| Find/Invite Friends | Register | Calendar | Search | Today's Posts | Mark Forums Read |
| FAQ | Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Taarab | Injili |
|
|
#1 | |||||||||||
|
||||||||||||
|
Views: 65409
|
||||||||||||
|
#2
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Tunatafuta Huo Ukweli Ni Fununu Na Kuna Kila Dalili Kwamba Ni Kweli Kwani Fukuto Lake Ni Kubwa Mno.
|
|
#3
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Nami nilikuwa nakunywa chai mtaa wa mkwepu nimesikia hizi habari sasa sina uhakika hebu wenyee ukweli watupatie sasa .
|
|
#4
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
kama kuna ukweli hapo, basi inajibu swali kwanini ameshindwa kumfukuza Msabaha!!! Huwezi kukata tawi la mti uliokalia!!!
__________________
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina. Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa. - Nyerere katika "Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania" |
|
#5
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Na kama ni kweli basi tuna uongozi mbaya.
|
|
#6
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Hapo mimi ndio nimechoka kabisa!
__________________
"Be not afraid of growing slowly, be only afraid of standing still." Old Chinese Proverb |
|
#7
|
|||||||||||
|
|||||||||||
|
Inawezekana JK anahusika na hili dili la kuuziwa Genereta kwenye GUNIA. kwa sababu ni mara ya pili inaiacha serikali hoi.mara ya kwanza Richmond iliingia mkataba na serikali wa kutengeneza Oil pipeline kutoka mwanza to Dar. Mbaya zaidi iliingia mkataba na serikali bila tenda kutangazwa popote.Viongozi Wenye kuipenda nchi wakaishtukia, dili likafa kimyakimya bila vyombo vya habari kuwataharifu wananchi. TZ MEDIA watasemaje wakati wanaogopa kumuuzi mzee JK (Kiwete wa akili)
|
|
#8
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
Bila shaka hiyo ni kweli. JK huwa anapenda hata mambo madogo yeye mwenyewe, hili asingeliacha.
Yaani, Jasusi ndo unatambua leo kuwa tuna uongozi mbaya? Pole sana! |
|
#9
|
||||||||||||
|
||||||||||||
|
LEADERSHIP
Na mbaya zaidi ni kuwa mawaziri wake wanakuwa very comfortable kwa sababu wanajua hawatofanywa lolote..sana sana kubadilishwa wizara tu lakini ndio hivyo MWENDO MDUNDO au vipi? |
|
#10
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
|||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
DrWHO,
Kwa mwendo mdundo tutafika wapi? Fikiraduni: niliupa uongozi huu benefit of doubt. Now I know better.
«
Previous Thread
|
Next Thread
»
Tuma Ukurasa huu kwa rafiki yako! All times are GMT +3. The time now is 12:46 PM.
Powered by JamiiForums.com
Copyrights reserved to JamiiForums.com | |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||