JamiiSMS
  Show/Hide This

  Topic: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

  Report Post
  Page 2 of 2 FirstFirst 12
  Results 21 to 32 of 32
  1. Super Handsome's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 16th July 2013
   Posts : 1,532
   Rep Power : 86903205
   Likes Received
   696
   Likes Given
   5363

   Default Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee..

   Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi hicho kitajulikana kama "In My Shoes".

   Attachment 112753
   katika ukurasa wa EATV wameandika hivi"

   Hii lazima ieleweke hata iweje! Baada ya bandika bandua za kutosha, sasa tunakubandikia hii nyingine! Kutana na malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara, Wema Abraham Sepetu kwenye reality show yake inayoitwa "In my Shoes" itakayoanza kudondoka hapa kwenye ting'a kali namba moko kwa vijana kuanzia mwezi ujao! Unasemaje?

   Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?

   https://www.facebook.com/eatv.tv
   Last edited by Super Handsome; 20th September 2013 at 17:27.

  2. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 34,640
   Rep Power : 429503798
   Likes Received
   20075
   Likes Given
   12688

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By maatope View Post
   si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
   Quote By Super Handsome View Post
   Umeambiwa EATV hayo ya Clouds siyatambui!
   Quote By maatope View Post
   na mimi sitambui EATV
   Quote By Super Handsome View Post
   wewe nani mbaka uitambue?!
   Quote By maatope View Post
   we nani mpaka uulize mimi ni nani?na wao ni nani mpaka mimi niwatambue?
   hivi kwa mfano mkiulizwa mnagombea nini utsemaje!!!!!!1

  3. ozzy isayah's Avatar
   Member Array
   Join Date : 16th September 2013
   Posts : 35
   Rep Power : 422
   Likes Received
   6
   Likes Given
   0

   Default

   Quote By Remote View Post
   Hayakuhusu,huo ni mwili wake binafsi

  4. MwanaFalsafa1's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 26th February 2008
   Posts : 5,598
   Rep Power : 10040
   Likes Received
   738
   Likes Given
   504

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara
   Siyo kwa ubaya na ina wezekana ni mimi tu ila sikumbuki movie ya mwisho ya Wema kaitoa lini na imefanyaje sokoni. Biashara ninayo jua ana miliki ni EndlessFame ambayo mpaka leo hii haijafanya chochote zaidi ya kufanya show ya wasanii fulani ambao hata hawa hit (kama ana biashara nyingine naombeni taifa) na huo ulimbwende umissTz alisha umaliza zamani sana.

   Kiukweli bora awe na reality show kwa sababu huyu bibie ndio Kim Kardashian wa Bongo kwa maana mtu ambae ni maarufu kutokana na skendo zake. Isingekua miskendo huyu dada asingekua ana sikika mpaka leo.

   Ni maoni yangu tu...maneno yangu si sheria...

  5. Mchaka Mchaka's Avatar
   JF Bronze Member Array
   Join Date : 20th July 2010
   Location : A - CITY
   Posts : 4,540
   Rep Power : 1583
   Likes Received
   1326
   Likes Given
   687

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By Super Handsome View Post
   Star wa bongo movie anae tamba ndani na nje ya nchi sasa anakuja na kipindi kipya cha Televisheni kitakachokua kinarushwa ndani ya EATV pekee..

   Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Eatv, kipindi hicho kitajulikana kama "In My Shoes".

   Attachment 112753
   katika ukurasa wa EATV wameandika hivi"

   Hii lazima ieleweke hata iweje! Baada ya bandika bandua za kutosha, sasa tunakubandikia hii nyingine! Kutana na malkia namba moja anayetikisa hapa Bongo kwenye tasnia ya filamu, ulimbwende na biashara, Wema Abraham Sepetu kwenye reality show yake inayoitwa "In my Shoes" itakayoanza kudondoka hapa kwenye ting'a kali namba moko kwa vijana kuanzia mwezi ujao! Unasemaje?

   Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?

   https://www.facebook.com/eatv.tv
   Hapo kwenye red, sijaelewa kitu, hivi huwa anafanya biashara gani?
   Miili ya waliokufa katika ajali ya Meli ya Spice Islander ipimwe DNA ili kutambua Ndugu zao - Dk. Jakaya .M. Kikwete,, September 2011.

  6. thatonegAl's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 28th August 2013
   Posts : 133
   Rep Power : 444
   Likes Received
   30
   Likes Given
   5

   Default

   Quote By Katavi View Post
   Nani hao?
   Mawingu Tv

  7. Kazitunayo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 30th March 2013
   Posts : 1,413
   Rep Power : 722
   Likes Received
   307
   Likes Given
   2

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Ruge na kusaga ki ukwel kwenye TV mmefeli sana

  8. #27
   FYATU's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2011
   Posts : 1,799
   Rep Power : 867
   Likes Received
   619
   Likes Given
   42

   Lightbulb Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Wabongo kwa kuhoji.........Ok..ngoja niwape hints kidogo.

   .....hiki kipindi ni kwa wale wote wanaovutiwa au kutamani kuwa kama bi mdada (Wema).....tunaposema REALITY tunamaanisha REALITY....tangu alivyoukwaa umiss TZ....alivyo/anavyohudhuria vituo vya polisi na mahakamani.......alivyotandika jiwe kioo cha gari la marehemu Kanumba......Anavyoishi na wafanyakazi wake wa nyumbani (promo tulishawawekea hapa jukwaani siku za nyuma)....mtawaona kina Diamond, Jumbe, mheshimiwa mbunge na wengine wengi wanavyopishana.....na mengine mengi....

   Ila bado sijajua watai rate PG ,18 ama.........

   Kiufupi ni kama BIG BROTHER ya bongo.....kwa maelezo hayo machache ahsanteni kwa kunisikiliza.....

  9. Nyenyere's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th September 2010
   Posts : 4,964
   Rep Power : 13350
   Likes Received
   1639
   Likes Given
   3019

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By FYATU View Post
   Wabongo kwa kuhoji.........Ok..ngoja niwape hints kidogo.

   .....hiki kipindi ni kwa wale wote wanaovutiwa au kutamani kuwa kama bi mdada (Wema).....tunaposema REALITY tunamaanisha REALITY....tangu alivyoukwaa umiss TZ....alivyo/anavyohudhuria vituo vya polisi na mahakamani.......alivyotandika jiwe kioo cha gari la marehemu Kanumba......Anavyoishi na wafanyakazi wake wa nyumbani (promo tulishawawekea hapa jukwaani siku za nyuma)....mtawaona kina Diamond, Jumbe, mheshimiwa mbunge na wengine wengi wanavyopishana.....na mengine mengi....

   Ila bado sijajua watai rate PG ,18 ama.........

   Kiufupi ni kama BIG BROTHER ya bongo.....kwa maelezo hayo machache ahsanteni kwa kunisikiliza.....
   Duh, don't try this at home, stay safe.
   The glory of Christianity is to conquer by forgiveness - William Blake

  10. #29
   matumbo's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 9th July 2011
   Posts : 6,879
   Rep Power : 0
   Likes Received
   3480
   Likes Given
   1545

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By maatope View Post
   si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
   Hujaelewa bado? Basi pole pole tu utaelewa, usiji-stress, Ama nini?
   ''utaelewa tu!!!!!''-Dula Mjukuu
   Ngumi Nauza Bure....

  11. #30
   Mdakuzi's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th April 2012
   Location : Dar es Salaam
   Posts : 2,472
   Rep Power : 985
   Likes Received
   1707
   Likes Given
   2186

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By maatope View Post
   si clouds tv ndo walikuwa wanarusha promo yake?
   Kumetokea kutoelewana kati ya Wema Sepetu na Clouds TV, mara baada ya kukubali kurushwa kwa kipindi cha Irene Uwoya kwenye Clouds TV cha kujengea watu nyumba.
   Kwa kipindi kirefu Wema Sepetu haelewani na Irene Uwoya na kufanya asusie kurusha kipindi chake Clouds TV, akikataa ushindani naye hasa kwa kuwa yeye ndiye aliyepeleka wazo la kipindi cha maisha halisi.
   Baada ya EATV kusikia juu ya kutokea kutoelewana katika Wema Sepetu na Clouds TV, wakamdaka Wema fasta na kuingia naye makubaliano ya kurusha kipindi hicho.
   Na kwa kuwa Wema anatengeneza mwenyewe kipindi chake ikawa rahisi kukihamisha.

  12. #31
   maatope's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 19th September 2013
   Posts : 1,176
   Rep Power : 650
   Likes Received
   414
   Likes Given
   129

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By Mdakuzi View Post
   Kumetokea kutoelewana kati ya Wema Sepetu na Clouds TV, mara baada ya kukubali kurushwa kwa kipindi cha Irene Uwoya kwenye Clouds TV cha kujengea watu nyumba.
   Kwa kipindi kirefu Wema Sepetu haelewani na Irene Uwoya na kufanya asusie kurusha kipindi chake Clouds TV, akikataa ushindani naye hasa kwa kuwa yeye ndiye aliyepeleka wazo la kipindi cha maisha halisi.
   Baada ya EATV kusikia juu ya kutokea kutoelewana katika Wema Sepetu na Clouds TV, wakamdaka Wema fasta na kuingia naye makubaliano ya kurusha kipindi hicho.
   Na kwa kuwa Wema anatengeneza mwenyewe kipindi chake ikawa rahisi kukihamisha.
   duuh lakini eatv ndo atapata coverage kubwa

  13. #32
   KWAPA's Avatar
   Member Array
   Join Date : 3rd April 2012
   Posts : 40
   Rep Power : 499
   Likes Received
   7
   Likes Given
   0

   Default Re: Kipindi cha WEMA SEPETU ndani ya EATV

   Quote By FYATU View Post
   Wabongo kwa kuhoji.........Ok..ngoja niwape hints kidogo.

   .....hiki kipindi ni kwa wale wote wanaovutiwa au kutamani kuwa kama bi mdada (Wema).....tunaposema REALITY tunamaanisha REALITY....tangu alivyoukwaa umiss TZ....alivyo/anavyohudhuria vituo vya polisi na mahakamani.......alivyotandika jiwe kioo cha gari la marehemu Kanumba......Anavyoishi na wafanyakazi wake wa nyumbani (promo tulishawawekea hapa jukwaani siku za nyuma)....mtawaona kina Diamond, Jumbe, mheshimiwa mbunge na wengine wengi wanavyopishana.....na mengine mengi....

   Ila bado sijajua watai rate PG ,18 ama.........

   Kiufupi ni kama BIG BROTHER ya bongo.....kwa maelezo hayo machache ahsanteni kwa kunisikiliza.....

   Wewe kweli fyatu wallah!!

  Page 2 of 2 FirstFirst 12

  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...