JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

  Report Post
  Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
  Results 81 to 100 of 174
  1. Judi wa Kishua's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 15th April 2012
   Posts : 472
   Rep Power : 540
   Likes Received
   142
   Likes Given
   13

   Default Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
   saumu juma likes this.

  2. Excel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2011
   Location : UN 1203
   Posts : 18,555
   Rep Power : 429500662
   Likes Received
   7156
   Likes Given
   6474

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Heaven on earth View Post
   Besidei ya Diamond.....nimeziona kule mtaa wa saba........Ngoja nizicopy hapa

   Nimemuona huyo Halima lol...Bonge la Jimama...kweli mjini pesa inatafutwa.............

   Hiko kipindi alichoendaga katika Show nilisikia lakin nilikuwa simjui huyo Halima
   mamii hebu tuwekee hiyo picha ya mke mwenza!!
   sijui nani vile,, naniii... eeenh,, halima!

   hivi ni halima mde.e au?
   '.Poverty is the parent of revolution and crime..' Aristotle.

  3. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,401
   Rep Power : 429503742
   Likes Received
   19926
   Likes Given
   12642

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By minofu View Post
   mamii hebu tuwekee hiyo picha ya mke mwenza!!
   sijui nani vile,, naniii... eeenh,, halima!

   hivi ni halima mde.e au?
   huyu hapa  4. C.T.U's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 1st June 2011
   Posts : 3,694
   Rep Power : 6091069
   Likes Received
   1447
   Likes Given
   39

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Judi wa Kishua View Post
   sio bure una stress za maisha wewe,,tafuta mchumba uholewe maisha ndio haya haya mdogo wangu.
   sio uholewe ni uolewe
   cc faiza foxx
   Usiseme sisi watanzania ni masikini masikini ni wewe na familia yako

  5. Excel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2011
   Location : UN 1203
   Posts : 18,555
   Rep Power : 429500662
   Likes Received
   7156
   Likes Given
   6474

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Heaven on earth View Post
   huyu hapa

   mmhhh!! diamond kweli noma!!

   naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!
   '.Poverty is the parent of revolution and crime..' Aristotle.

  6. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,401
   Rep Power : 429503742
   Likes Received
   19926
   Likes Given
   12642

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By minofu View Post
   mmhhh!! diamond kweli noma!!

   naona anjaribu ku-'test' ladha za machungwa mbalimbali sokoni kariakoo!!
   hahaa habai ndo hiyo....Sukai ya warembo hiyo

  7. Excel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2011
   Location : UN 1203
   Posts : 18,555
   Rep Power : 429500662
   Likes Received
   7156
   Likes Given
   6474

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Heaven on earth View Post
   hahaa habai ndo hiyo....Sukai ya warembo hiyo
   itakuwa vipi na weye akikulisti?
   '.Poverty is the parent of revolution and crime..' Aristotle.

  8. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,401
   Rep Power : 429503742
   Likes Received
   19926
   Likes Given
   12642

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By minofu View Post
   itakuwa vipi na weye akikulisti?
   hahaa Niko kwenye Committed relationship......

   hiyo Sukari ya warembo ngoja aendelee kuwaonjesha hao hao kina Fundenge

  9. Excel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2011
   Location : UN 1203
   Posts : 18,555
   Rep Power : 429500662
   Likes Received
   7156
   Likes Given
   6474

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Heaven on earth View Post
   hahaa Niko kwenye Committed relationship......

   hiyo Sukari ya warembo ngoja aendelee kuwaonjesha hao hao kina Fundenge
   hahaa!! wacha kunizuga wewe!!

   au wewe ndo halima nn?
   '.Poverty is the parent of revolution and crime..' Aristotle.

  10. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,401
   Rep Power : 429503742
   Likes Received
   19926
   Likes Given
   12642

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By minofu View Post
   hahaa!! wacha kunizuga wewe!!

   au wewe ndo halima nn?
   halima bonge la mmama mie kimwili changu kidogo dogo

   sikuzugi wala nini huo ndio ukweli...

  11. Excel's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 8th July 2011
   Location : UN 1203
   Posts : 18,555
   Rep Power : 429500662
   Likes Received
   7156
   Likes Given
   6474

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By Heaven on earth View Post
   halima bonge la mmama mie kimwili changu kidogo dogo

   sikuzugi wala nini huo ndio ukweli...
   basi ngoja nijipange kuja kuona hicho chako!!

   unajua vidogodogo havihemi sana kunako!
   '.Poverty is the parent of revolution and crime..' Aristotle.

  12. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,401
   Rep Power : 429503742
   Likes Received
   19926
   Likes Given
   12642

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By minofu View Post
   basi ngoja nijipange kuja kuona hicho chako!!

   unajua vidogodogo havihemi sana kunako!
   hahaa naona wataka niongee mengi mie....

   ngoja ni shut up

  13. tankibovu's Avatar
   Member Array
   Join Date : 5th January 2010
   Posts : 41
   Rep Power : 608
   Likes Received
   14
   Likes Given
   15

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Heaven on earth Mweleze huyo Diamond na girlfriend wake.. tunaupenda mziki wake ila atambue nguvu ya social networks atumie ku post kazi zake na sio "bedroom life". Mambo ya kuungua na mshumaa unayajua wewe. What we deduce they are trying too much to show watu kwamba wanapendana inahusu?? Mambo ya familia kujaa kwenye kitanda cha kaka..nonooo. Diamond hana furaha picha hueleza mengi sana....inaelekea penzi la Wema bado linamtesa hata hivyo Penny naya hana sababu ya kujifanya ni Wema she should live her life. Haya mambo huwa yanatokea uko kwenye relationship nyingine ila bado unamfeel mtu mwingine. Sasa familia iwape space...watu wamejazana from all walks of life..uswazi uswazi.. sasa wapenzi watabond vipi?? Wanajitahidi sana kumuonyesha Penny alivyokuwa anafanya Wema...Kiruuuuu. Seeing hizi picha dunia nzima nilitamani Penny awe mdogo wangu nimpe kitchen party...bedroom sio kila mtu anaingia mpaka Mama Mkwe? naona nitaanndika gazeti

  14. naa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th May 2013
   Posts : 225
   Rep Power : 472
   Likes Received
   88
   Likes Given
   258

   Default

   Quote By Judi wa Kishua View Post
   Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .
   http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=11 5890&stc=1&d=1381341249
   Attached Thumbnails Attached Thumbnails Click image for larger version. 

Name:	.%CD%A1%E2%96%B9%E2%80%8BNaa.jpg 
Views:	376 
Size:	25.6 KB 
ID:	115890  

  15. Sekibuju's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd July 2012
   Posts : 162
   Rep Power : 500
   Likes Received
   31
   Likes Given
   72

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Mmmmh! Nmeingia choo cha kike.

  16. Sekibuju's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 23rd July 2012
   Posts : 162
   Rep Power : 500
   Likes Received
   31
   Likes Given
   72

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Mmmh! Choo cha kike.

  17. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 1,026
   Rep Power : 640516
   Likes Received
   382
   Likes Given
   4

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
   msichachawe na pics hizo.
   Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
   Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
   Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....
   Kipaji Halisi likes this.

  18. heaven on desert's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th January 2013
   Posts : 1,026
   Rep Power : 640516
   Likes Received
   382
   Likes Given
   4

   Default

   Quote By zejame View Post
   Nimefurahi kusikia hivyo huyo penny mmh ila sepetu banaa.hongeren kama imekuwa hivyo ntarudi kuwa shabiki wa Diamond tena.Sio siri,couple yenu naipenda sana ila sasa mtulie
   Keep dreaming ndoto za jion.
   Diamond na Wema wanatumiana kibiashara na wanajua kweli kucheza na akiri zenu wenye akili za udhabiki.
   STAY WAITN KWA MOVIE YA KIHISTORIA FROM WEMA N DIAMOND

  19. #98
   naa's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 5th May 2013
   Posts : 225
   Rep Power : 472
   Likes Received
   88
   Likes Given
   258

   Default

   Hee!! Ww unalipwa? Em tupishe sie ka movie au kitu gani shaur yao kha
   Quote By heaven on desert View Post
   Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
   msichachawe na pics hizo.
   Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
   Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
   Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....

  20. winky's Avatar
   Member Array
   Join Date : 9th May 2013
   Posts : 85
   Rep Power : 443
   Likes Received
   16
   Likes Given
   37

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By heaven on desert View Post
   Thise pics nilipiga me mwenyewena siyo kwel usemayo but unahis tu,hapo Diamond alikuwa ameungua kidole kwa maji ya mshumaa so Penny alikuwa anampoza,bahat mbaya umetizama hiyo pic moja tu.
   Usitupotoshe bana watu tuko smart ghorofani.sio lazima utetee kila kitu vingine chunia tu unajiaibisha.. Eti anampooza... Mxieeeeew...!! Fanya yakoo mengine.. Lakini usitudanganye

  21. Smile's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th July 2011
   Location : paradise
   Posts : 15,425
   Rep Power : 4305248
   Likes Received
   11259
   Likes Given
   6025

   Default Re: Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

   Quote By heaven on desert View Post
   Y msiwe mnafanya kautafit hata kadogo kabla ya kuropoka?eti Diamond kamwacha Penny karudia Wema..yani tunaojuwa whats goin on tunawachora tu.
   msichachawe na pics hizo.
   Diamond n Wema wameply movie moja kama wahusika na hizo ni mbwembwe za kutengeneza tenshen za hiyo Movie.
   Siku nyingine usijudge kabla ya kutafit.
   Ukiona kazi sana niulizen hata mie anythn concerning Naseeb,Wasafi etc....
   kuna kitu nilitaka kukuambia ila sitaki kukuudhi kusema kweli.
   ila dimondo anamega papuchi mjini hapa...mwambie kuna ngoma bwana.mademu wenyewe hao hawajatulia hata kidogo...
   Papizo likes this.
   hakuna mwanaume asiecheat labda kileo wa joyce kiria!

  Page 5 of 9 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...