South Africa zimetangazwa awards za ma dj bora katika vipengele tofauti, kitu cha ajabu ni kuwa hakuna dj wa bongo hata mmoja.
Dj anae shikiria taji kwa Tanzania ni dj MULI B wa clouds fm.
Swali langu ni kuwa hakuna ma dj wa kwenda kuiwakilisha Tanzania????
Hata kwa upande wa dj wa kike tunae dj FETTY pia wa clouds fm..nachojiuliza kama wanashikiria mataji na hawajiotokezi katika uwakilishi wa nchi je walipata hizo title kwa kustahili?

Reply With Quote
Follow Us Here