wakuu, kuna uvumi kwamba anti ezekiel ataolewa hivi karibuni!!!
ni vema ikajulikana ni nani atakayefaidiana unyumba na celebrity huyu maisha yao yooooote!!!
mkuu yeyote atakayekuwa na habari za uhakika atujuze kwasababu kuu mbili...
1. ili tujiandae kuwatakia maisha mema katka ndoa yao!!!
2. wenye wivu wajinyonge!!!


Reply With Quote






.jpg)

Follow Us Here