nimepata kumwona kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya kanumba iitwayo the village pastor akishiriki kama mama mchungaji. lakini kwa habari nilizopata sehemu nyingine, sasa inaniwia vigumu kujua kama anti ezekiel ni me au ke

Last edited by minda; 8th October 2010 at 12:46.
unaipenda tanzania? sema ukweli!
nikitumia taaluma yangu ya uchoraji ktk kutambua anatomy ni dhahiri hiyo picha ina feature zoote kama sio nyingi za kiume.
Angalia mabega. taya, muundo wa mapaja, angalia kiuno hasa makalio yalipoanzia yananipa tashwishwi kumfahamu zaidi huyu ezekieli.
Nikienda kwenye anatomy ya majina, tujiulize kwa nini atumie jina la EZEKIEL kama utambulisho badala ya jina lake?
nina maswali hapo. naomba aliyecheza naye utotoni ajitokeze atufafanulie hii tendawili.
picha kwa hisani ya Dina Marrios
" If you hear a voice within you say "you cannot paint", then by all means paint, and that voice will be silenced"
[email protected]
"The person's true character is what s/he do when s/he think nobody is looking".
Follow Us Here