Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

  • Sticky
M's Tanzania wa Kwanza (Hayati Theresa) Mwaka 1960 ndipo Mashindano ya urembo nchini yalipoanza na hayatakuwa na muonekano wa kimataifa kwa sababu yalifanyika kwenye maeneo machache. Kwani...
13 Reactions
151 Replies
150K Views
  • Sticky
Amri Athuman’ King Majuto’ alizaliwa mwaka 1948 jijini Tanga na kusoma shule Msambwini, Tanga, alianza kuigiza 1958 akiwa na umri wa miaka 9 akiigiza katika majukwaa Mzee Majuto maarufu kama King...
30 Reactions
258 Replies
239K Views
Ndoa ya Nyota wa zamani wa Chelsea na timu ya Taifa ya Cameroon, Geremi Njitap ipo katika mchakato wa talaka baada ya kubainika Watoto Mapacha waliozaliwa Mwaka 2008 miaka minne kabla ya kufunga...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase. Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
27 Reactions
240 Replies
12K Views
Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila...
22 Reactions
195 Replies
35K Views
Habari wadau. Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata...
43 Reactions
316 Replies
12K Views
Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
11 Reactions
58 Replies
2K Views
Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za...
9 Reactions
57 Replies
1K Views
Kama ni mfatiliaji mzuri wa hip hop, nadhani Utakuwa umesha Iona hii. Ila Kama bado, story Ina anzia Mwaka Jana ambapo drake na j Cole wali toa ngoma Ina itwa first person shooter. Humo ndani j...
5 Reactions
28 Replies
881 Views
JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation. The jet appeared to land on Antigua in...
12 Reactions
111 Replies
7K Views
FAZA NELLY MEMBER WA X PLASTAZ KUNDI LA HIP HOP KUTOKEA MKOANI ARUSHA... ✍🏼 Jumatatu ya 29 March Mwaka 2006 Fans wa Swahili Hip hop World wide dunia nzima walikua na simanzi kutokana na Taarifa...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakurugenzi wa Wasafi Media, Joseph Kusaga na Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ wanaripotiwa kukosa maelewano kati yao juu ya uendeshaji wa media hiyo inayomilikiwa na wawili hao. Chanzo ni TRA...
90 Reactions
461 Replies
24K Views
1. Mzize - Mchezaji wa Yanga Ukristo kwenda uislam 2. P Funk - Producer Ukristo kwenda uislam 3 Shomari Kapombe - Mchezaji wa mpira Uislam kwenda Ukristo 4. Barnaba - Msanii wa Muziki...
15 Reactions
207 Replies
8K Views
wrong turn, kuanzia episode 1-6 moja kati ya muvi kali za kutisha nilizowahi kuzitizama.
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Wanabodi, Kwanza tuendelee kupeana pole kwa msiba wa mpendwa wetu Stephen Kanumba "The Great". Leo nimeisikia taarifa ya awali ya polisi ikielezea mwili wa marehemu umekutwa na jeraha kichwani...
29 Reactions
251 Replies
92K Views
Mtangazaji nguli wa Michezo Maulid Kitenge amefunga ndoa na mbunge wa Viti Maalum Nusrat Hanje. Harusi hiyo iliyofanyika kwa usiri mkubwa katikati ya wiki iliyopita imeibua mjadala mkubwa kwa...
6 Reactions
106 Replies
8K Views
Muonagor alifariki jana baada ya kupambana na ugonjwa wa figo kwa muda mrefu. Hii ilikuja siku chache baada ya video iliyosambaa ambapo aliiomba msaada wa kifedha kutoka kwa wanaijeria ili...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye...
8 Reactions
23 Replies
892 Views
Happy birthday bro. Miongoni mwa watu waliozaliwa mwezi March ni pamoja na Osama bin laden.
7 Reactions
34 Replies
1K Views
A man accused of being Diddy's 'drug mule' was arrested trying to board at the same time the rapper's mansion was raided by police. Brendan Paul, 25, was arrested by Miami-Dade Police, alongside...
0 Reactions
9 Replies
482 Views
Habari zinazotembea kwa kasi ya ajabu hapa mtaani kwangu ni tuhuma za usaliti wa Harmonize kwa shabiki yake na supporter wake namba moja Mzee wa Mjegeje. Mzee huyu ambae alikuwa kama balozi wa...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Kwa wale ambao you've been watching this show I don't know why the end broke my heart so bad inshort nimejisikia vibaya sana🥺😭 why the show had to end like that, why lakini🥺🥺🥺🥺🥺
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Back
Top Bottom