Jana kulikuwa na kutangazwa kwa matokeo jimbo la arumeru, baada ya kurudiwa kwa uchaguzi. Mara walisema kuwa jamaa ni mkenya, holo wakashindwa kithibitisha kisha wakaja na sera ya kuwa awali alishinda kwa kula chache. Sasa sijui watasemaje tena. Au ndio watasema jamaa hatufai kisa kaoa binti wa Mh. Lowassa. Haya makundi ndani ya ccm yanaharibu chama jamani. Mungu ubariki Tamzania Mungu ibariki Afrika