Matukio Katika Picha...

Makamu wa rais Dr. Ali Mohamed Shein
akikata riboni kama alama ya kuzindua rasmi mfuko wa uadilifu, uwajibikaji na uwazi katika bustani ya Mnazi Mmoja. (29 September 2007). Picha, hisani ya: issamichuzi.blogspot.com

Makamu wa Rais, Dr Mohamed Shein
akiangalia nyama katika moja ya mabucha jijini baada ya kushtukia watu wanapandisha bei kiholela katika mida ya sikukuu ya Idd.(11 October 2007). Picha, hisani ya: mpoki.blogspot.com

Makamu wa Rais Dk. Ali Mohamed Shein
akizindua awamu ya pili ya programu ya
kupambana na rushwa nchini kwenye sherehe ya siku ya maadili ya kitaifa. (10 December 2006). Picha, hisani ya: issamichuzi.blogspot.com

MAKAMU wa Rais, Dk. Ali Mohamed Sheni
akikagua mabaki ya hoteli ya Sea Cliff, Dar es Salaam, ambayo iliteketezwa na moto. Kushoto ni Meneja Mkuu wa hoteli hiyo. Keven Stander. (24 September 2007). Picha, hisani ya: haki-hakingowi.blogspot.com
SteveD.