JamiiSMS
  Show/Hide This
  Report Post
  Results 1 to 11 of 11
  1. Matola's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 18th October 2010
   Posts : 25,143
   Rep Power : 411036513
   Likes Received
   14621
   Likes Given
   10832

   Default Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   SHABIKI maarufu wa Yanga, Steven Mwamwala, ambaye alianika hisia zake za kutaka kuonana na msanii maarufu wa filamu hapa nchini, Wema Sepetu, leo wanatarajiwa kukutana ana kwa ana.

   Mwamwala, ni shabiki aliyejipambanua kwa wapenzi na mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi, baada ya kumwaga machozi uwanjani timu yake ya Yanga ilipokubali kipigo cha mabao 5-0 kutoka kwa watani zao Simba.

   Shabiki huyo, Julai 28, mwaka jana, siku ya fainali ya Kombe la Kagame, ambapo Yanga waliibuka mabingwa kwa kuwafunga Azam FC, mabao 2-0, alivua jezi yake na kubaki na fulana iliyoandikwa ‘I Love Wema Sepetu Ubingwa huu ni kwa ajili yako’, na kuwaacha hoi wadau na mashabiki waliokuwepo Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku hiyo.

   Shabiki huyo, alibainisha kuwa anamzimia msanii huyo wa mitindo kutokana na kazi zake, hivyo anatamani siku moja aweze kumuona ana kwa ana tofauti na sasa anamshuhudia kwa njia ya runinga.

   Akizungumza na Tanzania Daima, Wema alisema, amepata taarifa za shabiki huyo siku nyingi, ila hakuzipa uzito kwa kuwa hakuamini, kwani aliona ni kama shabiki wake tu anayekubali kazi zake.

   “Niliambiwa na watu kitu kama hicho, sawa siwezi jua anataka kuonana na mimi aniambie nini, basi kesho nitaonana naye ofisini kwangu,” alisema Wema.

   Kwa upande wake, shabiki huyo alishukuru kuwezeshwa kukutana na Wema, angalau aongee naye kidog
   kazi ya moyo ni kusukuma damu, kupenda ni kiherehere chako tu.


  2. Mkare_wenu's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th March 2011
   Location : daslam
   Posts : 1,646
   Rep Power : 844
   Likes Received
   305
   Likes Given
   135

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Watacheza muvi moja tu wala usipate wivu mleta post

  3. Justin Dimee's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 17th April 2012
   Posts : 859
   Rep Power : 628
   Likes Received
   105
   Likes Given
   27

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Haah mbona hainashida na wema si anatoa mpaka na wema wake so sio mbaya mamauruma akimu urumia uyu.

  4. Heaven on Earth's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2013
   Location : Heaven on earth
   Posts : 32,738
   Rep Power : 429503385
   Likes Received
   18743
   Likes Given
   11725

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   mwacheni dada wa watu,labda huyo shabiki wa yanga anaweza kuziba pengo la daimond..........,

  5. capo's Avatar
   Senior Member Array
   Join Date : 12th April 2013
   Posts : 233
   Rep Power : 452
   Likes Received
   45
   Likes Given
   12

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Mara jamaa kapewa mzigo,mara anaanza kufuatwa na yale magazeti yao,steven maarufu sasa.


  6. zejame's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2013
   Posts : 303
   Rep Power : 466
   Likes Received
   56
   Likes Given
   1

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   hata mie wema napenda nikuone sana tu na nakufagi kinoouma but mi si me ni ke

  7. mwacheni77's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 11th April 2011
   Posts : 685
   Rep Power : 651
   Likes Received
   116
   Likes Given
   1

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Mashabiki wa yanga bhana,ya kaizair tumuachie kaizar

  8. Salamander's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 7th December 2012
   Location : Home
   Posts : 7,418
   Rep Power : 31976242
   Likes Received
   1480
   Likes Given
   173

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Kwani Wema Sepetu anauza nini?

  9. 124 Ali's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 25th April 2010
   Posts : 2,658
   Rep Power : 2157559
   Likes Received
   708
   Likes Given
   525

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Quote By Salamander View Post
   Kwani Wema Sepetu anauza nini?
   Anauza 'wema'!

  10. Kongosho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 21st March 2011
   Location : Location loading...
   Posts : 36,027
   Rep Power : 138795791
   Likes Received
   23121
   Likes Given
   23053

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   Ana mahela?
   Dont study me, you won't graduate!!!

  11. kalagabaho's Avatar
   JF Senior Expert Member Array
   Join Date : 4th November 2010
   Posts : 2,074
   Rep Power : 0
   Likes Received
   786
   Likes Given
   143

   Default Re: Huyo ndiyo Wema Sepetu, Yetu macho na masikio tu.

   na akipewa lazima alie maana kwa kulia yule ndo mwenyewe!


  Posting Permissions

  • You may not post new threads
  • You may not post replies
  • You may not post attachments
  • You may not edit your posts
  •  

  Who are WE?

  JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

  You are always welcome! Read more...

  Where are we?

  We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

  For anything related to this site please Contact us.

  Contact us now...

  DISCLAIMER

  JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

  Read more...

  Forum Rules

  JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

  You MUST read them and comply accordingly. Read more...

  Privacy Policy

  We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

  Read our Privacy Policy. Proceed here...