JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 23 of 23
  1. reformer's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd July 2011
   Posts : 387
   Rep Power : 604
   Likes Received
   98
   Likes Given
   6

   Default Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

   Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa dharau alizowaonyesha wakati wa mazishi ya J. Sumari kama ilivodaiwa na J. Tendwa.

   My take:
   Huu ni mwendelezo wa propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM kupitia gazeti hili.  2. Kalunguine's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 27th July 2010
   Location : ARUSHA -TANZANIA
   Posts : 2,539
   Rep Power : 1086
   Likes Received
   113
   Likes Given
   477

   Default Re: Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

   Quote By reformer View Post
   Gazeti la udaku la Uhuru lanalotumiwa na magamba limeripoti kuwa, wazee wa kimila wilayani Arumeru hawako tayari kuonana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ajili ya kuombwa msamaha kwa dharau alizowaonyesha wakati wa mazishi ya J. Sumari kama ilivodaiwa na J. Tendwa.

   My take:
   Huu ni mwendelezo wa propaganda za kitoto, uongo na uzushi wa CCM kupitia gazeti hili.
   MWIZI AKIWA CCM "A" NI MWIZI NA AKIWA CCM "B" (CHADEMA) NI MWIZI

  3. Sabung'ori's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th July 2011
   Posts : 2,026
   Rep Power : 3123472
   Likes Received
   797
   Likes Given
   81

   Default Re: Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

   ...kama hataki kumwona Lema mbona hiyo ni kitu raisi,ninamaana kwamba "nyinyi wazee wakimila" mkisikia Lema anakuja huko Arumeru fumbeni macho,akishapita eneo mtakalokuwa mafumbueni macho maisha yaendelee!...Leo mnasema hamtaki kumwona Lema,kesho hatujui mtasema amtaki kumwona nani,si hajabu keshokutwa mkasema hamtaki kuwaona mtu yeyote ambaye si mshili Arumeri!...

  4. Lung'wando's Avatar
   Member Array
   Join Date : 11th December 2011
   Posts : 43
   Rep Power : 515
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default Re: Gazeti la Uhuru laandika; Wazee wa kimilia Arumeru Hawataki Kumuona Lema!

   Mimi naona hao Wazee wanafikiri kwa kutumia.................... Badala ya kichwa


  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...