JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Who is Christina Shusho historically?

  Report Post
  Page 1 of 7 123 ... LastLast
  Results 1 to 20 of 129
  1. Felixonfellix's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2010
   Posts : 1,679
   Rep Power : 902
   Likes Received
   169
   Likes Given
   100

   Default Who is Christina Shusho historically?   Salamu wan JF,

   Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.

   Mbarikiwe kwa msaada wenu
   coxcomb likes this.


  2. Anyisile Obheli's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 13th December 2009
   Location : Rohoni
   Posts : 3,284
   Rep Power : 1225
   Likes Received
   85
   Likes Given
   83

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   mmmmhuuu!!
   ........................HAKUNA TIBA YA KIFO............
   HESHIMU WATU NA PIA JIHESHIMU, KISHA, MPENDE MUNGU

  3. Preta's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 28th November 2009
   Location : yaeda chini
   Posts : 19,685
   Rep Power : 172828070
   Likes Received
   12049
   Likes Given
   10230

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   ninavyomjua ni mke wa mtu
   Sal, eddyby and MEANDU like this.
   Life is too short to waste time hating anyone.........

  4. Injinia's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Location : Seriously? In your CPU
   Posts : 853
   Rep Power : 840
   Likes Received
   17
   Likes Given
   11

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Sijui historia yake lakini, the woman is pretty!! And she has this voice!
   Alcoholism is an infectious disease. It is caught from open bottles

  5. Kamuna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Posts : 260
   Rep Power : 790
   Likes Received
   23
   Likes Given
   26

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Felixonfellix View Post
   salamu wan JF,
   Tafadhali naomba kujua historia fupi ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili aitwaye Christina Shusho.
   Mbarikiwe kwa msaada wenu
   She studies english course for one year 2006 at The Assemblies of Go Bible College, Dodoma. She is originally from Kigoma though some claim her family to have moved to Kigoma from DRC.


  6. Chimunguru's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 3rd May 2009
   Posts : 9,185
   Rep Power : 2523
   Likes Received
   1746
   Likes Given
   937

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   kweli she is pretty bana, mungu kamjaalia na autunze uzuri kwa mme wake

  7. Felixonfellix's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2010
   Posts : 1,679
   Rep Power : 902
   Likes Received
   169
   Likes Given
   100

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Thanks very much JF members,
   I still need more about this servant of the living God????
   Cha muhimu ni historia yake tu!!!!!
   Nafahamu kuwa ni mke wa mtu na daima naheshimu sana ndoa na utu wa mtu.
   Tunzeni ndoa zenu

  8. Akili Kichwani's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th January 2010
   Location : In da Skull
   Posts : 1,498
   Rep Power : 872
   Likes Received
   161
   Likes Given
   80

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   any way mi simjui, lakini kuna wimbo wake mmoja hapa nikiusikiliza nasikia kama nakutana na Mungu uso kwa uso, hebu jisomee mwenyewe na ubarikiwe sana.......................... .
   wimbo: EE BWANA UMENICHUNGUZA (UMETUNGWA KWA MUJIBU WA ZABURI 139)
   1.
   Ee Bwana umenichunguza, na kunijua,
   wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu,
   umelifahamu wazo langu tokea mbali,
   umepepeta kwenda kwangu na kulala kwangu,
   umeelewa na njia zangu zooote X2

   2.
   maana hamna nenoo ulimin mwangu usilojua hakika Bwana,
   umenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea makono wako
   maarifa haya ni ya ajabu yanashinda mimi,
   hayadirikiki, siwezi kuyafikia X 2

   3.
   Niende wapi, nijiepushe, na roho wako,
   niende wapi niukimbie uso wako,
   kama nitapanda mbinguni wewe uko,
   nikifanya kuzimu kitanda huko nako uko,
   kama nitasema na hata giza litanifunika,
   giza nalo halikufichi kitu,
   giza na mwanga kwako sawasawa

   4.
   eeMungu, unichunguze,
   uujue moyo wangu, ee Mungu,
   unijaribu uyajue mawazo yangu, ee Mungu, , ee Mungu
   uone kama iko njia iletayo majuto ndani yangu,
   ee Mungu uniongoze katika njia ya haki, milele,
   maana wewe uliye Mbinguni, uzima wangu ee Mungu,
   macho yako yaniona kuwa sijakamilika, ee Mungu
   nimekuita unisikie sauti yangu nikuitapo baba ee Mungu, ee Mungu ,
   ee Mungu, ee Mungu, ee Mungu
   unichunguze uujue moyo wangu, ee Mungu ,
   ee Mungu unijaribu uyajue mawazo yangu ee Mungu,
   maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu
   yapate kibali mbele zako, ee Mungu, ee Mungu x2
   Last edited by Akili Kichwani; 17th March 2010 at 07:43.
   IF YOU HAVE NOTHING TO DO, DONT DO IT HERE!!!!

  9. Mkorintho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2009
   Posts : 337
   Rep Power : 777
   Likes Received
   16
   Likes Given
   2

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Wa ukweli sana huyu dada, anajua haswa.

  10. Utingo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th December 2009
   Location : Lyazumbi
   Posts : 6,393
   Rep Power : 36789
   Likes Received
   1459
   Likes Given
   951

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Felixonfellix View Post
   Thanks very much JF members,
   I still need more about this servant of the living God????
   Cha muhimu ni historia yake tu!!!!!
   Nafahamu kuwa ni mke wa mtu na daima naheshimu sana ndoa na utu wa mtu.
   Tunzeni ndoa zenu
   Mkuu, it is not easy to get her history from anyone kwa sababu hana skandali yoyote. Ikiwa huna nia mbaya piga hodi kanisa la TAG Ilala, watakuambia how to meet her kisha mwaweza kuongea.

   Thanks for this thread anyway, I didn't know she was from DRC. I thought she is nyakyusa.
   Kikalove likes this.
   Without justice – Government is nothing but a band of robbers

  11. Bujibuji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th February 2009
   Location : NYUMBANI PANONO
   Posts : 22,442
   Rep Power : 51527822
   Likes Received
   11920
   Likes Given
   9762

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Bonge la msanii
   KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

  12. Felixonfellix's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th February 2010
   Posts : 1,679
   Rep Power : 902
   Likes Received
   169
   Likes Given
   100

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Sina nia mbaya hata kidogo,
   cha muhimu ni kupata historia yake tu.
   hata hivyo asanteni kwa mchango wenu

  13. Zogwale's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 10th July 2008
   Posts : 10,309
   Rep Power : 201427284
   Likes Received
   2845
   Likes Given
   1287

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Is her name Christina Shusho or Christina Shushu!!!!??? For sure she is a dedicated mother and servant of God. She is free from scandals. She and her husband are trully serving the living God.
   "Kama unaingia Ikulu kwa njia ya rushwa, je ni biashara gani iko huko ya kuwezesha kulipa fadhila ya rushwa hiyo???"

  14. Mama Joe's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2009
   Posts : 1,501
   Rep Power : 21030549
   Likes Received
   674
   Likes Given
   726

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Ni mwimbaji mzuri asiye na makuu, umaarufu haujaharibu sifa yake ya kuwa mke mwema: anavaa kiheshima na anakiasi nashangaa kusikia ana asili ya Congo! maana sioni kujichubua na make up za hawa wenzie.
   Mtoa mada wasiliana na mtandao wa Strictly Gospel walimfanyia mahojiano kwenye magazine yao. Mungu azidi kuiinua huduma yake.
   Marumia and tracy martins like this.

  15. Kamuna's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th March 2009
   Posts : 260
   Rep Power : 790
   Likes Received
   23
   Likes Given
   26

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Maane View Post
   Is her name Christina Shusho or Christina Shushu!!!!??? For sure she is a dedicated mother and servant of God. She is free from scandals. She and her husband are trully serving the living God.
   Christina Shusho.

  16. Mazingira's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 31st May 2009
   Posts : 1,535
   Rep Power : 911
   Likes Received
   167
   Likes Given
   516

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Preta View Post
   ninavyomjua ni mke wa mtu
   Na ana watoto 3 kama sikosei
   Usiwanyime watu mema yaliyo haki yao, ikiwa katika uwezo wa mkono wako kuyatenda (Mithali 3:27)

  17. rmashauri's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th January 2009
   Location : Ng'wanza Sukuma
   Posts : 3,018
   Rep Power : 1328
   Likes Received
   405
   Likes Given
   869

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Mama Joe View Post
   Ni mwimbaji mzuri asiye na makuu, umaarufu haujaharibu sifa yake ya kuwa mke mwema: anavaa kiheshima na anakiasi nashangaa kusikia ana asili ya Congo! maana sioni kujichubua na make up za hawa wenzie.
   Mtoa mada wasiliana na mtandao wa Strictly Gospel walimfanyia mahojiano kwenye magazine yao. Mungu azidi kuiinua huduma yake.
   Nyimbo zake zina upako. Huchoki kuzisikiliza na ukizisikiliza unahisi uwepo wa MUNGU na kutiwa nguvu mpya.
   Burudikeni na wimbo wake huu wa kuabudu.

   [ame="http://www.youtube.com/watch?v=FZub00IybXI"]YouTube- Wastahili kuabudiwa[/ame]
   Haki huinua taifa bali dhambi ni aibu ya watu wote (Mithali 14:34)

  18. Lily Flower's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th October 2009
   Location : Garden
   Posts : 2,563
   Rep Power : 20931
   Likes Received
   1178
   Likes Given
   1699

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?

   She has a sweet voice na nyimbo zake karibia zote zimetoka kwenye bibilia takatifu, ubarikiwe Mamy na uzidi kumtukuza Mungu.
   MY LOVE IS YOUR LOVE.

  19. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,193
   Rep Power : 201426575
   Likes Received
   6199
   Likes Given
   5517

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?

   we mtoa mada bwana!! Kama unakitu wataka kusema we sema tu ila kumbuka person's historical background haikuhusu unless unalo unalolitafuta.
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014

  20. MwanajamiiOne's Avatar
   JF Platinum Member Array
   Join Date : 24th July 2008
   Location : On My Seat
   Posts : 10,193
   Rep Power : 201426575
   Likes Received
   6199
   Likes Given
   5517

   Default Re: Who is Christina Shusho historically?????

   Quote By Bujibuji View Post
   Bonge la msanii
   Buji buji kama una kitu vile????
   Serebuka unaweza pendwa tena, serebuka unaweza penda tena - Mwasiti, 2014


  Page 1 of 7 123 ... LastLast

  Similar Topics

  1. ISLAM: Spritually Myth, Historically False, Mathematically Absurd!
   By MaxShimba in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 1
   Last Post: 10th June 2011, 19:57

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...