Media itakayofanya Coverage ya uchaguzi Igunga Live!
Wadau
naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.
nasikia kule kuna utitiri wa waandishi wa habari mpaka wa social media wapo
hivi JF imewakilishwa na nani
napendekeza JF adm wahakikishe tunatumia post moja kupata kinachoendelea na matokeo ambayo hawajawa verified wayaminye kwanza
Nawasilisha
Kama Wewe ni Mwandishi kweli,unaamini ,una uhakika na uliandikalo basi Onesha Jina,Sura yako- Jeneral Ulimwengu
Re: Media itakayofanya Coverage ya uchaguzi Igunga Live!
By Mathias Byabato
Wadau
naomba kujua hivi ni chombo gani cha habari hapo kesho kitakachorusha live bila chenga uchaguzi wa igunga,kuanzia upigaji kura na matokeo bila upendeleo.
nasikia kule kuna utitiri wa waandishi wa habari mpaka wa social media wapo
hivi JF imewakilishwa na nani
napendekeza JF adm wahakikishe tunatumia post moja kupata kinachoendelea na matokeo ambayo hawajawa verified wayaminye kwanza
Nawasilisha
katika moj ya thread za leo kutoka kwa mdau wa star tv na RFA ya mwanza kasema hivi:
"Ila patakuwa na Updates on every top of the hour, Timu ya uhakika ipo Igunga kuwafahamisha watanzania. So msikose kutazama Star TV hapo kesho kwa update za Igunga mpaka saa sita Usiku." yahya mohamed star tv
Kwa Tanzania Masuala ya Uongo yanaaminiwa sana kuliko Masuala ya Ukweli !
Follow Us Here