Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.
Jamani nimeona niwashirikishe wenzangu kuona picha za selebriti wetu Aunt Ezekiel.
Do Something......
Hizi picha zinatuchafua jamani je mode waweza kutoa hii thread! hapa mnachopendea ni nini sasa hayo mapaja meusi au....uchafu mtupu...mastaa wa bongo bana...hawajiheshim kabisa....
Currently Active Users Viewing This Thread: 24 (10 members and 14 guests) Fisherscom, Froida, Kasanga, Mfunyukuzi, Mshangaaji, MzeePunch, Ngongo, papag, tete'a'tete
hawa wote wanaangalia picha chafu, wazazi kwa watoto, inasikitisha sana
"Ficha Upumbavu wako, husifiche hekima yako'' Invisible
Kumbe ni mtoto wa Ezekiel Grayson Jujuman! Naona wanafanana kiasi fulani, hasa macho.
is very nice forum
nimeyapenda mapashja yake duuuh
Wa Ubani
ukiondoa tabia na whatevers huyu dada ni mzuri sana kwa nje tuache uongo
na sie kina dada tunaruhusiwa kukomenti?
many people are so negative about this,coz wanataka africuture ikumbatiwe!angetupia vtu vya ktenge angenoga mara 100000000000!
Hunivutia nakubaki na rangi yake asili.
Anaweza lakini au pozi tu, manake hizi mtu zingine ukiziangalia kwa nje saaf lakn upuuz mtu. Hamna kitu hapo.
mmmh.... Aisee huyu mtoto naweza mhonga kikombe bure
angalia hiyo sura ,,,,uweke ustaa alioupata pembeni,avae vizuri sio hivyo anavyoonyesha visivyoonyeshwa.sio mzuri labda tuseme ni mrembo ,,,,kila mwanamke anavutia
kuku kuku jogoo jina
Just one publicity stunt from a common local celebrity............
Leo Tolstoy once said "Everybody thinks of changing the world, no one thinks of changing himself"
Kicheche hicho
Biashara hiyo.
Je analipwa kiasi gani picha kama hizi zinapokwenda public?
Viongozi Dhaifu na Mafisadi + Wananchi wavivu, walalamishi na wasiojua haki zao + Imani Iliyopotoshwa = Umasikini wetu.
wananiboa wanavyokaaga tu uchi otherwise she is so beautifully!!!
Don't strew me with roses after I'm dead. When Death claims the light of my brow,
No flowers of life will cheer me: instead, You may give me my roses now!
Follow Us Here