JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

  Report Post
  Results 1 to 17 of 17
  1. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Habari nilizozisoma toka kwenye gazeti la kiu la wiki iliyopita ni kuwa mwigizaji Tino alizimia wakati akisubiri majibu yake alipokwenda kupima UKIMWI katika kituo cha ANGAZA Magomeni.Taarifa ziandai jamaa alimwomba rafiki yake amsindikize ili kajue afaya yake.Habari zaidi zinadai kuwa wakati wanaenda jamaa alikuwa normal na alikuwa anapiga sana stori lakini walipofika kituoni hapo na hasa baada ya damu yake kuchukuliwa jamaa alikuwa mkimya kupita maelezo wakati akisubiri majibu.Gazeti hilo linapasha kuwa wakiwa wanaendelea kusubiri majibu ghafla wakashangaa kijana Tino anaishiwa nguvu na kuwa kama mtu anayesinzia lakini ghafla walistukia mtu anaanguka na kupoteza fahamu.

   Habari ndio hiyo.Hivi ni nini hasa kilichomtisha Tino mpaka akapoteza fahamu?Je hajiamini?
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  2. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,545
   Rep Power : 429503166
   Likes Received
   30817
   Likes Given
   29184

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   we kwa udaku.
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  3. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By The Boss View Post
   we kwa udaku.
   Sikushindi wewe.
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  4. Mtoto wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2009
   Posts : 755
   Rep Power : 770
   Likes Received
   66
   Likes Given
   23

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Huyo ndio mwanaume, kwa uoga na hofu zote still kaenda kupima, hongea sana kwake!

  5. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Mtoto wa Kishua View Post
   Huyo ndio mwanaume, kwa uoga na hofu zote still kaenda kupima, hongea sana kwake!
   Kwa kweli anastahili pongezi.Wewe umeshakwenda?
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  6. saitama_kein's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th October 2009
   Location : KASULU
   Posts : 987
   Rep Power : 814
   Likes Received
   90
   Likes Given
   71

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Tanzania bila ukimwi inawezekana...........

  7. The Boss's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th August 2009
   Location : DARESALAAM
   Posts : 30,545
   Rep Power : 429503166
   Likes Received
   30817
   Likes Given
   29184

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   kupima sio ujasiri.
   ujasiri kuchukua majibu.
   Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.

  8. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By saitama_kein View Post
   Tanzania bila ukimwi inawezekana...........
   Yes inawezekana lakini sio kwa kupima watu wanapima kila leo lakini hawabadilishi tabia zao.
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  9. babukijana's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st July 2009
   Posts : 3,720
   Rep Power : 0
   Likes Received
   624
   Likes Given
   311

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Gender Sensitive View Post
   Yes inawezekana lakini sio kwa kupima watu wanapima kila leo lakini hawabadilishi tabia zao.
   wanapima kila leo wanaanza ndio maana hawabadili tabia,majibu wanawaachia madaktari hizo karatasi wawauzie wauza vitumbua wafungie vitumbua.

  10. Mtoto wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th October 2009
   Posts : 755
   Rep Power : 770
   Likes Received
   66
   Likes Given
   23

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Gender Sensitive View Post
   Kwa kweli anastahili pongezi.Wewe umeshakwenda?

   Nimepima tena majibu yangu ni yale ya kukaa two weeks, niko clean ila najitahidi kubadirisha tabia!

  11. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Mtoto wa Kishua View Post
   Nimepima tena majibu yangu ni yale ya kukaa two weeks, niko clean ila najitahidi kubadirisha tabia!
   Hongera kwa kuwa Clean.Hongera pia kwa kuwa na nia ya kubadili tabia.
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  12. #12
   Remmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2009
   Location : home
   Posts : 4,513
   Rep Power : 7933
   Likes Received
   1609
   Likes Given
   1995

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   nilidhani we unasoma magazeti makini tu, kumbe hata ya umbea? loo!! kijana anastahili pongezi ingawa najua ni uwongo.

  13. Regia Mtema's Avatar
   R I P Array
   Join Date : 21st November 2009
   Posts : 2,985
   Rep Power : 1242
   Likes Received
   787
   Likes Given
   397

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Remmy View Post
   nilidhani we unasoma magazeti makini tu, kumbe hata ya umbea? loo!! kijana anastahili pongezi ingawa najua ni uwongo.
   Wewe unanijua mimi?
   Kilombero For Change(K4C)-Mfuko wa Maendeleo Kilombero

  14. #14
   Remmy's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th June 2009
   Location : home
   Posts : 4,513
   Rep Power : 7933
   Likes Received
   1609
   Likes Given
   1995

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Kwa thread zako unazotoa nikakupenda sana nikaona huyu kiumbe ni makini sana, kifaa sana, nikatamani niwe kama wewe ingawa haiwezekani, ila liko moja lawezekana, je waweza kunioa?

  15. Kafara's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th February 2007
   Posts : 1,407
   Rep Power : 46225955
   Likes Received
   240
   Likes Given
   179

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Remmy View Post
   Kwa thread zako unazotoa nikakupenda sana nikaona huyu kiumbe ni makini sana, kifaa sana, nikatamani niwe kama wewe ingawa haiwezekani, ila liko moja lawezekana, je waweza kunioa?
   mboni unamtarai mwana wa mwenzio? lol
   the best deceptions are the ones that seem to give the other person a choice...(robert green)

  16. Mtazamaji's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 29th February 2008
   Location : global village
   Posts : 5,978
   Rep Power : 1906
   Likes Received
   1354
   Likes Given
   2657

   Default Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   experince yangu kama CV yako una wasi wasi usiende angaza nenda hospitali zingine. Waelimisha rika nadhani kwao ni kicheko na mafanikio takiwmu za wapimaji wenye ukimwi zikiwa juu

   -Wale jamaa wa angaza maswali yao kabla ya kupima yankujenga hofu
   -Na vituo vingine vyenye kideo wakati unasubiri majibu kuna picha wanaonyesha watu waliokonda na wanavyotaabika na ukimwi.
   -Wengi wakitoka kupima wanakimbia majibu utasikia majina ya kuchukua majibu yanaitwa mtu hatokei.

   Huyu aliyezimia nadhani ya aliathiriwa na mazingira na maswali ya wanaojiita waelimisha rika.

  17. Bellah's Avatar
   Junior Member Array
   Join Date : 20th December 2010
   Posts : 1
   Rep Power : 0
   Likes Received
   0
   Likes Given
   0

   Exclamation Re: Muigizaji Tino-Azimia ANGAZA Akisubiri Majibu

   Quote By Mtoto wa Kishua View Post
   Nimepima tena majibu yangu ni yale ya kukaa two weeks, niko clean ila najitahidi kubadirisha tabia!
   He, sasa ushapima, uko "clean", ndo unataka "ubadiri" tabia??? Ili ukipima usiwe clean ama????

  Similar Topics

  1. Ushoga wa Tino...
   By Greater thinker in forum Celebrities Forum
   Replies: 78
   Last Post: 12th January 2012, 13:23
  2. Tino shoga
   By DKNY in forum Celebrities Forum
   Replies: 38
   Last Post: 25th May 2011, 14:19
  3. Wapili afariki akisubiri tiba!
   By Kang in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 9th March 2011, 02:43
  4. Mshitakiwa kesi ya mauaji azimia mahakamani
   By kilimasera in forum Habari na Hoja mchanganyiko
   Replies: 0
   Last Post: 19th December 2010, 11:43

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...