Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Tena kubwa sana! Mapenzi yenu ya mambo ya kidunia (Siasa)
kufikia kumkufuru Mungu !
Huku ni kumkejeli Muumba !
Wasira hajajiumba yeye !
Kumfananisha binadamu na hayawani , si dhihaka kwa kiumbe husika, (Wasira) ni dhihaka, kejeli na matusi kwa muumbaji .
Hakuna aliyejaza form kwa Muumba akapeleka pre'map ya design gani azaliwe nayo! Jf Members mliohusika kufanya kejeli hii ya kumfananisha binadamu na Nyani , nini kinawadanganya? Mnatoa wapi kiburi cha kufikia hapo mlipopafikia? Mkiwa mpo accurate kwamba nyie ndiyo wenye maumbile bora ?
Imenisikitisha sana habari hii .
Re: Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
By [b
amang'anaa[/b];3556631]nikiangalia umri wa mdogo wangu mdee sidhani kama alipaswa kumjibu mzee wasira hata kama ni siasa but ndo napata picha kamili ya nidhamu hovyo ya viongozi tulionao zama hizi.
amang'ana gasarikire mbanheee....unataka mtoto(halima) amuheshimu baba (wasira) asiyejiheshimu wala kuwaheshimu watoto wake?...unataka mtoto (vicent nyerere) amuheshimu baba (benyamin mkaapa) wakati baba kamtusi mwanae kuwa sio mtoto wa nyerere akimaanisha ni mtoto haramu/wa vichochoroni/tunda la zinaa mbovu....
jiongeze ndugu mang'ana maana sasa amangana gasarikire mbaaanhe...ankugejaaaa muraaaa .. Abha ccm bharishaaaa.
if we die the next generation will fight them too..and the one after them untill the victory is on our side
Follow Us Here