Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

    Report Post
    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast
    Results 41 to 60 of 186
    1. #1
      mfianchi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Location : Likulufusi
      Posts : 3,569
      Rep Power : 1221
      Likes Received
      580
      Likes Given
      1195

      Default Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

      Niko Old Bagamoyo road nasikia ving'ora vinapigwa kutoka kwenye gari inabidi kuweka gari pembeni nikihisi ni Mheshimiwa au mgonjwa anapita nashangaa kuona Hummer nyekundu na msururu wa magari ukipita kwa kasi na hayo magari yamebandikwa Picha ya mheshimiwa askofu anakaribishwa nyumbani.

      Sijui huyu bwana karuhusiwa na nani kwa kutupigia ving'ora na kupita kwa kasi kama kiongozi wa nchi. Sasa hata matapeli wanajidai hii nchi sijui tunaenda wapi?

      3D. likes this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #41
      Mpeni sifa Yesu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd May 2010
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 472
      Rep Power : 551
      Likes Received
      18
      Likes Given
      1

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By BabaDesi
      ....Wanafurahia? How do you know kwamba wanafurahia? na wale wawili watatu wanaonuna kwa kukwazwa hawana haki?? Sidhani kama ni kweli hii kitu lakini nakupa benefit of doubt. Tukubaliane tu kwamba sio lazima kila kitu kinachofanyika huko nje na wenyewe wakakifurahia basi ni lazima na sisi huku tutakifurahia! Kwa miundombinu gani? Niulize tu kidogo, Je huko nje wanakofurahia mambo kama haya barabara zao ni nyembamba kama zetu??
      yaani mtaongea, mtaongea, usiku utaingia, mtalala mtaongea mchana utakuja mnazidi kuongea tu...lakini kama hamtaacha chuki dhidi ya walokole, mtaumia mioyo boreee. wivu tu umewajaa na ile hummer yake...angekuwa 50cent amekuja hapo, au limwanamziki fulani lenye mlegezo mnaruhuru ving'ora, lakini akija mtu wa Mungu anaewasaidia hata dhidi ya shehe yahya, mnafoka..ni matatizo tu ya uelewa..Mungu awasaidie muone kuwa wanamuziki, wanamichezo na vitu vingine kama hivyo si vya muhimu sana kuliko mambo ya Mungu.
      Hakuna lisilowezekana kwa Mungu, anaponya, anaokoa. kwa ushauri na maombi, tuwasiliane ([email protected]). karibu kwa Yesu.

    4. #42
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Tiba
      wa kujipachika wenyewe wana vituko visivyo vya kawaida na kimojawapo ni hiki
      sina uhakika na uwezo wako wa kufiria, kulingana na hapo nilipo nukuu, hivi kwa akili zako unadhani uaskofu huteuliwa na nani?
      kwanza huyu anayezungumziwa na hii topiki si askofu ni mchungaji, wala si padre, wala si mtume na nabii, hata hivyo swali langu bado litakuwa pale pale, tatizo ni king'ora ama mchungaji?
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    5. #43
      Hofstede's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th July 2007
      Posts : 3,604
      Rep Power : 21341
      Likes Received
      981
      Likes Given
      988

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By anyisile obheli
      umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
      sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
      kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
      hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
      hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
      Ukubwa wa kiongozi wa kiroho ni ndani ya kanisa lake na si kujitanua kwenye barabara za walipa kodi kana kwamba yeye kiongozi wa kiroho wa Taifa zima, asubiri ving'ora hivyo siku atakapokutana na malaika wa mauti. Kama ving'ora hivyo vilikuwa na escort ya vyomba vya dola basi ni haki yake kwani atakuwa amefuata taratibu za nchi kama ni waumini wake basi alikuwa anatumia vibaya kodi zetu. Huwezi zuia wenzako wasipite kwani Ngajima na matonya wote wana haki sawa linapokuja suala la Public goods.

    6. #44
      Ubungoubungo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th July 2008
      Posts : 2,023
      Rep Power : 956
      Likes Received
      334
      Likes Given
      33

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      angekuwa 50 cent, maliakeli na wengine wanaoimba nyimbo uzinzi hapo kingepigwa king'ora mngefuhai mioyo yenu...bora umewakumbusha mwana wa mungu...hahaha. tatizo hapa wala si king'ora, ni mchungaji...mtu akiwa hamtaki mchungaji fulani kwa binafsi yake, hataki hata king'ora for him..kumbukeni kuwa kama hii ndo ingekuwa inatakiwa iwe hivyo,,,hata king'ora cha rais kikwete watu tusingependa kwasababu si wote tunataka awe rais wetu...na hatukumpigia kura...nyamazeni. mi ningekuwepo Dar, ningeenda kumsindikiza na king'ora juuu.
      Haya yote ni ubatili mtupu, hakuna jipya hapa duniani!

    7. #45
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Hofstede
      Ukubwa wa kiongozi wa kiroho ni ndani ya kanisa lake na si kujitanua kwenye barabara za walipa kodi kana kwamba yeye kiongozi wa kiroho wa Taifa zima, asubiri ving'ora hivyo siku atakapokutana na malaika wa mauti. Kama ving'ora hivyo vilikuwa na escort ya vyomba vya dola basi ni haki yake kwani atakuwa amefuata taratibu za nchi kama ni waumini wake basi alikuwa anatumia vibaya kodi zetu. Huwezi zuia wenzako wasipite kwani Ngajima na matonya wote wana haki sawa linapokuja suala la Public goods.
      kwani wa kanisani kwake siyo walipa kodi? au una maana gani? amepita barabara sehemu ambayo imejengwa kwa fedha za waumini walipa kodi haaahaaa yaani wewe ndiyo umefunikwa kweli lol!
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    8. Miaka 50

    9. #46
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      4137

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Mpeni sifa Yesu
      yaani mtaongea, mtaongea, usiku utaingia, mtalala mtaongea mchana utakuja mnazidi kuongea tu...lakini kama hamtaacha chuki dhidi ya walokole, mtaumia mioyo boreee. wivu tu umewajaa na ile hummer yake...angekuwa 50cent amekuja hapo, au limwanamziki fulani lenye mlegezo mnaruhuru ving'ora, lakini akija mtu wa Mungu anaewasaidia hata dhidi ya shehe yahya, mnafoka..ni matatizo tu ya uelewa..Mungu awasaidie muone kuwa wanamuziki, wanamichezo na vitu vingine kama hivyo si vya muhimu sana kuliko mambo ya Mungu.
      Naanza kuhisi una matatizo makubwa kwenye mfumo wa kufiri na uwelewa!! prove that you are not posessed and your reasoning capability has not been destorted by your master i darkness!!
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    10. #47
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      4137

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By anyisile obheli
      kwani wa kanisani kwake siyo walipa kodi? au una maana gani? amepita barabara sehemu ambayo imejengwa kwa fedha za waumini walipa kodi haaahaaa yaani wewe ndiyo umefunikwa kweli lol!
      Kama huli mbwa, kwa nini unafikiri wanaokula mbwa wanafanya makosa!! kama unaoa mke mmoja, kwa nini unafikikiri wanaooa wake wengi wanamakosa!!??.

      Kama unaamini unachamini, kwa nini unafikiri watu wote wanatajiwa waaamini unachoamini?
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    11. #48
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      4137

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Ubungoubungo
      angekuwa 50 cent, maliakeli na wengine wanaoimba nyimbo uzinzi hapo kingepigwa king'ora mngefuhai mioyo yenu...bora umewakumbusha mwana wa mungu...hahaha. tatizo hapa wala si king'ora, ni mchungaji...mtu akiwa hamtaki mchungaji fulani kwa binafsi yake, hataki hata king'ora for him..kumbukeni kuwa kama hii ndo ingekuwa inatakiwa iwe hivyo,,,hata king'ora cha rais kikwete watu tusingependa kwasababu si wote tunataka awe rais wetu...na hatukumpigia kura...nyamazeni. mi ningekuwepo Dar, ningeenda kumsindikiza na king'ora juuu.
      what a waste!!
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    12. #49
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Bigirita
      Kama huli mbwa, kwa nini unafikiri wanaokula mbwa wanafanya makosa!! kama unaoa mke mmoja, kwa nini unafikikiri wanaooa wake wengi wanamakosa!!??.

      Kama unaamini unachamini, kwa nini unafikiri watu wote wanatajiwa waaamini unachoamini?
      una spidi ya kuandika harafu unaandika vitu ambavyo vinanipa wakati mgumu kujua kama uko sawa sawa ama lah! hebu nisaidie unacho maanisha, uadhani umeandika nini hapo?
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    13. #50
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Bigirita
      what a waste!!
      may be its waste according to your mind being low of thinking
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    14. #51
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      4137

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By anyisile obheli
      una spidi ya kuandika harafu unaandika vitu ambavyo vinanipa wakati mgumu kujua kama uko sawa sawa ama lah! hebu nisaidie unacho maanisha, uadhani umeandika nini hapo?
      Unataka kusemaje?!!
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    15. #52
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,263
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      4137

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By anyisile obheli
      may be its waste according to your mind being low of thinking
      I dont need to think to know that you are out of the key!
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    16. #53
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Angry Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      sasa mtumishi wa Mungu alitaka kushindana na kina 50c au kanda bongo man au kwa sababu juzi walevi wameipokea ndovu malt kwa mbwe mbwe ??? tutofautishe viongozi wa nchi wenye mamlaka za kidola na viongozi wa dini....pia ifahamike kuwa kama kiongozi wa dini anataka kupokewa kwa vingora asiingilie mamlaka ya mkuu wa nchi kwa kujichukulia sheria mikononi....ajuwe kuwa hawa watu wa kidunia hawanaitaji kibali cha polisi kufanya mbwe mbwe....zaidi ya taarifa tu .....ikibidi...

      Lakini mtu yeyote mwenye kuhitaji mapokezi ya viongora kwake au mgeni wake stahili anahitaji kutoa taarifa wizara ya mambo ya nchi za nje ,kitengo cha itifaki.....ili aweze kupewa mapokezi stahili kadiri ya cheo au mamlaka yake au kadiri ya security reconnaisance iliyofanyika hapa na taarifa ya anakotoka....ina maana leo hii kama Prince charles ni rafiki yangu na atanitembelea kirafiki ...mimi au ubalozi wake unawajibika kufanya hivyo........hata wale viongozi wa mabudha...au mabanian anapokuja ..hapokewi kwa vingora kwa kupendelewa bali .......ubalozi wa nchi yake na wanaomualika wanakuwa wametoa taarifa....

      sasa haipendezi sana kiongozi wa dini kufanya mambo kienyeji ....zaidi ya kuonekana tu kama ze komedi.....ambao kwa mantiki hiyo ..hata wakienda mwanza ,musoma au arusha watapokewa kwa maandamano....!!!

      YESU tunayekuhubiri alituasa tutiii mamlaka...zetu...na tuwe wanyenyekevu na tusio kuwa na majivuno......sasa ufahari huu wa kidunia ,tena kwa kiongozi wa dini ni wanini?????

    17. #54
      Phillemon Mikael's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th November 2006
      Location : mwanza,/uk/santa clara
      Posts : 4,722
      Rep Power : 1594
      Likes Received
      912
      Likes Given
      29

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By ngoshwe
      Apart from details on Ministries, picha za waumini na Ziara ya Japan ya Pastor Josephat Gwajima (Founder, Bishop and Senior pastor), these are what most in there...
      • Testimonies: We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
      • Media and Publication Products:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
      • Live Sunday Services on-line: Coming soon!!We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you
      • GCTC school of Ministries:Coming soon!!We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
      • Our branch churches (local & international):We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
      • Saa ya Ufufuo na Uzima :We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
      • Prayer praises:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
      • Donates to support this Ministry:We are sorry, this page is still under construction, please visit next time. God bless you.
      KWA NINI HIZO FEDHA ZA KUCHANGIA GARI LA KIFAHARI LA MCHUNGAJI (HAMMER), MAFUTA NA GHARAMA NYINGINE ZA KUFANYA MBWEMBWE BARABARANNI ZISINGETUMIKA KUJENGA KANISA KUBWA ZAIDI ILI KUWAWEZESHA HUU MKUSANYIKO KUKAA SEHEMU NZURI KAMA HAO WENZAO WA JAPAN??.

      HIVI HAMUWEZI KUONA WENGI YA WATU KATIKA HUU MKUSANYIKO WANA SURA ZILIZOKATA TAMAA NA WANGEHITAJI PIA SEHEMU ZA HIZO STAREHE ZA MCHUNGAJI KUJIMUDU NA FAMILIA ZAO ??. KAMA WAUMINI WAKO WAPO HIVI, KUNA HAJA GANI YA WEWE KUTEMBEA NA GARI LA KIFAHARI UKIPIGA VING'ORA BARABARANI KAMA NCHI NI YA KWAKO PEKE YAKO?.

      NI YALE YALE TUNAYOYAPIGIA KELELE KWENYE SIASA NA HUKO MAKANISANI WATU HAWAYAONI. bADO TUTANDELEA KUWA MASIKINI KWA STAILI TOFAUTI ZA KUNYONYANA!.

      Mimi nilifikiri baada ya kuhama pale ubungo ambapo TANESCO walikuwa wanalalamika watu wanasali chini ya umeme wa gridi ya TAIFA na yule mama mwenye eneo akilalamika ....mlianza kwa kuazima kiwanja mkusanyike..wakaongezeka hadi wakaanza kujenga...nilifikiri sasa wameamia kwenye jengo lao kubwa lenye huduma zote.....kumbe wameenda tena kwenye public ground ...uwanja wa Tanganyika Pakers....kwanini hawapendi kujenga vitu vya kudumu.....????

      au kwa nini hawatii mamlaka...? juzi kuna mmoja wa winners kakamatwa na Tanesco kule ukonga .....walimkatia umeme anadaiwa 19m....juzi wanakagua wakamkuta amejiunganishia umeme na vishoka...na inawezekana kishoka katoka kanisani kwake akafikiri anamsaidia mtumishi.....nadhani ni vema pamoja na madhaifu ya kibinadamu waliyonayo viongozi wa dini...wajitahidi kuwa mfano bora kwa jamii!!

    18. #55
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Bigirita
      I dont need to think to know that you are out of the key!
      so who do you
      think need to know, what is in your mind stupidly like
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    19. #56
      Anyisile Obheli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 13th December 2009
      Location : Rohoni
      Posts : 3,261
      Rep Power : 1125
      Likes Received
      68
      Likes Given
      82

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Bigirita
      Unataka kusemaje?!!
      kuhusu nini, kwani unataka kutangaza vita hapa? we lete hoja zenye maana siyo ili mradi tu, keep your waste secretly,
      ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
      HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

    20. #57
      Zogwale's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 10th July 2008
      Posts : 5,984
      Rep Power : 2635
      Likes Received
      1201
      Likes Given
      502

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

      Si Gwajima anapita kwa ving'ora tu, hata yule wa Ngurumo ya Upako kule Kisongo Arusha anapita navyo. Sidhani kama wanapita navyo bila kupata kibali cha traffic! Mwenye kufahamu zaidi atujuze ili tusije kuwatupia marungu wakati vibali wanavyo. Sasa hapa sijui kwa nini na Kakobe hakutumia kingo'ra wakati alipenda kuhubiri nje ana kurudi msafara wake ukaleta ajali na vifo (wakati wa kwenda na kurudi). Au yeye Kakobe alishikilia ule mstari wa biblia unaosema Ole wake amtegemeaye mwanadamu!!! Alitegemea nguvu za Mungu na shetani akavuruga! Lo! Hizi imani Bwana ni vitendawili hasa kwa makanisa ya kileo yanayoitwa ya Kiroho. Kuna nguvu gani huko jamani? Tufungue macho zaidi na kama wewe ni mkristo basi muombe sana Mungu akuongoze mahali pa kuhudhuria ibada vinginevyo utachanganikiwa na haya makundi na siasa zao!!!
      "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

    21. #58
      carmel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th August 2009
      Posts : 2,804
      Rep Power : 1071
      Likes Received
      202
      Likes Given
      128

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

      sasa kila mtu akiamua kupiga ving'ora huku barabarani kutatosha?
      A gossip betrays a confidence; so avoid a man who talks too much.
      Proverbs 20:19

    22. #59
      BabaDesi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2007
      Posts : 2,380
      Rep Power : 1084
      Likes Received
      250
      Likes Given
      1394

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na vingakora barabarani

      Quote By Mpeni sifa Yesu
      yaani mtaongea, mtaongea, usiku utaingia, mtalala mtaongea mchana utakuja mnazidi kuongea tu...lakini kama hamtaacha chuki dhidi ya walokole, mtaumia mioyo boreee. wivu tu umewajaa na ile hummer yake...angekuwa 50cent amekuja hapo, au limwanamziki fulani lenye mlegezo mnaruhuru ving'ora, lakini akija mtu wa Mungu anaewasaidia hata dhidi ya shehe yahya, mnafoka..ni matatizo tu ya uelewa..Mungu awasaidie muone kuwa wanamuziki, wanamichezo na vitu vingine kama hivyo si vya muhimu sana kuliko mambo ya Mungu.

      ...Hukujibu hata moja kati ya uliyoulizwa. kama binadamu, wote tuna haki ya kupenda, It is so SAD that some of Us seems to Love Soo BLINDLY...! Ubarikiwe sana.

    23. #60
      ngoshwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st March 2009
      Location : everywhere
      Posts : 3,687
      Rep Power : 1356
      Likes Received
      570
      Likes Given
      769

      Default Re: Gwajima wa kanisa la Ufufuo na ving'ora barabarani

      Ikiwa maandiko yanasema kila mwanadamu atakufa, ikiwa dhamira ya makanisa mengine ni kukufua wafu, maana yake ni nini??

      Je, hao wanaodaiwa kufufuliwa tena hata wale walioamua kujinyonga kwa kuona kuwa dunia hii haifai kuishi au wale walioomba kila siku wafe ili wakapumzike mahala pema, inakuwa wakifufuliwa au nini madhumuni ya hii dhana ya kufufua wafu?

      Je, wale waliofufuka wataishi milele yote?

      Is GOD's wishes to raise Christians over other religions? ???

      €12_B_11€‘Josephat Gwajima 1/2, €12_B_11€‘Josephat Gwajima 1/2 tokyo2010gmc on USTREAM. Christian

      Sikiliza hizi hoja hapa mpaka mwisho kuhusu kukua kwa uchumi wa US (wenye mungu) vs China (usio na Mungu) na kufufuka kwa wafua.
      Last edited by ngoshwe; 7th June 2010 at 12:12.
      "Mnataka kujua nini? Sikuzaliwa ili nipate nishani... "Please don't make it an issue, acheni suala hilo ni uchonganishi, acheni," - Malecela.

    Page 3 of 10 FirstFirst 12345 ... LastLast

    Similar Topics

    1. Mbunge Godbless Lema awa mwana maombi ya ufufuo
      By NIMEKIMBIA CCM in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 34
      Last Post: 9th December 2011, 10:52
    2. Usalama barabarani isiwe ajali barabarani
      By Njowepo in forum Habari na Hoja mchanganyiko
      Replies: 2
      Last Post: 31st August 2011, 13:31
    3. Replies: 22
      Last Post: 16th April 2010, 17:07

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...