Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
Akihutubia katika kijiji cha njori kata ya Poli alimfananisha mzee wasira na sokwe mtu that is wrong in my opinion ?
pia kuhusu swala la kuoa aliwataka CCM kwanza wakamuulize Spika wa Bunge(64) ameolewa na nani? kabla ya
kumuuliza joshua nasari(26) kwanini hajaoa?
Re: Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
Wasira, usianzishe vita ya mawe ukiwa ndani ya nyumba ya vioo.
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Re: Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
Hivi vichwa vya habari jamani "HALIMA MDEE APIGA BELOW BELT" mi nkajua kashusha suruale si unajua kiswanglish tena, na niliposikia mna uhusiano na kile chama cha DAVID nikajua ohooooo.
Re: Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
Wamelikoroga magamba wacha wayanywe,vijana walikuwa kimya wao wakaanza matusiw wazee wazima,mara huyu si mwana ukoo wa Nyerere,mara pesa za kanisa,mara Nasari hajaoa,sasa ona kumbe spika hamna kitu
Re: Arumeru mashariki:halima mdee apiga below the belt.
By 1800
Hii ya kumfananisha Wasira na Sokwe mtu sidhani kama Halima anaweza kuisema!ya Makinda hiyo haina mjadala!c.c.m wanashndwa jielewa wanapambana na chama ambacho majority ni vijana ila wastaarabu,lakini si kuwa hawawezi kujibu kejeli za c.c.m
Haina shida! yawezekana kama hajafanana na sokwe kwa sura basi moyo wake ndio umefanana na sokwe. Kinachotusumbua kwa Wassira yaani sura yake ni ya hovyo halafu sijui ikawaje akaendana na maneno yake ya hovyo!
UDINI TUNAOUENDEKEZA UTASABABISHA NDUGU KUUANA MAANA HAKUNA FAMILIA YA KITANZANIA AMBAYO HAINA MUINGILIANO WA KIISLAM NA KIKRISTO!
Re: Arumeru mashariki:halima mdee apiga below the belt.
By Mungi
kwa mbaali unaweza kuona ka comparison between the two! kama mtoto wa bamkubwa na bamdogo hivi.
tofauti ni kwamba moja kavalishwa suti
Wamefanana midomo na macho. Sina uhakika kuhusu tabia!
Last edited by Goodrich; 24th March 2012 at 18:50.
... our Conflict has never been about the establishment of a Palestinian state, it's always been about the existence of the Jewish state. - Benjamin Netanyahu.
Re: Arumeru mashariki: Halima Mdee apiga below the belt
By politiki

Follow Us Here