizi mtaani,

    11. #29
      Feedback's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th March 2011
      Posts : 4,098
      Rep Power : 1247
      Likes Received
      2066
      Likes Given
      1126

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Naona lile some la kula CCM kulala CDM linafanikiwa.
      Only in Tanzania

    12. #30
      Blaki Womani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Location : migombani
      Posts : 4,368
      Rep Power : 26650
      Likes Received
      2662
      Likes Given
      1562

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Aibu zao wapate kichapo hata wanaogawa tisheti na khanga

    13. #31
      Nanyaro Ephata's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Location : Arusha
      Posts : 610
      Rep Power : 545
      Likes Received
      412
      Likes Given
      1

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Huyu jamaa ni janga la kitaifa,anaendekeza siasa za ukabila na ukanda,

    14. #32
      Mwangendage's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th January 2012
      Posts : 52
      Rep Power : 382
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      kwa kifupi mnajadili taarifa ambayo si ya kweli. taarifa ya kweli isome kwenye gazeti la Jambo leo au Tanzania Daima la leo. japo sikuwepo huku Mbuguni but nipo Arumeru.

    15. #33
      chitambikwa's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Location : KAISHO
      Posts : 3,169
      Rep Power : 1960
      Likes Received
      573
      Likes Given
      426

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Nashukuru kwanza wamechukua alfu wakampiga mawe
      IT IS TO THOSE WITHOUT TEETH GOD GIVES MEAT

    16. #34
      DASA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : JF
      Posts : 1,000
      Rep Power : 625
      Likes Received
      260
      Likes Given
      220

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Wangemmaliza kabisa ingekuwa poa... yani hapo ingekuwa China saa hizo tunachonga jeneza.
      HAKI HAITAFUTWI UKIWA UMELALA KITANDANI...................

    17. #35
      Zemu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th June 2008
      Posts : 427
      Rep Power : 645
      Likes Received
      45
      Likes Given
      18

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      hao ndo mawaziri wa kikwete watoa rushwa wakuu km kina ngeleja, huu ni ujinga na ufinyu wa fikra wa mkuu wa kaya, hawezi adabisha mtu hapo utamuona akikenua meno tu na wale wazee wa chichiemu, Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.

    18. #36
      KirilOriginal's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th February 2012
      Posts : 662
      Rep Power : 587
      Likes Received
      185
      Likes Given
      101

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Kumpunguzia kujikombeleza, walipaswa wamkate kile kifyagio cha sirini ambacho wakienda jando wanabakiziwa na yeye ni mzee wa mila lazima atakuwa anacho

    19. #37
      Haika's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd March 2008
      Posts : 1,689
      Rep Power : 914
      Likes Received
      239
      Likes Given
      358

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Kama sinema vile,
      ila kwa huu shabiki na uandishi wa siku hizi lazima tujiulize: ni kweli kwa kiasi gani?, yani tunapokea 'with a grain of salt'

    20. #38
      Mende0's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th February 2012
      Location : Magogoni
      Posts : 1,397
      Rep Power : 645
      Likes Received
      399
      Likes Given
      93

      Default Re: Ole Medeye,apigwa na wananchi akitoa rushwa-Arumeru Mashariki

      Quote By Janjaweed
      kupiga sio sahihi
      Mkuu ni sahihi watu wamenyang'wanya ardhi yao wewe unaenda kuwadhihaki na Tsh.20,000/= kweli?
      Bajeti ya maskini tajiri haiwezi

    21. #39
      Sikonge's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2008
      Location : Sikonge, Tabora
      Posts : 7,860
      Rep Power : 2334
      Likes Received
      2869
      Likes Given
      5538

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Wa kupigwa wapo wengi sana.

      Hata huyu Lusinde inabidi apandishwe mahakamani siku moja kwa huu upuuzi wake.

      Nguruwe pita leo sina Mkuki(By Malila wa JF).

    22. #40
      WOWOWO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd August 2011
      Posts : 562
      Rep Power : 596
      Likes Received
      348
      Likes Given
      266

      Default Re: Ole Medeye, apigwa na wananchi akitoa rushwa - Arumeru Mashariki

      Quote By Nanyaro Ephata
      Kimsingi huyu Medeye ana bahati sana,mkakati ni kwamba akikamatwa apate kichapo kama cha mwizi mtaani,
      Mkuu mbona sentensi hii inachanganya? amepewa kipigo kweli?

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...