JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

  Report Post
  Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast
  Results 41 to 60 of 101
  1. #1
   Pdidy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 21,922
   Rep Power : 316823953
   Likes Received
   3680
   Likes Given
   3902

   Default Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Yule muigizaji wa kimataifa wa nchini tanzania ambae majuzi akiongozana na baadhi ya waigizaji wa dar ametia kinyaa uwanja wa kigali na kufikia kila mtu kuanza kutukana kinyarwanda
   aikuwa rahisi kusikia mnyarwanda akisema aiseee watanzania ni maraya sana aisee embu kumwona kale kabint kweri kamepanda ndege hata siamini kamewezaje kupita uko....

   Huku wengine wakisema wanawake wa kitanzania awana aibu wara awajiheshimu wengi waliishia kumfwata na kuangalia mapaja yake huku wakati akikaa sehemu za nguo za ndani kutuna kama if kuna mdudu anataka kutoka.....Kwa wale watanzania mkienda kwa watu embu jiheshimuni jamani
   hapa mnaona wanwake wote ndio wanatukanwa sio huyuhuyu tu mnaonekana wote baraya ba kibongo

  2. #41
   KIBE's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 23rd November 2010
   Posts : 942
   Rep Power : 756
   Likes Received
   183
   Likes Given
   16

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Unajua tatizo kwa sasa tumezidi kuiga mila za nje kuliko kudumisha milana desturi zetu za kitanzania. Hivi rudi miaka kazi nyuma mwanamke gani alikuwa anaweza kutembe na kikaputula kama cha huyo dadetu? Binafsi naona kama anauza k na tigo kwa wanyarwanda . Aibuuuuu hii anawatukana wanawake

  3. Kimbweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2009
   Posts : 8,576
   Rep Power : 7510
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   137

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By KIBE View Post

   Hauzi anatafuta mchumba kama yule aliyeolewa na mchezaji wa football
   Ndo kazi iliyobaki'
   Akikosa anasakanya mzungu akamalizie makombo
   "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."

  4. mbongopopo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 24th January 2008
   Posts : 1,100
   Rep Power : 1004
   Likes Received
   199
   Likes Given
   202

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   du kapendeza sana, I like that
   ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^
   SIPENDI MATAPELI WASIOJUA KUTAPELI YAANI WANAOTAKA KUNIFANYA MIMI MJINGA LIVE KAMA WAANDIKA UONGO MITANDAONI NA UKIWA KATIKA MAONGEZI NAO
   ^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^^ ^^^

  5. Kimbweka's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2009
   Posts : 8,576
   Rep Power : 7510
   Likes Received
   1574
   Likes Given
   137

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   duh paja hilo mkuu
   wala siyo kimbaumbau
   ailete hu
   "Life comes once only: No retake/replay/rewind/once-more. One should enjoy it, be happy & keep happy others too."

  6. roselyne1's Avatar
   Banned Array
   Join Date : 18th February 2010
   Posts : 1,374
   Rep Power : 0
   Likes Received
   77
   Likes Given
   3

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   lovely umependeza aunt ezekiel...tupe tips basi on how to stay in shape.

  7. Fundi Mchundo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th November 2007
   Posts : 4,693
   Rep Power : 2877
   Likes Received
   414
   Likes Given
   286

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By KIBE View Post
   Unajua tatizo kwa sasa tumezidi kuiga mila za nje kuliko kudumisha milana desturi zetu za kitanzania. Hivi rudi miaka kazi nyuma mwanamke gani alikuwa anaweza kutembe na kikaputula kama cha huyo dadetu? Binafsi naona kama anauza k na tigo kwa wanyarwanda . Aibuuuuu hii anawatukana wanawake
   Unajua kweli mila zetu za asili zilikuwaje? Kwenye hali yetu ya joto nani angevaa hayo masuti na mabaibui? Unachoita mila na desturi zetu ndizo tumeiga kutoka kwa hao waliotutawala na kutuletea dini zao. Sisi wenyewe mtu kujisitiri na kujiheshimu hakukutegemea mavasi bali mafunzo kuwa namna gani unatakiwa kumtendea mwenzako bila kujali kavaa nini. Wanawake wetu walitembea matiti wazi ( ati leo mabinti wa kiafrika wanaona haya kunyonyesha hadharani!) na vipande vidogo tu vya ngozi kufunika hayo maeneo bila matatizo yeyote. Hakuna aliyesema kuwa ati kwa vile hawajavaa kufuri basi wanajiuza. Uungwana uko kweli nafsi yako na si kwenye mavazi kama mnavyotaka tuamini.

   Amandla......
   Fundi Utumbo

  8. Zipuwawa's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2010
   Posts : 2,957
   Rep Power : 25998
   Likes Received
   541
   Likes Given
   285

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   hapa mdomo wake ulivyokaa je kunako kutakuwaje? angalia mdomo vizuri
   Maisha yetu ni mafupi lazima tuyatete kwa namna yeyote ile!

  9. #48
   Pdidy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 22nd November 2007
   Posts : 21,922
   Rep Power : 316823953
   Likes Received
   3680
   Likes Given
   3902

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Jamani nimeongea nae binti anasema amevaa vile
   Kuwapa tumaini wale waliofiwa na wake zao kwenye mauwaji ya kimbara so akuwa na nia mbaya zaidi ya kuwajuza lipo tumaini baada ya kifo..sorry tusimseme sana jana .....

  10. Mitchell's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 29th October 2010
   Location : Kilimanjaro
   Posts : 239
   Rep Power : 612
   Likes Received
   29
   Likes Given
   96

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By sulphadoxine View Post
   Huyo bint ni changu hana lolote, siyo mtu muhimu wa kumjadili jamvini
   Exactly hapo ww umemaliza kabisa she is not worth it

  11. Dominnick's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 16th January 2011
   Posts : 6
   Rep Power : 555
   Likes Received
   1
   Likes Given
   0

   Default

   kwakweli ni tatizo!hii ni kwa wanawake wasiojiheshimu, wanaopenda kuiga mambo ya kijinga. kwani mkivaa uchi ndo mnapata nini? jiheshimuni mthaminiwe nyie mabinti wa kibongo, zaidi ya hapo mkiitwa malaya ni haki yenu.

  12. AMINATA 9's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 6th August 2011
   Posts : 2,134
   Rep Power : 3731
   Likes Received
   628
   Likes Given
   1150

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   maskini miguu ya shostito johari loh!
   don't hunt what you can't kill  13. harakat's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th July 2011
   Posts : 2,177
   Rep Power : 1100
   Likes Received
   508
   Likes Given
   61

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   kudadadeki yaaani hapa kuna jamaa alikua anakodoa macho
   kanikanya nisitukane .............................. ...................
   ameipatia stimu sasa anampigia demu wake cm............

  14. TIMING's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 12th April 2008
   Location : Roaming...
   Posts : 21,841
   Rep Power : 923038
   Likes Received
   7107
   Likes Given
   8213

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By Pdidy View Post
   TOBAAAAAAAAA MACHO YANGU   NIGERIA WANAITA GAMBUSHH
   hiyo picha inaonyesha kama kakalia kigogo kwa nyuma
   ....Time is the wisest counselor !!!

  15. Edward Teller's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Area 51
   Posts : 3,625
   Rep Power : 1290
   Likes Received
   613
   Likes Given
   692

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   naamini si peke yake anayevaa hivyo-
   maisha yapo hivyo-wote hawawez kuvaa magauni
   “Talk slowly but think quickly”

  16. Edward Teller's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st November 2010
   Location : Area 51
   Posts : 3,625
   Rep Power : 1290
   Likes Received
   613
   Likes Given
   692

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By AMINATA 9 View Post
   maskini miguu ya shostito johari loh!
   swala la miguu ya johar ni tata, anatakiwa atafute viatu vya kuziba miguu yake vizuri
   “Talk slowly but think quickly”

  17. Pitahx's Avatar
   Member Array
   Join Date : 14th November 2011
   Location : kenya
   Posts : 14
   Rep Power : 513
   Likes Received
   4
   Likes Given
   0

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Tukumbali hali ilivio, Kwani histolia inajirundia zamani hakukua na mavazi

  18. #57
   Nico1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th March 2011
   Posts : 548
   Rep Power : 654
   Likes Received
   62
   Likes Given
   44

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   nilishasema baadhi ya waigizaji wa kibongo wanatafuta umaarufu kwa njia za magendo halafu wana vichwa vya nazi hawaelewi wala hawasikii niwechoka,kazi kuanika pumba zao nje ili kuku wazidonoedonoe.

  19. Ma Tuma's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 26th July 2011
   Posts : 123
   Rep Power : 551
   Likes Received
   20
   Likes Given
   0

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   uvaaji huu ni kwa mabint wasiofundwa na wengi wao wanaishia kutoolewa kwani wanajiweka hadharani mapema.

  20. #59
   Jidu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th March 2011
   Posts : 807
   Rep Power : 708
   Likes Received
   300
   Likes Given
   116

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   Quote By pdidy View Post
   tobaaaaaaaaa macho yangu   nigeria wanaita gambushh
   kama semanya!
   Thamani ya mwili ni Roho!

  21. MTUSUAJI's Avatar
   Member Array
   Join Date : 13th November 2011
   Posts : 89
   Rep Power : 528
   Likes Received
   26
   Likes Given
   81

   Default Re: Aunt ezekiel atia kinyaa kwa kuvaa nusu uchi kigali-rwanda

   tena mi namtaka kwa gharama yoyote nimbatize

  Page 3 of 6 FirstFirst 12345 ... LastLast

  Similar Topics

  1. Aunt Ezekiel: Mvuto wa kipekee
   By TANMO in forum Celebrities Forum
   Replies: 227
   Last Post: 13th August 2013, 13:10
  2. Replies: 37
   Last Post: 30th May 2011, 08:52
  3. Replies: 4
   Last Post: 14th April 2011, 19:13
  4. Paja la aunt ezekiel..
   By ZIPOMPAPOMPA in forum Jamii Photos
   Replies: 34
   Last Post: 5th January 2011, 12:42
  5. AUNT EZEKIEL ACHEZEWA MAKALiO
   By Boflo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 15th May 2010, 17:32

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...