Hivi huyu jamaa alikuwa ni chaguo la
JK 2005 katika hiyo post au kamati kuu ilimchagulia
JK, kwa wale waliofuatilia mchakato ule dodoma 2005, Baada ya kura kuhesabiwa na
JK kuibuka CCM Nominee, Mkapa aliposema Sasa kamati kuu inaenda kukutana kutoa jina la makamu wa rais, sura ya
JK ilibadilika kama mtu aliyepigwa butwaa vile.
My take:
Mi nafikiri wanamtandao walikuwa na mtu wao kwa post hii, na ndiyo maana huyu VP wetu amepewa role ya ajabu ajabu, wanasema akufukuzae hakwambii toka, ukiona kwenye mechi wenzako hawakupi pasi basi ujue wanakuona huwezi kumiliki mpira. Huyu Sheni hiki nafikiri kitakuwa kipindi chake cha mwisho 2010 atajiuzulu na muungwana atachagua mtu mwingine.